Kwanza Production
Uzalishaji wa video, audio na picha kwenye matukio na habari mbalimbali zinazotokea hapa Washington DMV Tuko kiJAMII zaidi.
Kazi yetu ni kutunza kumbukumbu za wale ambao wanathamini mawazo, fikra, na mbinu zao kwa manufaa ya wengine au vizazi vipya. Tunajishughulisha na kufanya mahojiano ya AUDIO na VIDEO na watu mbalimbali ambao yale watendayo huathiri jamii yetu. Pia kupiga picha za matukio mbalimbali yanayotendeka hapa Washington DC na vitongoji vyake. Tukiamini kuwa UBORA WA KAZI ni muhimu kuliko uharaka wake. Ni JAMII PRODUCTION....
Ambapo USAHIHI WA FIKRA NDIO FIKRA SAHIHI
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
1707 January Drive #204
Silver Spring, MD
20904