Pam Security Agency

Pam Security Agency

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pam Security Agency, Home Security Company, Mbalizi, Mbeya.

🔐 PAM SECURITY AGENCY
🛡️ Ulinzi wa Makazi | Shule | Hospitali | Taasisi
👮 Askari waliopata mafunzo & wenye nidhamu
⏰ Ulinzi wa saa 24
📍 Mbeya – Tanzania
📞 Piga simu au WhatsApp nasi 0627 748 871

25/08/2026

Eid Mubarak!

25/08/2026

Kuweka CCTV camera ni jambo jema na la busara kwa upande mmoja....Je,umewahi kujiuliza ni nani anasimamia na kufuatilia CCTV camera hizo au ndo zipo kusubiri uibiwe ili zitimike k**a ushahidi?

HUJACHELEWA! Pam Security Agency ndio suluhisho la tatizo lako. KUMBUKA: Kinga ni Bora kuliko tiba!!

Tunatatua matatizo ya usalama kwa kiwango Cha juu kwa kutumia teknolojia,watumishi waliofuzu mafunzo ya usalama na ufuatiliaji WA alarm,gps, CCTV camera n.k.

Karibu!

25/08/2026

Ulinzi ni uwekezaji sio Gharama

31/07/2026

Ulinzi ni uwekezaji sio Gharama...

03/07/2026

CAREER OPPORTUNITY!
PAM Security Agency inatafuta watu wenye maono, ubunifu na ari ya mafanikio.
✅ Business Development Officer
✅ Operations Officer
📅 Deadline: 17/07/2026
📧 [email protected]
📞 0627748871 | 0743178943

21/04/2026

🚨 UNATAKA KUANZISHA KAMPUNI YA ULINZI TANZANIA?

Watu wengi wanaanza… lakini wengi wanashindwa.
Sababu?

❌ Hawajui pa kuanzia

❌ Hawana mfumo wa kupata wateja

❌ Wanashindana kwa bei badala ya ubora

Sasa nimekuandalia MWONGOZO KAMILI utakao kusaidia:

✅ Kuanzisha kampuni yako hatua kwa hatua
✅ Kujitofautisha na kampuni nyingine
✅ Kupata wateja wako wa kwanza
✅ Kujenga mfumo wa kazi unaoaminika

📘 Jinsi ya Kuanzisha na Kushinda Biashara ya Ulinzi Tanzania
💰 Bei: TZS 30,000 tu

📲 Wasiliana nami sasa kupata nakala yako
👉 WhatsApp: 0627 748 871

Usikae na wazo—anza sasa.

17/04/2026

Usafi unaouona sio usafi wa kweli.

Maeneo haya 7 yanaweza kuwa chanzo cha magonjwa bila wewe kujua.

✅Tunatoa huduma ya deep cleaning
✅Tunatumia disinfectant za kiwango cha juu
✅Tunahakikisha mazingira yako ni salama 100%

📞 Wasiliana nasi leo – 0627 748 871
PamSec Cleaning Services

17/04/2026

Mwarobaini WA vibaka mjini

13/04/2026

Want your business to be the top-listed Home Improvement Business in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Mbalizi
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pam Security Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Mbeya.