Southern Tanzania Elephant Program
Dedicated to creating a secure future for elephants in southern Tanzania, and beyond
Our mission is to secure a peaceful future for elephants in southern Tanzania. We support the protection efforts of rangers; work with farmers and the broader community to enhance coexistence with elephants; and advise on conservation of elephant corridors.
๐๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฐ๐๐ค๐ ๐๐๐๐.
Mwaka 2025 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa uhifadhi Kusini mwa Tanzania kupitia ushirikiano wa jamii, serikali na wadau wa uhifadhi.
๐๐๐ญ๐ฎ๐ ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ซ๐๐ฌ๐ฆ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ณ๐ ๐ง๐๐ก๐ข๐ง๐ข ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ข๐, hatua inayosaidia kulinda makazi ya wanyamapori na kuimarisha mahusiano kati ya binadamu na tembo.
Kwa kushirikiana na jamii, taasisi za serikali na wadau wa uhifadhi, STEP ilifanikiwa yafuatayo:
๐ข ๐๐ฎ๐๐๐๐ก๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฆ ๐๐,๐๐๐ ๐ณ๐ ๐๐จ๐ซ๐ข๐ ๐ณ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
๐ข ๐๐ฎ๐จ๐ง๐๐จ๐ ๐ฆ๐ข๐ญ๐๐ ๐จ ๐,๐๐๐ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ ๐ค๐๐ฆ๐๐ข ๐๐๐ ๐ณ๐ ๐ฐ๐๐ฐ๐ข๐ง๐๐๐ฃ๐ข ๐ก๐๐ซ๐๐ฆ๐ฎ
๐ข ๐๐ฎ๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐๐๐๐๐ฌ ๐๐ ๐ณ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐ก๐๐ฆ๐ ๐,๐๐๐
๐ข ๐๐ฎ๐ฐ๐๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐ข ๐ณ๐๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐๐,๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐ ๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
๐ข ๐๐ฎ๐ซ๐๐ค๐จ๐๐ข ๐๐ข๐ง๐ ๐๐ ๐ณ๐ ๐ฆ๐๐ฆ๐๐ฅ๐ข๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐๐จ๐ซ๐ข๐๐จ ๐ฒ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Mafanikio haya yanaonyesha ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ญ๐จ๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข, ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข, ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข, ๐ฐ๐๐ญ๐๐๐ข๐ญ๐ข, ๐ฐ๐๏ฟฝ
23/05/2026
๐๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐๐๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ค๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข
Afya bora ya kuku huanza na maarifa sahihi. Kwa msaada wa , STEP kwa kushirikiana na wakufunzi kutoka ๐๐ง๐ข๐ฆ๐๐ฅ ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐ญ ๐๐จ๐ง๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ญ๐๐ง๐ญ ๐๐ง๐ ๐๐๐๐ก๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ฒ ๐๐จ๐ฆ๐ฉ๐๐ง๐ฒ iliendesha mafunzo ya afya ya kuku๐ค๐ฐ๐ ๐ฅ๐๐ง๐ ๐จ ๐ฅ๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐ฐ๐๐๐ฎ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐๐๐จ๐ ๐จ ๐ค๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ ๐ก๐๐ฌ๐๐ซ๐ ๐ณ๐ข๐ง๐๐ณ๐จ๐ญ๐จ๐ค๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐.
๐๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ก๐๐ฒ๐จ ๐ฒ๐๐ฅ๐ข๐ฐ๐๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ฐ๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฆ๐ ๐๐๐ ( ๐๐% ๐ฐ๐๐ง๐๐ฐ๐๐ค๐).Mafunzo ๐ฒ๐๐ฅ๐ข๐ฃ๐ข๐ค๐ข๐ญ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฆ๐๐ฆ๐ข๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐, ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ง๐ณ๐๐ฃ๐ข ๐ฌ๐๐ก๐ข๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ฉ๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ก๐๐ง๐ฃ๐จ ๐๐ก๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐๐๐ซ๐ข.
