Flowin vitus

Flowin vitus

Share

Journalist, Newswriter &Reporter, RedioPresenter &GraphicDesigner, DigitalContentCreator

04/10/2026

, Hatua ya makundi (🏟 Estádio do Dragão)

Kundi D
FT: Portugal 2-1 Norway
âš˝ K. Ajer 36

âš˝ J. Cancelo 38
âš˝ G. Ramos 79
F. Conceição 86' 🟥

04/10/2026

Tuambie K**a kuna njia ya kukwepa huu mtego

゚viralシ

04/10/2026

Wale wajomba Wa kuangalia kwa macho kipimo kimetoa majibu gani hapa kuhusu baba wa familia?????

゚viralシ

04/10/2026

"Kwa miongo kadhaa, mawaziri wa fedha wa Afrika na wawekezaji wa kimataifa wamefanya kosa la kimsingi. Wamekuwa wakichukulia afya k**a mstari tu wa gharama kwenye bajeti zao ambao unafadhiliwa pale tu pesa zinapobaki. Leo, katika Jukwaa la Alamein Africa, tunasonga mbele zaidi ya mtazamo huo wa kizamani."

"Hebu kila mmoja wetu amlete Waziri wake wa Fedha kwenye meza ya mazungumzo ya afya, na amkalishe hapo hapo kwenye meza hiyo."

-Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, Katika hotuba yake Oct 03, 2026 kwenye mkutano wa Alamein Africa Forum nchini Misri-

04/10/2026

"Tusichukulie sekta ya afya k**a gharama au matumizi ya kijamii katika bajeti zetu, bali tuiweke k**a sekta ya kiuchumi yenye faida kubwa na inayoweza kuwekezwa. Kinga inatunufaisha mara tisa zaidi."

"Lengo letu ni kujitegemea ki-afya (health sovereignty), pamoja na kuwa na usalama wa kiuchumi na kifedha kwa watu bilioni 1.4 wa Afrika."

-Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, Katika hotuba yake Oct 03, 2026 kwenye mkutano wa Alamein Africa Forum nchini Misri-

04/10/2026

Hizi sura zina matukio yake muhimu ni yapi hayo.....??

゚viralシ

04/10/2026

Ethiopia ndio nchi pekee barani Afrika inayomiliki Kituo cha Kwanza cha Polisi cha Kidijitali (Smart Police Station) barani Afrika, kituo kinachoendeshwa kwa teknolojia ambacho kinaruhusu wananchi kuripoti kesi kupitia skrini za kidijitali na mifumo ya kielektroniki inayojiendesha yenyewe.

Mpango huu umebuniwa na kituo hicho kimezinduliwa Feb 06, 2026 ambacho kimelenga kuongeza ufanisi, kupunguza ucheleweshaji wa kushughulikia malalamiko, na kukuza uwazi zaidi katika mchakato mzima wa ulinzi na usalama.

03/10/2026

"Wakati huu ambapo uchumi wa dunia unakabiliwa na changamoto nyingi, Afrika inahitaji kuongeza ushirikiano wa kikanda na kimataifa, kutengeneza mazingira wezeshi zaidi kwa ajili ya kufanya biashara na uwekezaji, pamoja na kukuza ushirikiano unaoongeza tija, unaozalisha ajira na kuboresha ustawi wa wananchi."

-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, katika majadiliano ya ngazi ya juu kwenye Jukwaa la Biashara la Alamein Afrika (Alamein Africa Business Forum)-

03/10/2026

"Ushirikiano wa kimataifa unapaswa kuelekezwa katika kufungua fursa za uwekezaji wa kimkakati, kuharakisha maendeleo ya viwanda na miundombinu, na kuimarisha nafasi ya Afrika katika minyororo ya thamani ya kikanda na kimataifa."

-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, katika majadiliano ya ngazi ya juu kwenye Jukwaa la Biashara la Alamein Afrika (Alamein Africa Business Forum)-

Want your business to be the top-listed Media Company in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Flowin vitus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Iringa.