Joseph Ngeti
Presenter/News Anchor
21/12/2024
Ukiielewa hii utaishi vizuri na watu.
20/12/2024
Kwenye baadhi ya mambo na vitu kubali kwamba umepoteza,lakini usikubali kwamba hutoweza tena.
19/09/2024
Na amini Dunia bado ina watu wengi wazuri na wema..kuwa makini sana na watu waliokuzungukaâ›”
06/11/2023
Kila Mmoja Ana Ukurasa Wake Ambao Hapendi Usomwe Kwa Sauti.
02/11/2023
Na rafiki yangu wa nguvu hapa tunapiga story za usalama barabarani.
Tanzania bila ajali inawezekana kwako studio😆
12/09/2023
https://youtu.be/X0JpsymFcV0?si=EnVEJJ9RNSEduPQK
TUNAJIUZA ILI TUSOMESHE WATOTO WETU LAKINI HII KAZI HATUIPENDI| TUSIDIE NABII GEORDAVIE Wanaojiuza wamelia kwa uchungu kutokana na dhulma na hali ngumu ya maisha wanayoipitia wakisema wanafanya hivyo ili watoto wao wasome. Hata hivyo wmeamua ku...
05/08/2023
Ni rahisi kulitengeneza razama hili jiko.
LILO-JIKO BANIFU LINALOSAIDIA KUOKOA MAZINGIRA|TAZAMA TEKNOLOJIA HII MPYA! Lilo ni jiko banifu ambalo limetokana na teknolojia mpya kutoka shirika la ECHO EAST AFRICA Tanzania kwa lengo la kuokoa mazingira hasa ukataji na uchomaji ...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Address
Arusha