Kwa kuwapatia wafugaji maarifa na ujuzi, ๐๐๐๐ ๐ข๐ง๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ณ๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ค๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐๐ฒ๐, ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข ๐ณ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐๐ก๐ข๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ณ๐๐ข๐๐ข.
16/05/2026
๐๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐ ๐๐ฐ๐๐ง๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ข๐ญ๐๐ง๐๐จ ๐ก๐๐๐ข ๐๐๐ข๐ฌ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข: ๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฅ๐ข๐ณ๐๐๐๐ญ๐ก
Uhifadhi wa maeneo ya Tanzania yenye bioanuwai kubwa hauhitaji mikakati pekee, bali pia unahitaji ujasiri, kujitolea, na watu wenye dhamira ya kweli ya kulinda hifadhi zetu. Kutana na Elizabeth Masatu โ mmoja wa mashujaa wanaoleta mabadiliko kila siku kupitia juhudi zake za dhati katika uhifadhi.
Eliza alijiunga na shirika la STEP mwaka 2022 k**a mwanafunzi wa mafunzo kwa vitendo , na baadaye akawa Afisa Ushoroba, akisaidia urejeshwaji wa Shoroba ya Wanyamapori ya NyerereโUdzungwa katika Bonde la Kilombero. Mwaka 2024, alihamia Idara ya Uhifadhi ya STEP, ambako sasa anahudumu k**a Afisa Uhifadhi
Katika nafasi yake ya sasa, Eliza huratibu doria za pamoja na , na Askari wa Wanyamapori wa Vijiji katika maeneo matatu muhimu ya hifadhi, akisaidia kuimarisha juhudi za uhifadhi katika mandhari ya UdzungwaโKilombero. Pia anaongoza shughuli za chumba chaufuatiliaji cha STEP (control room), akisimamia mfumo wa EarthRanger kufuatilia timu za uwandani na kusaidia maamuzi ya haraka kwa ufanisi zaidi wa uhifadhi wa uwandani.
Eliza pia ni mhitimu wa programu ya Grumeti Fundโs Women in the Field. Akiwa nje ya kazi ya uhifadhi, Eliza hupendelea kusafiri, kutazama filamu, na kusikiliza muziki.
K**a spishi muhimu (keystone species) katika mfumo wa ikolojia, Eliza ana mchango mkubwa katika kuimarisha na kudumisha juhudi za uhifadhi ndani ya STEP. Tunajivunia kuwa naye katika timu yetu na kushirikiana naye katika safari hii ya uhifadhi yenye msukumo mkubwa.
09/05/2026
๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐๐จ๐ง๐๐ ๐ฅ๐ ๐๐ข๐ฅ๐จ๐ฆ๐๐๐ซ๐จ
Kila mtoto mwenye ufahamu kuhusu wanyamapori leo, anachangia kujenga kesho salama zaidi kwa watu na mazingira.
Kupitia programu yetu ya uhamasishaji shuleni, wanafunzi wanaoishi karibu na maeneo ya hifadhi wanajifunza:
โ
Hatua za usalama wanapokutana na tembo
โ
Tahadhari wakati wa kukutana na wanyamapori
โ
Umuhimu wa kulinda mazingira na wanyamapori katika jamii zao
Hadi sasa, tumefundisha jumla ya masomo 6 katika shule 31, ikiwemo shule 8 za sekondari. Mwaka 2025 pekee, tumefundisha:
๐ Wanafunzi 4,907
๐ง Wasichana 2,486
๐ฆ Wavulana 2,421
Vipindi hivi vya mafunzo ya elimu vimetolewa na Mwezeshaji wetu wa idara ya Kuishi kwa Ushirikiano na Wanyamapori na Maisha Endelevu (Coexistence and Livelihoods), Beatrice Lihaku. Tunamshukuru kwa dhati Beatrice kwa kazi kubwa anayofanya katika kutoa mafunzo haya kote Bonde la Kilombero.
