Football Updates
✅Taarifa za soka la bongo
✅Tathmini za wachezaji
✅ Historia za wachezaji
✅Uchambuzi wa mechi za Yanga SC
05/10/2026
Wakati Wananchi Young Africans Sports Club wakiendelea kujiandaa na derby ya tarehe 10 mwezi huu dhidi ya Simba SC Tanzania , nyota wake wa kimataifa wanatarajiwa kuungana na kikosi muda wowote kuanzia leo...
• Peter Shalulile anatarajiwa kurejea leo
• Djigui Diarra anatarajiwa kurejea leo
• Albert Kangwanda naye atarejea leo
• Housseine Al Zakouani atarejea kesho
Kiungo mshambuliaji anayekipiga kwa mkopo, Agadir ya ligi kuu Morocco akitokea Yanga SC, Mohamed Doumbia amekuwa na kiwango bora sana msimu huu..
05/10/2026
Young Africans Sports Club watamkosa kiungo wao, Stephan Aziz Ki kwenye derby ya Kariakoo..
Aziz ndiye kiungo namba 10 halisia pale Yanga SC...
Kwa upande wako, unadhani mchezaji gani ata fit vyema pale kwenye shimo 10 nyuma ya mshambuliaji kiongozi?!
MIMI; Albert Dedoh Kangwanda 📌
04/10/2026
Winga wa Young Africans Sports Club Housseine Zakouani amezima dakika zote 90 mbele ya Simba wa Teranga..
Comoros wamepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Senegal...
⚽ Iliman Ndiaye
🎯 Ibrahim Mbaye
04/10/2026
Beki kisiki wa Young Africans Sports Club Dickson Job alikuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mechi ya kirafiki dhidi ya JKT Tanzania hapo jana...
Baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akisumbuliwa na majeraha, hatimaye Dickson Job anarejea kwenye utimamu wake...
Stopper📌
��� Shasha Man chini ya ulinzi mkali...
22/09/2026
Ukiitizama hii jezi, ni mchezaji gani anakujia kichwani?!!
15/09/2026
Stephan Aziz Ki ataikosa Kariakoo derby baada ya kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mchezon dhidi ya Geita Gold GC.
Mechi mbili zijazo;
Vs Simba SC (Oktoba 10)
Vs TRA United (Oktoba 13)
13/09/2026
Naskia mnyama Simba SC Tanzania amerarua mtu chuma 6-1 🥶
Ubaya ni mwingi mno....🔥🙌 hongereni Lunyasi.
Ila, sijabahatika kuitizama mechi, vipi 'blo angu' Ibu Doumbia kwenye kamba 6 katia kamba au assist leo au bado anahitaji muda?!!
13/09/2026
Laurindo Dilson Depu ameendelea kuwa wa moto tangu atue Petro Atletico...
Jana alifunga na kutoa assist kwenye sare ya 2-2 Petro De Luanda Vs UD De Songo ✍️
Mechi ya kwanza Petro De Luanda walishinda bao 1-0 akifunga Depu mwenyewe hivyo kwenye aggregate ya 3-2 kahusika na mabao yote matatu 🔥
Laurindo Dilson Aurelio Mario Depu 📌
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Dodoma
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Football Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.