Mount Meru School
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mount Meru School, School, Arusha.
09/10/2024
07/10/2024
Our students at Tarangire National Park
08/01/2024
Our Nursery branch at Sanawari, Arusha ποΈποΈ
08/01/2024
Our Nursery school at SanawariποΈπβοΈ
19/12/2023
Mount Meru School tumeanza usajili kwa ajili wa Shule ya Awali na Msingi kwa mwaka 2024.
Waalimu wapo wa kutosha na wenye kufundisha kwa maadili bora.
Wanafunzi wote wanapata huduma ya chakula cha asubuhi saa nne na mchana. Usafiri pia unapatikana.
Mpatie mtoto wako fursa hii leo akafundishwe na walimu wabobezi na wanaomwezesha mwanafunzi kukamilisha ndoto zake za Elimu.
Tupigie 0766285757 kwa maelezo zaidi.
24/11/2023
Hongereni wanafunzi wetu wa Darasa la Saba 2023, kwa ufaulu mzuri wa wastani wa Daraja A. ππ½ππ½ππ½
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Arusha