Hii ni zaidi ya elimu โ ni kujenga mustakabali ambapo watu na wanyamapori wanaweza kuishi pamoja kwa usalama na uendelevu.
02/05/2026
๐๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ซ๐ข๐ค๐๐ฅ๐ข ๐ณ๐ ๐๐ข๐ญ๐๐: ๐๐๐ง๐ณ๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฌ๐ข๐ฆ๐๐ฆ๐ข๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Tarehe 10 Aprili 2026, hatua muhimu ilipatikana katika Ukanda wa Wanyamapori wa NyerereโUdzungwa (NUWC) kwa kuanzishwa rasmi kwa K**ati ya Usimamizi ya Pamoja- Joint Management Committee (JMC) chini ya Kanuni za Maeneo ya Njia za Wanyamapori (ushoroba) za 2018. Hii ni hatua ya kuimarisha utawala wa ndani na uendelevu wa ushoroba wa kwanza wa wanyamapori uliotambuliwa kisheria Tanzania.
JMC inahusisha viongozi wa vijiji vya Sole, Mangโula A, na Kanyenja, pamoja na mamlaka za serikali na taasisi za uhifadhi k**a , , , , na Ofisi ya Wakili wa Halmashauri ya Ifakara ()chini ya uratibu wa STEP.
Baada ya mchakato wa uwazi wa uchaguzi na uapisho, uongozi uliundwa k**a ifuatavyo:
>Mwenyekiti โ Kijiji cha Sole
>Makamu Mwenyekiti โ TAWA
>Katibu โ Afisa Wanyamapori wa Wilaya (MNRT)
Uanzishwaji huu unaonesha wazi kuwa jamii ziko katikati ya maamuzi ya usimamizi wa ushoroba huu, zikishirikiana na serikali na wadau wa uhifadhi.
Kwa uratibu wa kwa kushirikiana na , JMC hii ni mfano wa uongozi wa kijamii unaolenga uhifadhi shirikishi na endelevu ambapo watu na wanyamapori wanaishi kwa pamoja kwa ustawi.
**atiYaUsimamiziYaPamoja
18/04/2026
๐๐๐ฎ๐๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Ushoroba wa Wanyamapori wa NyerereโUdzungwa ni mfano muhimu wa kujifunza jinsi urejeshaji wa ushoroba unavyoweza kusaidia muunganiko wa makazi ya wanyamapori na kuimarisha uhusiano chanya kati ya binadamu na wanyamapori katika maeneo yenye matumizi mchanganyiko ya ardhi.
Kwa sababu hiyo, STEP kwa kushirikiana na na Kituo cha Ufuatiliaji wa Ikolojia cha Udzungwa (.tanzania ), imekuwa ikifuatilia jinsi wanyamapori wanavyotumia ushoroba huu.
Kupitia matumizi ya kamera za kunasa picha (camera traps) na doria za ardhini za kila mwezi, tumerekodi aina 28 za mamalia katika eneo la ushoroba, wakiwemo tembo, nyati, mondo, na mbawala. Inatia moyo kuwa matokeo ya awali yanaonesha ongezeko la shughuli za tembo katika ushoroba tangu mwaka 2023.
Pia tunashirikiana na Wafuatiliaji wa Tembo wa Kijiji (Local Elephant Monitors) katika vijiji jirani kufuatilia uharibifu wa mazao unaosababishwa na tembo, ambapo matokeo ya awali yanaonesha kupungua kwa matukio hayo.
Kwa pamoja, ufuatiliaji huu wa muda mrefu unatoa uelewa muhimu kuhusu jinsi urejeshaji wa ushoroba unavyoweza kusaidia harakati za wanyamapori na kuimarisha uhusiano wa kuishi kwa pamoja kati ya binadamu na tembo.
