Bonyo
Rassemblée tous les ressortissants du territoire de Punia en particulier et du Maniema en général
04/30/2026
Leo ninamshukuru Mungu kwa kunipa mwaka mwingine wa maisha. 🙏
Kwa kweli, ni neema yake imenifikisha hapa.
Asanteni sana nyote mnaonipenda na kunisupport, iwe karibu au mbali. Mungu awabariki.
Ee Bwana, naweka mwaka huu mpya mikononi mwako. Uniongoze, unilinde, na unibariki katika kila hatua.
Ninaendelea mbele kwa imani, matumaini na nguvu.
Mambo mazuri bado yanakuja. ✨
Heri ya kuzaliwa kwangu! 🎂
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Boston?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Boston, MA