VD Media Maratown
Música e entretenimento
Unaambiwa bora kinga kuliko tiba.
Ni mda wakujilinda, hata k**a huna imani na taarifa za kuchukuliana mazaga. We hakikisha unajilinda.
Lisemwalo lipo, na k**a halipo, basi linakuja.
23/04/2026
Msanii Nyago man Gm anatarajia kuachia ngoma mpya, na kwa siku za nyuma aliwaomba wasanii wengine msilaumu akiachia ngoma.
Ila anaomba msnii umoja wa kibembe atakaye weza kua kwenye iyo project mpya ambayo soon ataiachia.
Kwako wewe, ni msanii gani wa kibembe unaye mfahamu, ambaye anaweza akawa kwenye ngoma iyo?
Hii couple jamani 🥰🥳🤩
Faz B Rapper Comblacky ameachia rasmi wimbo wake wa .
Sasa wimbo huu unapatikana YouTube.
https://youtu.be/YOvTAMZq_N4
Kionjo cha wimbo wa Decky Real pamoja na 𝙅𝘼𝙔 𝘿𝙊𝙇𝙇𝘼𝙍 𝙊𝙂 - NIMEKUMISS.
Kionjo tu, umeishakua hit 🔥🔥
22/04/2026
Msanii Decky Real ametangaza ujio wa collabo yake na 𝙅𝘼𝙔 𝘿𝙊𝙇𝙇𝘼𝙍 𝙊𝙂 kitambo sana, yaani kipindi Jay Dollar bado yupo kambini Nyarugusu.
Ila sasa mda umekaribia, na kionjo cha ngoma iyo, ipo tayari Tik Tok kwa ajili ya challenges.
Unaisubiri ukiwa wapi?
Malu Simba akiwa location.
Maandalizi ya video ya BIJA, kwa sasa video iyo hipo hewani YouTube.
21/04/2026
GoldenVoko 🔥😎
UTILIDADE PÚBLICA!
Wa ngapi wame m'miss Wa Kizazi Kipya ??? 🥲
Clique aqui para solicitar o seu anúncio patrocinado.
Categoria
Entre em contato com o negócio
Telefone
Endereço
Avenida Coronel Sebastião Mabote
Maputo