ELCT- Iringa Diocese -DIRA

ELCT- Iringa Diocese -DIRA

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ELCT- Iringa Diocese -DIRA, Religious organisation, Gangilonga, Iringa.

12/09/2023

Mkumbushe rafiki yako amkumbushe rafiki yake kuhusu HARAMBEE HII.
Uwepo wako na michango yako ni BARAKA kubwa sana kwetu.

10/09/2023
Photos from ELCT- Iringa Diocese -DIRA's post 11/07/2023

Mungu ametenda tena.
Baba Askofu Dkt. Blaston Gaville akizindua gari la usharika wa Kidamali katika makao makuu wa Dayosisi ya Iringa (DIRA) asubuhi ya leo.

Photos from ELCT- Iringa Diocese -DIRA's post 05/05/2023

Ibaada ya kustaafu kwa mwinjilisti Roda Chalale, Kidabaga.
Kumtumikia Mungu Kuna faida kubwa sana.

LIVE : SIKU YA BWANA YA 3 BAADA YA PASAKA ,KUTOKA KANISA KUU EBENEZA,SHINYANGA MJINI 30/04/2023

Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Fredrick Shoo akihubiri wakati wa Ibada ya kuwekwa wakfu na kuingizwa kazini Askofu mteule Mch. Dkt Yohana Nzelu, Ibada inayoendelea sasa hivi Mkoani Shinyanga.

https://www.youtube.com/live/RrzlujpacEQ?feature=share

LIVE : SIKU YA BWANA YA 3 BAADA YA PASAKA ,KUTOKA KANISA KUU EBENEZA,SHINYANGA MJINI .

28/04/2023

Karibuni kushiriki

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Gangilonga
Iringa

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30