Shukrani kwa msaada mkubwa na wa ukarimu kutoka kwa USAID, , , na , kazi hii inaendelea kutoa ushahidi muhimu unaosaidia kuongoza hatua za uhifadhi na kuimarisha uhusiano wa kuishi kwa pamoja kati ya binadamu na wanyamapori katika mandhari yote ya eneo hili.
uhifadhiafrika
14/03/2026
๐๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐๐ฎ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐: ๐๐ฎ๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐ฎ๐๐ก๐ข๐๐ข๐ญ๐ข ๐๐ข๐ ๐จ๐ ๐จ๐ซ๐จ ๐๐๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ง๐๐๐๐ฆ๐ฎ ๐ง๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข
Jamii zinazokaa karibu na Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori MBOMIPA zinatumia ardhi pamoja na wanyamapori kwa baadhi ya muda. Ingawa kuishi kwa pamoja kati ya wanyamapori na binadamu kuna faida nyingi, pia kuna muda huleta changamoto, hasa pale tembo wanapoharibu mazao. Ili kupunguza migogoro hii na kuimarisha uhusiano chanya kati ya watu na wanyamapori, tulisaidia Jumuiya ya MBOMIPA kuanzisha timu maalum ya kudhibiti migogoro kati ya binadamu na wanyamapori.
Tangu 2023, timu hii yenye askari 12 walioteuliwa kutoka Katika jamii imekuwa ikishughulikia matukio katika vijiji 13 vyenye hatari zaidi. Kupitia ushirikiano na wadau k**a TAWA, Halmashauri ya Wilaya, PAMS Foundation, Kichaka Environmental Expedition Program, na Honeyguide Foundation, timu hii imepata mafunzo ya haki za binadamu na usalama wa kijamii, tabia ya tembo na mbinu za usalama, huduma ya kwanza, na mbinu zisizo za kikatili za kuzuia migogoro kati ya binadamu na wanyamapori.
Ili kuwezesha muitikio wa haraka na salama, timu imepewa vifaa vya kazi, sare, viatu, vifaa vya huduma ya kwanza, simu za mkononi, na zana za ukusanyaji wa takwimu, pamoja na gari maalum lenye taa na kengele. Msaada pia umejumuisha ukarabati wa kituo cha HWC katika Kijiji cha Mboliboli na kuimarisha uratibu kupitia mipango ya kila mwezi, mafuta, chakula, na matumizi ya technolojia ya EarthRanger kwa ufuatiliaji.
Kati ya 2023 na 2025, timu imefanikiwa kuitikia matukio 220, ambapo tembo walizuiwa kuingia mashambani kwa asilimia 67, na kufanikiwa kuwafukuza kabla kufanya uharibifu zaidi kwa asilimia 33.
Tunapoingia mwaka 2026, tunaendelea kuunga mkono Jumuiya ya MBOMIPA na jamii zake kulinda mazao yao dhidi ya tembo katika eneo hili, hii itaendeleza kuchangia mustakabali salama kwa watu na wanyamapori.
๐๐๐ง๐๐ฐ๐๐ค๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐๐: ๐๐๐ค๐ข๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐ข๐ฅ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ญ๐ฎ ๐ง๐ ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข
Katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, tunasherehekea wanawake wa STEP ambao wanachangia ujuzi wao na kujitolea kwao katika kujenga mustakabali ambapo asili na jamii vinaweza kustawi pamoja. ๐ฟ
Miongoni mwao kuna wanawake viongozi wanaoongoza idara zao kwa busara na maono, wakisaidia timu zao kukua huku wakiiimarisha taasisi kwa ujumla.
Pia tuna wanawake wanaofanya kazi uwandani, wakifanya tafiti, kusaidia kuboresha maisha ya jamii, kufanya uhifadhi katika hifadhi za asili na kushughulikia changamoto za migogoro kati ya binadamu na wanyamapori, ili kuhakikisha kuwa uhifadhi unaleta manufaa halisi kwa watu wanaoishi karibu na wanyamapori.
