Mjasitech

Mjasitech

Share

tunatoa huduma mobile phones and PC repair and maintenance.pia tunauza accessories za aina mbali mbali za Simu

03/06/2025

Celebrating my 8th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

05/04/2025

IT 2160 bei 28000 tu

0787267733

27/12/2024
11/01/2024

Jifunze jinsi ya kutatua tatizo la phone( phone symbol, iron) kwenye Simu yako.

Alama ya phone ikikaa kwenye simu yako hukata mawasiliano huwezi ongea na mtu zaidi ya kutuma SMS tu.

Kuna njia mbili za kurekebisha (fixing) tatizo hili tutaangalia njia zote kwa ukaribu.

07/07/2023

PCB assembling and disassembling.

24/05/2023

Mobile phone connector replacements

19/08/2022

Pata bidhaa bora kwa kulipa kidogo.
0625644154.
,, ,

11/08/2022

Tunatoa rock, password pattern katika simu yako.

05/08/2022

Pata accessories za simu kutoka kwetu kwa bei nafuu.

, ,

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


CHAMWINO
Dodoma
41408