Prophet Deodath
Official facebook Page of Prophet Deodath
YOUTUBE PROPHETH DEODATH
29/09/2021
Dunia na vyote unavyoviona ni vya tu nyenyekea mwanangu..
HITIMISHO! HITIMISHO!
LA MAOMBI YA UKOMBOZI WA FAMILIA
JUMAPILI HII..
HEMA LA UPONYAJI NA BARAKA MBAUDA ARUSHA
SAA 8:00 MCHANA - 12:00 JIONI
KANISA LA UPONYAJI NA BARAKA KCMC KOSATA MOSHI
SAA 1:30 ASUBUHI - 5:30 ASUBUHI
USIKOSEEE
29/09/2021
HESHIMA YAKO INAKUJA,
Wanaokuona wewe ni wa chini usishindane nao maana hawajui kile ambacho Mungu amekiandaa kwaajili yako , endelea kumtegemea Mungu.
28/09/2021
Happiness Jeremia kutoka Singida anamshukuru Mungu kwa kumponya changamoto ya maumivu ya tumbo yaliyomtesa toka akiwa darasa la tatu, na pia alipokuwa anapumzika kuna mtu alikuwa anamjia na kumwingilia kimwili na kusababisha kutokudumu kwenye kila mahusiano anayokuwa nayo.
Hata alipoenda Hospitali walimwambia ana Mimba Hewa, na kumfanya azunguke kwa waganga zaidi ya 30 lakini hakupata suluhisho ila Baada ya kufika Hema la Uponyaji na Baraka Mtumishi wa Mungu Prophet Deodath alimuombea na sasa Mungu ameondoa changamoto zote za mimba hewa maumivu ya tumbo, na hata yule mtu aliyekuwa anakuja wakati amelala haji tena,
JINA LA BWANA LIINULIWE..
27/09/2021
Wewe ni wa thamani mbele za Mungu, endelea kumuamini na kumtegemea Mungu..
27/09/2021
HITIMISHO! HITIMISHO!
LA MAOMBI YA UKOMBOZI WA FAMILIA
JUMAPILI HII..
HEMA LA UPONYAJI NA BARAKA MBAUDA ARUSHA
SAA 8:00 MCHANA - 12:00 JIONI
KANISA LA UPONYAJI NA BARAKA KCMC KOSATA MOSHI
SAA 1:30 ASUBUHI - 5:30 ASUBUHI
USIKOSEEE
27/09/2021
Sunday Service
IBADA MAALUM YA UKOMBOZI WA FAMILIA
JUMA LA PILI
Hema la Uponyaji na Baraka Mbauda Arusha..
27/09/2021
Sunday Service
IBADA MAALUM YA UKOMBOZI WA FAMILIA
Hema la Uponyaji na Baraka Mbauda Arusha..
APONYWA CHANGAMOTO YA KUTOKWA NA USAHA MASIKIONI BAADA YA MAOMBI....
26/09/2021
Sunday Service
IBADA MAALUM YA UKOMBOZI WA FAMILIA
Kanisa la Uponyaji na Baraka Moshi Kosata..
26/09/2021
Sunday Service
IBADA MAALUM YA UKOMBOZI WA FAMILIA
Kanisa la Uponyaji na Baraka Moshi Kosata..
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Address
1247
Moshi
25000