BUSIA Border RADIO

BUSIA Border RADIO

Share

The Best Radio station in Busia County with best mix of music and presenters. Embraced with well packaged and comprehensive News bulletins.

Listen on website> https://www.magharibi.digital/radio
Online Link> https://zeno.fm/radio/busia-border-radio/

12/06/2026

Friday k**a kawaida Usiku Sacco naye Dj-bestkid Jay kuanzia 10pm🔥 hapa ndani yBUSIA Border RADIO
Wakilisha mapema sasa register sasa ndani yaOdiBets kupitia www.odibets.com

12/06/2026

Ni Friday na mambo ni live🔥🔥🔥
Dj-bestkid Jay alongside Olga Juma representing ✌️ Unasikiliza ukiwa wapi?

11/06/2026

Vibe ya njioni naye Dj-bestkid Jay tayari hewani sikiliza 🔥OdiBets register sasa ndani ya OdiBets Na uomoke msimu huu wa World Cup - www.odibets.com

11/06/2026

Tbt Edition naye Dj-bestkid Jay🔥 1pm-4pm
Wakilisha✌️BUSIA Border RADIO

11/06/2026

Hali halisi katika mtaa wa marach mjini busia wakati mwili wa Fredrick Odhiambo maarufu k**a Papa aliyekufa baada ya kupigwa risasi mnamo tarehe 19 mwezi jana ukitarajiwa kutolewa kwenye makafani hii leo.
Odhambo alipigwa risasi wakati wa mandamano wakishinikiza kuachiliwa kwa mmoja wa wakaji wa Marach maarufu k**a Chikuzee aliyek**atwa na polisi kwa madai ya kuhusika katika kuharibu gari ya polisi.

10/06/2026

Oya vipi Breeze ya njioni naye Dj-bestkid Jay
Uko area gani?
OdiBets inakupa nafasi ya kuomoka msimu huu wa world cup. Register sasa - www.odibets.com

10/06/2026

Vibes naye Dj-bestkid Jay na Olger Juma 🔥
Halla Now! 1pm-4pm
Unasikiliza ukiwa wapi?

10/06/2026

Pea huyu mrembo Ushauri jamaa amekataa kumtumia pesa🤣
Dj-bestkid Jay atasoma maoni yako kesho ndani ya Border Vibes 1pm- 4pm

10/06/2026

Huku orodha ya shule zinazoathirika na mikasa ya mioto ikiendelea kuongezeka, shugli za masomo katika shule ya wavulana ya upili John Osogo iliyo katika kaunti ndogo ya Bunyala kaunti ya Busia zimetatizika mapema leo baada ya chumba cha mashine ya genereta kuwaka moto alfajiri ya kuamkia leo

Hata hivyo, chanzo cha moto huo hakijabainika japo ulidhibitiwa mapema kabla ya uharibifu zaidi kutendeka.

09/06/2026

Dj-bestkid Jay k**a kawaida njioni ya Leo iwanice Unasikiliza ukiwa wapi? Cheza na uregister sasa na
OdiBets Tembelea tovuti www.odibets.com

Want your business to be the top-listed Media Company in Busia?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Busia