Wengine hufanya kazi nyuma ya pazia - ofisini, wakihakikisha fedha zinasimamiwa vizuri, ustawi wa wafanyakazi unazingatiwa, na ofisi zinabaki kuwa mahali pazuri pa kufanyia kazi. Jitihada zao zinawezesha shughuli za kila siku za STEP kuendelea vizuri.
Tunapotafakari kaulimbiu za mwaka huu โ๐๐๐ ๐. ๐๐จ๐๐ฌ๐. ๐๐๐ฉ๐ช๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ฃ๐๐ฌ๐๐ ๐ ๐ฃ๐ ๐๐๐จ๐๐๐๐๐ฃ๐ ๐๐ค๐ฉ๐โ na โ๐๐ค๐ ๐๐ก๐ ๐๐ฅ๐๐ฉ๐,โtunasherehekea na kushukuru kwa kujitoa kwao, uongozi bora, huduma safi, na mchango wao mkubwa wanaoutoa wanawake wa STEP na wanawake wote katika sekta ya uhifadhi kila siku. ๐๐ฌ๐๐ง๐ญ๐๐ง๐ข ๐ฌ๐๐ง๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ง๐ ๐จ ๐ฐ๐๐ง๐ฎ ๐ฆ๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข
28/02/2026
๐๐ฃ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ญ๐๐ฅ๐ฅ๐ข๐ญ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฅ๐ข๐ง๐ณ๐ข ๐๐ฆ๐๐ซ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐
Mnamo Januari 2026, timu ya VGS inayofanya kazi katika Shoroba ya Wanyamapori ya NyerereโUdzungwa ilikamilisha mafanikio ya ๐ฆ๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ฒ๐ ๐ฏ๐ข๐ญ๐๐ง๐๐จ ๐ฃ๐ฎ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ณ๐ข ๐ฒ๐ ๐ฏ๐ข๐๐๐ ๐ฏ๐ฒ๐ ๐๐๐ซ๐ฆ๐ข๐ง ๐ข๐ง๐๐๐๐๐ก.
Mafunzo haya, yaliyoandaliwa na Southern Tanzania Elephant Program (STEP) na kufundishwa na Meneja Msaidizi wetu wa Uhifadhi na mtaalamu wa GIS, ๐๐จ๐ฅ๐จ๐ฆ๐จ๐ง ๐๐๐ฆ๐๐จ๐ฌ๐ข, yaliwapa washiriki ujuzi muhimu wa mawasiliano ya wakati halisi, urambazaji kwa kutumia GPS, jinsi ya kutuma eneo ulilopo( location sharing), na matumizi ya mfumo wa tahadhari za dharura.
Vifaa vya Garmin inReach vinatumia muunganisho wa satelaiti, vinavyowawezesha wafanyakazi wa uwandani kutuma ujumbe, kufuatilia mienendo ya doria, na kutuma tahadhari za SOS hata katika maeneo ya mbali yasiyo na mtandao wa simu, hii inafanya kifaa hiki kuwa zana muhimu kwa ulinzi wa shoroba na ufuatiliaji wa wanyamapori.
Tathmini zilizofanywa kabla na baada ya mafunzo zilionyesha maboresho makubwa katika ujuzi wa kutumia vifaa hivi na kuongezeka kwa kujiamini katika operesheni za shoroba.
Shukrani nyingi kwa , Solomon kwa ufundishaji wa kina, na washiriki wote waliowezesha mafanikio ya mafunzo haya!
24/02/2026
๐๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐๐ณ๐ ๐๐๐จ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ข๐ณ๐๐ณ๐ข ๐๐ข๐ฃ๐๐๐ก๐จ ๐๐ก๐ ๐๐๐ง๐๐ฌ๐๐ฒ๐๐ง๐ฌ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
Grace Mchome alijiunga na STEP mwaka 2022 k**a mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili kupitia programu yetu ya kujenga uwezo wa utafiti na ufuatiliaji, akipata mafunzo ya ukusanyaji na uchambuzi wa data pamoja na uandishi wa kisayansi chini ya usimamizi wa Dk. Josephine Smit.
