Click The Hope
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Click The Hope, Church, Pasiansi, Mwanza.
Sikia habari za mwandishi ambaye wakati wa uhai wake aliandika zaidi ya makala 5,000 na vitabu 40. Mwanamke aliyeishi katika karne ya kumi na tisa ambaye maandishi yake bado yanaleta mapinduzi ya kimaisha, kifikra na kiroho kwa mamilioni ya watu duniani kote hadi hivi leo.
Karibu kwenye Nasaha za Kalamu Iliyovuviwa, mfululizo wa nukuu za Ellen G. White katika mfumo wa video kutoka UDOM West Social SDA π.
Jiandae kuguswa, kufurahishwa, kubarikiwa, na kubadilishwa, Amenπ.
18/07/2022
Unatafuta kitu bora zaidi? Unatafuta njia ya kutoka kwenye shida zako? Untafuta majibu ya kuaminika? Unataka amani kamili ya moyo? Unahitaji kuishi kutimiza kusudi? Unatafuta msamaha
Tuko hapa kukuelekeza kwa yule atakayesaidia, Yesu Kristo.
Karibu π€.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Pasiansi
Mwanza
Opening Hours
| 08:00 - 18:00 |