MOAJ Graphics
Graphic designer with outstanding designs, all under affordable prices. You won't regret choosing us
04/11/2025
Tanzania nchi yangu ๐น๐ฟ๐ญ
Poleni sana familia zilizopoteza baba, mama, dada, kaka, watoto, wajukuu, rafiki, co-workers.
Mliopata majeraha, nawaombea uponyaji๐๐ฝ
21/09/2025
Ukiwa Mwanza, Mahitaji yako ya bidhaa za urembo na matunzo ya ngozi zinapatikana maeneo ya Dampo.
10/09/2025
๐๐ฎ๐ฑ๐ต๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ, ๐จ๐ฏ๐๐ป๐ถ๐ณ๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฝ๐ฒ๐ธ๐ฒ๐ฒ ๐ฅโจ
Label hii ya ๐๐ถ๐ณ๐ ๐ฃ๐ฒ๐ฎ๐ป๐๐ ๐๐๐๐๐ฒ๐ฟ ilibuniwa kwa lengo la kuwasilisha ladha, afya na ubora kwa macho kabla hata ya kufungua kifuniko!
๐ฏ Rangi ya karanga kuonesha asili ya bidhaa
๐ฏ Fonti laini & ya kupendeza kuendana na texture ya bidhaa
๐ฏ Picha ya karanga mbichi na zilizokaangwa kuamsha hamu
Kwa kuwa bidhaa yako ni bora, ni vizuri muhimu muonekano wake uzungumze ubora.
Unahitaji Label inayovutia, inayoaminika na inayouza??
๐ฒWasiliana nasi kwa kazi za Ubunifu zenye matokeo.
08/09/2025
๐๐ฎ๐ฏ๐ฒ๐น ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐๐ฎ, ๐จ๐ฏ๐๐ป๐ถ๐ณ๐ ๐๐ป๐ฎ๐ผ๐ฎ๐บ๐ถ๐ป๐ถ๐ธ๐ฎ!
Kwa bidhaa hii ya DHD Sunflower Oil, mteja alihitaji label itakayoakisi ubora, afya, na asili ya bidhaa yake. Tulitengeneza muonekano safi, wa kuvutia na unaowasilisha ujumbe wa ๐ญ๐ฌ๐ฌ% ๐ก๐ฎ๐๐๐ฟ๐ฎ๐น ๐ฃ๐ฟ๐ผ๐ฑ๐๐ฐ๐ kwa haraka bila kuhitaji maneno mengi.
๐ธ Rangi za kijani na njano zilichaguliwa kwa makusudi kuwakilisha ๐ฎ๐๐ถ๐น๐ถ, ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฏ๐ถ๐ฐ๐ต๐ถ
๐ธ Tuliongeza icons za ubora (recyclable, cholesterol free) kuongeza ๐ถ๐บ๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐ป๐๐ป๐๐๐ถ ๐๐ผ๐ธ๐ผ๐ป๐ถ
๐ธ Picha ya mafuta na kuku iliyopikwa huonyesha ๐บ๐ฎ๐๐๐บ๐ถ๐๐ถ ๐ต๐ฎ๐น๐ถ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ฏ๐ถ๐ฑ๐ต๐ฎ๐ฎ, kuhamasisha wateja kuchukua hatua
Mafuta halisi yanahitaji label halisi.
๐จ๐ป๐ฎ๐ต๐ถ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐น๐ฎ๐ฏ๐ฒ๐น ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฒ๐บ๐ฎ ๐๐ผ๐๐ฒ ๐ฏ๐ถ๐น๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐บ๐ฎ ๐บ๐ฒ๐ป๐ด๐ถ?
๐ฒ๐๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ง๐ ๐ง๐๐ฌ๐ข ๐ฅ๐๐จ, ๐ญ๐ฎ๐๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ข๐๐ก๐๐ ๐ฒ๐๐ค๐จ ๐ข๐ฎ๐ณ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐๐ค๐๐ง๐ ๐ญ๐ฎ!

๐ฅ ๐๐๐๐๐ฅ ๐๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฎ๐ณ๐, ๐๐ข๐๐ก๐๐ ๐๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฏ๐ฎ๐ญ๐ข๐ ๐ฅ
Kwa bidhaa hii ya DHD Sunflower Oil, tulibuni label inayozungumza ubora, afya na asili hata kabla ya mteja kusoma maelezo.
๐ป ๐ญ๐ฌ๐ฌ% ๐ก๐ฎ๐๐๐ฟ๐ฎ๐น ๐๐ผ๐ผ๐ธ ๐ณ๐ผ๐ฟ ๐ฎ ๐ญ๐ฌ๐ฌ% ๐ก๐ฎ๐๐๐ฟ๐ฎ๐น ๐ฃ๐ฟ๐ผ๐ฑ๐๐ฐ๐
Tulihakikisha kila kipengele cha label kinaakisi thamani halisi ya mafuta haya kutoka ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ด๐ถ ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ท๐ฎ๐ป๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ป๐ท๐ฎ๐ป๐ผ, hadi picha halisi ya bidhaa ikitumiwa jikoni.
โ๏ธ Icons za ubora (cholesterol free, recyclable) zinaongeza imani ya mteja
โ๏ธ Message fupi lakini yenye nguvu: ๐ข๐ฟ๐ฑ๐ฒ๐ฟ ๐ฌ๐ผ๐๐ฟ๐ ๐ก๐ผ๐! ikihamasisha wateja kuchukua hatua ya haraka
๐ K**a unahitaji label inayosaidia bidhaa yako kuongea moja kwa moja na wateja basi uko mahali sahihi. Wasiliana nasi sasa:
0757522898 (Gusa namba kwenye Bio kwa urahisi)
๐จ๐ฏ๐๐ป๐ถ๐ณ๐ ๐๐ป๐ฎ๐ผ๐๐๐ฎ ๐๐ถ๐ผ ๐ฏ๐ฎ๐ต๐ฎ๐๐ถ. ๐ก๐ถ ๐บ๐ธ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ถ.
* *

๐
๐ซ๐จ๐ฆ ๐๐๐๐ ๐ญ๐จ ๐๐๐๐ง๐ญ๐ข๐ญ๐ฒ. ๐๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ฎ ๐๐ง๐๐จ๐ฌ๐๐ฆ๐ ๐๐๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ง๐๐ง๐จ
Kutoka kwenye label inayouza hadi muonekano wa chapa kwenye bidhaa, kazi yangu ni kuhakikisha kila kitu kinaakisi thamani ya mteja.
๐ธ Logo ya DHD Company LTD tulibuni kwa umaridadi ikilenga uweledi, imani na ubora wa kudumu.
๐ธ Tuliiweka kwenye mugs k**a sehemu ya brand visibility iwe ofisini au kwenye maonesho, chapa inabaki na mvuto wake.
๐ธ Kwenye bidhaa (k**a mafuta ya alizeti), logo hii imeongeza muonekano wa kitaalamu unaoaminika sokoni.
Ubunifu wa chapa ni zaidi ya alama ni utambulisho wa biashara yako.
Karibu tufanye kazi pamoja ili chapa yako isikike kabla ya mtu hajaisema.
07/09/2025
Sisi hatufanyi designing, tunaipa Brand yako uhai!๐ช
Asante TriDav Company kupitia bidhaa ya FreshGuard detergent kwa kutuchagua k**a Branding partners.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
MKOLANI
Mwanza
3112