Ambrose
DON'T SAY I WISH SAY I WILL
#Ambrose
06/06/2026
Mtu wa Maana sana huyuu 🤜
25/05/2026
Mwamba huyu hapaa 🔥
24/05/2026
Kafanyaje kwani hukoooo 🤣
🤣Kinyonga hubadilika kutokana na Rangi ya Mti" Walisema Wahenga
24/05/2026
😄😄Msigwaa bn
19/05/2026
Msajili akifuta hii Chama sijui utaambia nini hawa Watu 😄 Ogopa kugusa kitu mtu anapenda kutoka Moyoni, Chadema haina Pressure yeyotee watu wanajaaa kwenye Mikutano duh ogopa sana Chadema in Blood ni hatari zaidi ya Chama Tawala
Kazi imeshakuwa Ngumu hii 🤣
Good morning Simba SC Tanzania
14/05/2026
Sijui nawaza ujinga gani ngoja Nikasake hela mie 🤣 Siri ya Mtungi aijuayee kata 😱
Kamdomoooooo😄
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Address
Mkwawa University College (MUCE) ○ IRINGA
Arusha
121