Dada Mkuu Initiative
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dada Mkuu Initiative, Mental Health Service, Dodoma.
05/04/2026
Matumizi holela ya P2 yameendelea kushika kasi kwenye jamii, unafahamu P2 ni njia ya dharura ya uzazi wa mpango? Haya tega sikio kwenye video hii
10/03/2026
School Outreach at Nzuguni Secondary School, engaging students in meaningful conversations on Sexual and Reproductive Health and Rights (SRHR). Through open dialogue, education, and mentorship, we empowered young people with the knowledge and life skills they need to make informed decisions and protect their health.
GirlsEmpowerment
ewe Mwanamke unaishi na maambukizi ya VVU leo nakukumbusha kuwa unaweza kabisa kujifungua mtoto asiye na maambukizi kwa kufuata ushauri wa kitabibu.
HAKIKISHA ;
✅Unaanza Kliniki Mapema
✅Hakikisha unajifungulia Kituo cha Afya
✅Fuata ushauri wa wataalamu wa afya kuhusu namna salama ya kumnyonyesha mtoto na kumkinga mtoto.
Huduma hizi zote zinapatikana katika vituo vya afya🫶🏾❤️🇹🇿.
PART 3
ya kwa Vijana.
PART 2
Series zetu za kwa Vijana
PART 1
ni wahanga wakubwa wa changamoto zitokanazo na maswala ya Afya Ya Uzazi , kupitia series yetu ya tutakuwa tukiongelea na kupeana njia mbalimbali ya kuwasaidia k**a Jamii.
PART 1
Series za kwa Vijana
24/10/2025
Tunafurahia sana mrejesho mzuri kutoka kwa wanafunzi baada ya uelimishaji mashuleni!
Ushiriki na maswali yao ni uthibitisho kuwa elimu tunayotoa inagusa na kubadili maisha.📚
23/10/2025
Breaking the silence, one school at a time! As an organization, we’re proud to create safe spaces for students at Miyuji Secondary in Dodoma to learn, ask, and speak freely about Menstrual Hygiene Management (MHM).
Because every child deserves dignity, knowledge, and access.
20/10/2025
Creating impact where it matters most!
Dada Mkuu Initiative, visited Dodoma Secondary School to engage young minds in open conversations about puberty, menstrual hygiene, and gender-based violence. Together, we’re building a generation that is informed, empowered, and unafraid to speak up.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 16:00 |
| Tuesday | 08:00 - 16:00 |
| Wednesday | 08:00 - 16:00 |
| Thursday | 08:00 - 16:00 |
| Friday | 08:00 - 16:00 |
| Saturday | 08:00 - 12:00 |