M13

M13

Share

_pamuku13βœ…

03/12/2022

I've received 400 reactions to my posts in the past 30 days. Thanks for your support. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

RATIBA YA SAFARI YA YANGA KWENDA TUNISIA. – Young Africans Sports Club 03/11/2022

Yanga
Dar to Tunisia

RATIBA YA SAFARI YA YANGA KWENDA TUNISIA. – Young Africans Sports Club MSAFARA wa watu 41 wa Young Africans SC utasafiri kesho saa 9:25 mchana kuelekea Tunisia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain.

29/10/2022

YANGA kamfunga GEITA kelele wanapiga MAKOLO,, Hii kitaalamu inaitwaje Haji manara πŸ˜‚

27/10/2022

AmenπŸ™

26/10/2022

Haji Sunday manara

Tofauti ya fans wa Yanga na fans wa Team nyingine ni nyingi, lakini inayowatofautisha kwa ukubwa ni hii.

Wanazi wa Yanga ni Die Hard Fans, ni Watu wenye Stahmala kisha hawabishani unapowaambia jambo k**a Msimamo wa Club.

Then hawana kuremba inapokuja Issue ya Team Yao, Sijui ilikuwaje, lakini ni K**a Wamechanjia hivi kuhusu Club yao.

Ni Watu wa kawaida kimapato lakini wao ndio huongoza Kwa kujaza Viwanja Nchini, Ni Wananchi wa kawaida kabisa lakini ndio Club inayoongoza kununua Jezi za Team yao Afrika Mashariki.

Kiufupi hii ndio Club yenye Ufuasi mkubwa zaidi Kwenye ukanda huu wa Afrika na inatajwa k**a Namba Tatu Afrika kwa kushabikiwa zaidi, kando ya Al Ahly na Raja Casablanca.

Nb:: Yes pamoja na kutocheza Group Stage ya Caf Champions Kwa miaka mingi, lakini ndio inayoongoza Kwa halaiki ya Washabiki kuliko Team yoyote Afrika ( Total Games kwa Asilimia)

Ukibisha sio shida zetu.

Young Africans Sports Club

jiunge na group la whatsapp la kuchat kupitia app hii, ukishadownload nenda sehemu ya yanga chat tuenjoyπŸ‘‰https://play.google.com/store/apps/details?id=mwananchi.daimaapp2

24/10/2022

Magician Aziz kπŸ’›πŸ’š

24/09/2022

KAULI MBIU KUELEKEA KWENYE MECHI YA TAREHE 8/10/2022 VS AL HILAL ...




NB: UNSTOPPABLE PELEKA MSITUNI

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Dodoma