ZACCA Projects
We are a non-profit organization fighting against the impacts of climate change.
27/07/2025
SISI NI ZACCA.
Katika kuadhimisha siku ya Uhifadhi wa Mikoko Duniani.
Afisa Saikolojia na Afya ya Akili Md. Sauda Akiambatana na Afisa Mazingira Md. Saada waliweza kuhudhuria urejeshaji wa mikoko na usafishaji wa taka taka katika kijiji cha Fujoni, Zanzibar.
Takribani ya robo tani ya taka za aina mbali mbali ikijumuisha asilimia 25 ya taka za plastics ziliweza kukusanywa.
Aidha mbegu za miche ya mikoko zisizopungua 5000 ziliweza kupandwa.
Utunzaji wa mazingira ni jukumu letu sote,tushirikiane na kujumuisha nguvu za pamoja katika kuyahifadhi na kuyatunza.
Going Greener together.
18/07/2025
Leo taasisi imetoa mafunzo juu ya mada muhimu zinazohusu:
Internet
Network
Email
Social Media
Media kwa ujumla
Facilitator:Mr. Mohamed Thani Houshil
Mafunzo haya yamelenga kutoa uelewa sahihi juu ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika maisha ya kila siku na mazingira ya kazi.
Mafunzo haya yalitolewa kwa volunteers na wafanyakazi wa field kwenye taasisi yetu.
SISI NI ZACCA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the university
Telephone
Website
Address
Tunguu
Zanzibar