Utafiti wake katika Bonde la Kilombero ulichunguza ufanisi wa vizuizi vya kuzuia tembo k**a uzio wa mizinga ya nyuki, bati na taa za sola, akitumia mitego ya kamera na mahojiano na wakulima.
Kwa maneno ya Grace mwenyewe:โ๐๐ช๐ฌ๐๐จ๐๐ก๐๐๐ฃ๐ ๐ฃ๐ ๐๐๐ข๐๐ ๐ ๐ช๐ก๐๐๐๐ฃ๐๐ ๐ช๐๐ช๐ฏ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ช ๐ฌ๐ ๐ข๐๐ฌ๐๐จ๐๐ก๐๐๐ฃ๐ค ๐ฃ๐ ๐ ๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐ช๐ ๐ช๐๐ก๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ช ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ช๐๐๐๐๐๐๐ - ๐ ๐ฌ๐๐ข๐๐ ๐จ๐๐ค ๐ฉ๐ช ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ช๐จ๐๐ข๐๐ข๐๐ฏ๐ ๐ฌ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐ฎ๐๐ข๐๐ฅ๐ค๐ง๐ ๐ก๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐ฅ๐๐ ๐ ๐ช๐ ๐ช๐ฏ๐ ๐ช๐จ๐ฉ๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐ข๐๐ ๐ฏ๐๐ก๐๐ฏ๐ค ๐ ๐๐ง๐๐๐ช ๐ฃ๐ ๐ข๐๐๐ฃ๐๐ค ๐ฎ๐๐ก๐๐ฎ๐ค๐๐๐๐๐๐๐๐ฌ๐.โ
Grace aliwasilisha matokeo yake kitaifa na kimataifa na ๐ค๐ฎ๐๐ก๐๐ฉ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฃ๐๐ซ๐ข๐๐ ๐ฅ๐ ๐๐ซ๐จ๐ฉ๐ข๐๐๐ฅ ๐๐จ๐ง๐ฌ๐๐ซ๐ฏ๐๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐๐๐ข๐๐ง๐๐. Mwaka 2025 baada ya kumaliza shahada yake ya Uzamili, alijiunga na STEP k**a Afisa wa MEL, ๐ง๐ ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐ง๐ข ๐๐ซ๐๐ญ๐ข๐๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐๐ ๐๐ก๐ข๐ง๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ค๐๐ค๐๐ญ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐๐ก๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐.
๐๐๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ซ๐๐๐ ๐ข๐ง๐๐๐ค๐ข๐ฌ๐ข ๐๐ก๐๐ฆ๐ข๐ซ๐ ๐ฒ๐๐ญ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐๐ณ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฏ๐ข๐ฉ๐๐ฃ๐ข ๐ฏ๐ฒ๐ ๐ง๐๐๐ง๐ข ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ฎ๐๐ ๐ฆ๐ซ๐๐๐ฎ. Kwa kuimarisha utafiti, ujifunzaji na ushirikishwaji wa jamii, tunajenga kizazi kijacho cha wanasayansi wa uhifadhi watakaolinda mandhari yetu kwa miaka mingi ijayo.
๐๐จ๐ง๐ ๐๐ซ๐ ๐ฌ๐๐ง๐, ๐๐ซ๐๐๐! ๐๐ฟ ๐๐ฎ๐ฃ๐ข๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ค๐จ ๐ง๐ ๐ฎ๐ค๐ฎ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐๐ค๐จ ๐ง๐ข ๐ก๐๐ฆ๐๐ฌ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ฅ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข.
#
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Address
P. O. Box 2494
Iringa