Computerteacher
Mafunzo na Ujuzi wa Tehama/ICT SKILLS and Learning. https://www.computerteacher.tk
26/06/2026
MIT COLLEGE CHUO KIPO MOSHI MJINI
24/06/2026
TRUE
Yaani hapa Kwa ni k**a alijisaini mwenyewe, dogo anapita mule mule.
Msanii wa muziki Dvoice anasema ndoto yake kubwa miaka 10 ijayo ni kuwa billionaire anayemiliki Dollar Bilioni 5.
Ikumbukwe hata Diamond Platinumz aliwahi kusema kwamba ndoto yake kubwa miaka ijayo ni kuwa tajiri namba moja Duniani.
Yaani ukimsikiliza Dvoice utagundua kuwa ana u-diamond ndani yake. Ni watu ambao wana mawazo makubwa, wana maono ya mbali zaidi.
Tuendelee kumsikilizia Dvoice, huenda akawa Diamond Platinumz wa baadae maana ameshaanza kuonesha dalili, au mnasemaje wadau 🙂
24/06/2026
MIT COLLEGE KARIBU KWA ELIMU NA UJUZI
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
MOSHI
Moshi
KILIMANJARO