Alice Styles

Alice Styles

Share

Karibu Allice fashions tunauza Nguo za k**e na kiume, Nguo za ndani aina zote.

28/03/2026

TIMBERLANDπŸ”₯πŸ”₯ KALI SANA πŸ₯°

ORIGINALβœ…

JUMLA, 85,000

REJA REJA, 95,000

SIZE = 40,41,42,43,44,45

17/03/2026

Je unapenda Vazi la Batiki???
Unatafuta Stara, Ubora, na Urembo. Batiki hii ni chaguo namba moja kwa shughuli za kiofisi, mikutano, au hata mtoko wa wikendi.
Zaidi ukivalia na kiatu kirefu unakuwa na mwonekano wa kipekeeπŸ₯°
β€‹βœ… Inapatikana: Size zote (L - 3XL) yaan free size
βœ… Bei: 45000
Whatsup #0769586985

17/03/2026

Good morning my beautiful people πŸ₯°
Karibuni kwa Oda zenu maboss zanguπŸ‘
Shati k**a hiyo ipo dukani nzuri Sana, Rangi zipo nyingi
Zaidi tutakushauri jinsi ya Kuvaa uwe na mwonekano superπŸ”₯
Size m hadi 4xl
BEI 25,000
Kofia zipo pia nzuri SanaπŸ“Œ
Whatsup #0769586985

16/03/2026

Abaya ni vazi maridadi sana lenye muonekano wa kisasa na wa heshimaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

​Rangi: Nguo hii ina rangi nyingi nzuri ambazo zinatoa picha ya utulivu, mamlaka, na kifahari.
Kitambaa: imetengenezwa kwa kitambaa laini na chenye uzito wa wastani ambacho kinaanguka vizuri mwilini bila kushika mwili sana.
BEI :45000 Tu ziko chache Sana.
​Inafaa kuvaliwa kwenye matukio k**a
Sikukuu za Eid, Harusi, Maulid, au mialiko ya chakula cha jioni pia unaweza kuvaa Ofisini/Kazi: kwa mwanamke anayependa kupendeza huku akizingatia stara.
Usisahau kuvalia kiatu kirefu ili upate mwonekano hot πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
Whatsup #0769586985

16/03/2026

Powerful prayerπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

27/02/2026

JE unapendelea nguo za stara k**a hiiπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
Tuwahi ziko chache Sana
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† 33,000
Size ...L...XL....XXL.... # #
Material ...Mtelezo + cotton
Ina mtandio
Whatsup #0769586985
Delivery 🚚 ipo
Join group letu whatsup πŸ‘‡πŸ‘‡
https://chat.whatsapp.com/BsTNysWp95KFLGlUGrVgYe?mode=hqctcla

🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟

26/02/2026

ABAYA! ABAYAπŸ₯°πŸ₯°
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† 55,000
Size ....L....XL...XXL.... # # .
Material ..Turkish cotton
Ina mtandio na mkanda
Unatafuta nguo ya heshima inayokupa mwonekano mzuri
Hii nguo usiache❀️
Whatsup #0769586985
*Koti halivuki....koti halivuki*

🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟

20/02/2026

Usikate tamaa Mwenyezi Mungu anazijua hatua Zetu tuishi katika kusudi lake
Msimu Una mwisho

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Arusha