Genius Solution
We Make It Happen
π± UMEWAHI KUFUTA NOTIFICATION KWA BAHATI MBAYA?
Watu wengi hawajui kwamba Android ina Notification History, feature inayohifadhi notifications zako hata ukizifuta kwa bahati mbaya.
β
Umefuta OTP? β
Umefuta notification ya benki? β
Umefuta ujumbe muhimu?
Usihofu... unaweza kuzirudisha kwa kutumia feature hii (baada ya kuiwasha).
π₯ Tazama video hii ujifunze jinsi ya kuiwasha ndani ya dakika moja.
π¬ Je, ulikuwa unaijua feature hii? Andika "NDIO" au "HAPANA" kwenye comments.
...
Je, ulijua simu yako inaweza kutafsiri maandishi kupitia kamera?
Hakuna haja ya kuandika neno moja moja.
β
Fungua Google Lens. β
Elekeza kamera kwenye maandishi. β
Bonyeza Translate.
Ndani ya sekunde chache utapata tafsiri.
π¬ Ulikuwa unaijua feature hii?
Follow Genius Solution kwa siri zaidi za simu.
TechnologyTZ SimuSmart Translate TechSwahili
Simu yako inaweza kurekodi sauti bila wewe kujua! π³π€
Usinunue simu kabla hujasikia hii π³π±
Watu wengi wanajuta baadae kwa sababu hawakupewa ukweli mapema.
Jifunze kwanza, ndipo ununue.
SimuBora
UkweliWaSimu
FYP
TikTokTanzania
Simu yako ni nzito lakini haijaharibika.
Mara nyingi tatizo ni storage kujaa zaidi ya 80%.
Simu inapokosa nafasi ya kufanya kazi, apps zinafunguka polepole, camera inachelewa na mfumo unagoma.
Usikimbilie kuformat bila sababu.
Angalia storage kwanza.
Kwa ushauri zaidi fika Suley Smartphone umuone Mr Genius π±π₯
iPhoneTips
PhoneCare
TechTanzania
SimuOriginal
SmartphoneTips
24/01/2026
Tumia Mauzo App kusimamia biashara yako kwa urahisi
π Rekodi mauzo, fuatilia faida, na angalia stock
π Data yako inabaki salama
π± Rahisi kutumia na inafanya kazi hata bila internet
Jiunge leo uone tofauti!
Kabla hujalaumu maisha, angalia kwanza unaeshare naye muda wako.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Temeke, Dar Es Salaam
Zanzibar
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Genius Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.