PaLm Collection
Beauty Natural products
21/07/2020
ARGAN OIL
SHAMPOO
CONDITIONER
HAIR MASK
HAIR TREATMENT.
Ukitumia bidhaa za Argan katika nywele zako SHAMPOO
Hufanya nywele zako kuwa laini na zenye afya, CONDITIONER
Huzifanya nywele kuwa na unyevu unyevu wakati wote hivyo kuhupunguza Nywele kukatika na kuwa na mba.
HAIR MASK
Hii steaming ni rutuba katika nywele zako huzaidia nywele zako kukua kwa kasi sana.
HAIR TREATMENT
Hii husaidi kuotesha nywele za mbele zilizokatika. Pia husaidia wakina Baba wenye vipara hukuza nywele kiujumla.Pia huzifanya nywele zako kuwa laini na zenye afya..
K**a unapenda kuwa na nywele nzuri na zenye afya tumia bidhaa za Argan katika nywele zako. Hutajutia..
Karibuni.
Call: 0783683243
21/07/2020
RECOVERY OIL
OSIRIS..
Mafuta mazuri ya ngozi yanayoondoa michirizi na kuondoa makovu katika ngozi. Pia hulinda Afya ya Ngozi yako wakati wote
21/07/2020
BODY BUTTER
WITH MOROCCAN EXTRACT OIL
Ina virutubisho maalumu vya kulainisha ngozi yako, kuifanya iwe na rangi moja pia kuboresha afya ya Ngozi yako wakati wote.
21/07/2020
ARGAN OIL
HAND & NAIL CREAM
Imetengenezwa na virutubisho maalum, Vinavyosaidia ngozi yako ya mikono kuwa laini na kutunza kucha zako wakati wote..
Karibuni.
Wewe dada, Vaa pendeza kwa Tshirts za kijanja k**a hizi, Kwa bei nafuu kabisa,
Zinakupitaje sasa
Sh. 15000 kwa rejareja
Karibuni.
contact +255717641550
02/11/2019
02/11/2019
Kwa Tshirts kali k**a hizi,
Chimbo lake ni moja tu,
Pata Kwa bei nafuĈ° Kabisa,
15000 za kitanzania,
Karibuni wote.
+255717641550
01/11/2019
Stylish tishrt for sale.
High quality material.
Bei 15000
Call 0717641550
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kariakoo