Shambaboy

Shambaboy

Share

•BEST BRAND INFLUENCER
•DIGITAL CONTENT CREATOR
•BEST ACTOR
•COMEDIAN
•EVENT MCEE
•VIDEO EDITING SKILLS
•BUSSNES ADVERTISER'S

18/06/2026

Kuna watu kwenye haya maisha wamejifunza kusimama imara si kwa sababu walipata msaada kutoka kwa watu wao wa karibu. bali ni kwa sababu walibaki bila msaada kabisa.
Walikataliwa, waliumizwa, na hata kudharauliwa na watu walio paswa kuwa nguzo yao… lakini bado hawa kukata tamaa.

Ajabu ni kwamba, Mungu aliwapa watu wa mbali kuwa karibu yao zaidi kuliko wale walio watarajia. Mara nyingine msaada mkubwa hauji kutoka kwa ndugu, bali kutoka kwa watu wenye mioyo ya kujitolea na kujali kuliko hata ndugu wa karibu🙌🙌

Usisahau kuwafundisha watoto wako namna ya kuishi na watu vizuri, ndugu wanaweza kuwepo lakini wasiwe msaada kwao📌📌📌

16/06/2026

Ukichunguza utapata huwa hamlipi the same rent na watu mnakaa ploti moja...

15/06/2026

1. Abraham > 3 wives
2. Shambaboy Comedian > 4 wives
3. David > 8 wives and many concubines
4. Solomon > 700 wives, 300 concubines
5. Rehoboam > 18 wives, 60 concubines
6. Abijah > 14 wives
7. Lamech > 2 wives
8. Elkanah > 2 wives
9.Jacob >4 wives

I'm not telling the men here anything, I was just reading the Bible on my own

14/06/2026

signs a man is going to be rich in future 👇

‎1. He always feels sick whenever he is broke.
‎- so he Sets clear goals and works toward them relentlessly.
‎- Not afraid of hard work or challenges.

‎..2. Financial Literacy 💰
‎- Understands money management (saving, investing, budgeting).
‎- he spends and he saves.
‎3. He knows how to Bounces back from setbacks and learns from failures.

‎4. Strategic Thinking 🧠
‎- Plans for the long term, not just short-term gains.
‎- Makes calculated rísks.

‎5. Self-Discipline 💪
‎- Sticks to plans (he keeps to his words).
‎- he doesn’t womanize in poverty🥂

‎6. Networking Skills 🤝
‎- Builds meaningful connections that open doors. Not hangouts to drink and club with same set of area boys😂
‎- Values relationships and collaborations that builds skills and earn money!

‎7. He is always looking for update and new ways to make money… and he believes in doing different things and having different sources of income.

14/06/2026

BAADA YA KUACHANA NA MTU usilie futa machozi na mtu wa kwanza kumlima block ni huyo muliyeachana, watu wa pili ni marafiki zake hawa ndio masnitch wakubwa Walime block za mwendokasi.. usjiroge ukadhani wanakupenda sana, watakuchelewesha tu kwenye healing!!

Lima block ndugu zake k**a mulishaanza kuongea, hakikisha huoni hata sura ya mmoja wao kwneye social media zako!! Block kuanzia normal call hadi mitandaoni na acha mazoea ya kwenda kwao sijui kusalimia kisa ndugu zake wanakupenda, hawakupendi ni wanafki.

Nenda kwenye call contact history zindelete shwaa mazima, Rudi kwemye message delete message zote ziwe za rafiki zake au zake! HALAFU AGIZA MAZIWA FRESH KUNYWA TARATIBU HUKU UKIMTAZAMA KUNGWI DUME YOUTUBE.

Acha kujitenga, tafuta marafiki wapya au mazingira mapya, k**a unaweza kuepuka kuonana naye EX wako basi EPUKA!! Usitake kujua kinachoendelea kwenye maisha yake.

Mtafute Kungwi Dume akupige msasa au jiunge na Group lake uvuke salama!! Mshirikishe kila hatua unayopitia BAADA YA MUDA UTAGUNDUA MAISHA NI MARAHISI BILA YEYE!! UTAGUNDUA KESHO NI BORA KULIKO JANA YA MAUMIVU.

Utagundua bado una thamani na unamvuto na bado hujachelewa, k**a mfuko unaruhusu tembelea sehemu nzuri uji spoil maisha ni mafupi kuumiza kichwa sababu ya MTU MZIMA K**A WEWE MWALI WANGU huko ni kujikosea heshima yako.

10/06/2026

MAISHA YA WANAUME WENGI YANAHARIBIKA KWA SABABU YA MAMBO HAYA 👇👇👇

1.Kukata tamaa mapema
2.Kutafuta mafanikio ya haraka
3.Kukosa uvumilivu
4.Kukimbilia mapenzi kuliko ndoto
5.Kutokuwa na mpango wa maisha
6.Matumizi mabaya ya simu na mitandao
7.Kukosa ushauri wa watu sahihi
8.Kutokujituma kazini au biashara
9.Kukosea kuoa
10. Kuhonga pesa bila mpangilio

Kumbuka: Mafanikio yana hitaji subira, nidhamu na juhudi za kila siku.

Je, ni tabia gani nyingine unadhani ndiyo inawaharibu wanaume wengi wa kizazi cha leo?🤔
COMMENT • SHARE • LIKE

10/06/2026

A child with one pair of clothes does not join others to play in the rain.

09/06/2026

The moment you stop looking back is the moment you start moving forward.

Kumbuka, God is not calling you back to your past; He’s leading you into your purpose.

02/06/2026

Huyu kajimaliza sababu ya mpira neno moja kwake?
RIP😭😭🤣🤣

28/05/2026

Siku utaelewa 300K ya mazishi ni rahisi kupatikana kuliko 10k ukiwa kwa shida,ndio utaacha kijipendekeza kwa watu....

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Busia?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Kingandole Ward
Busia