Britony Magazine

Britony Magazine

Share

Hello everyone, im Britony from Zanzibar island Tanzania ,if anyone wants to visit Zanzibar island T "Revolusion face"

Welcome to the Official East Africa Magazine FB (BritonyMagazine) page.

Photos 23/04/2019

Happy Easter 2019🌍🌴🍓

10/01/2018

mchagua n**i upata koloma......
utasubilia sana kupata size yako mwaka 25 sasa hujaoa au hujaolewa eti......
Bado haujapata chaguo lako mana bado unachagua
Bado haujapata size yako..... umri unaenda mpka uzeeke bure.....

Photos 31/12/2017

Naongea na wewe
Omba mungu mwaka2018 uwe mwaka wa baraka na mafanikio kwako..

Photos 31/12/2017

R.I.P
Kwa wote waliotutoka dunian
Ni jambo LA kumshukulu mwenyezi mungu mpaka Leo tupo hai na punzi ya bure tunapata na afya njema....wote Kwa pamoja Siku ya Leo jumapili ya mwisho katika mwaka 31/12/2017 tuchukukua hata dakika 10, 10 tuwaombee wote waliotangulia mbele za haki najua kila mmoja wetu alikua na MTU muhim kwake na alimpenda sana ila mwenyez mungu amempenda zaidi na wengine wametangulia mwaka huu2017 na wengne wametangulia miaka iliyopita Mimi na wewe safar yetu bado ndefu sana tusali tuswali tuombe Kwa bidii tuendelee kuepo 2018 na miaka mingine ijayo.... R.I.P
R.I.P
R.I.P
Mtakia R.I.P yeyote uliyokua ukimpenda ila Leo hii hayupo tena dunian.....
Nakutakia ibada njema...

Photos 31/12/2017
Photos 25/12/2017

BRIRONY ENTERTAINMENT
inakutakia heri na mafanikio katika kipindi hiki cha mapumziko ya sikukuu na mwaka mpya 2018.

Photos 10/10/2017

bajaji zina mambo kweli...

Photos 24/09/2017

Nawatakia weend njema...
Share picha hii
Na
Like page hii.

Smart boy..
handsome boy..
badest boy..
single boy..
team mtafutaji..
team sikati tamaa...
najiamin na maamuzi yangu na kila jambo langu ninalolifanya...
nina tamaa na maendeleo sina tamaa ya ujana na vitu vya watu....

ndo habar ya town








Nawatakia gud weeknd..

Want your business to be the top-listed Travel Agency in Zanzibar?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Zanzibar
73209