Hope Riser Organization

Hope Riser Organization

Share

Hope Riser Organization is there to help the vulnerable students to achieve their Goals and Dreams

Due to the presence of needy students in many schools in Tanzania who cannot afford their school life’ expenses and those who are in disappointment position at the school that make them loose hope of achieving their Goals and Dreams through Education, then we , patriotic citizens of this nation (Tanzania) have seen the need to save our society particularly in education sector by establishing the H

Photos 05/11/2018

Mtihani Mwema Kidato cha Nne!

Photos 14/10/2018

Vijana kutoka taasisi na mashirika mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuisha kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro.

Photos 14/10/2018

Viongozi wa Mashirika mbalimbali yaliyoshiriki kwenye kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro.

Photos 14/10/2018

Timu nzima ya iliyoshiriki kwenye kongamano la vijana kumuenzi Mwl. J. K. Nyerere katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro wakiwa na washiriki kutoka shirika la vijana la katika picha ya pamoja ya kirafiki.

Photos 14/10/2018

Timu ya ikiwa katika pozi mbalimbali kwenye Kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro.

Photos 14/10/2018

Afisa Programu wa shirika la Bw. Bahati Suleiman Mkeha akichangia mada kwenye kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro.

Photos from Hope Riser Organization's post 14/10/2018

Mwenyekiti Muasisi wa taasisi ya Hope Riser Organization (HRO) Ndugu Ally Seif Ramadhani akiwa anawasilisha mazungumzo yake kwenye kongamano la vijana kuelekea kilele cha kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Nyerere (14/Oktoba/2018), Katika Chuo cha Mt. Joseph, Mjini Morogoro. @ Morogoro, Tanzania

Photos 03/10/2018

MOROGORO.....MOROGORO... MOROGORO🙌🙌🙌
We will be there! Full Team! Don't plan to miss! African Transformers & St. Joseph University College are Our Hosts.

Photos from Hope Riser Organization's post 22/09/2018

Taasisi ya Hope Riser inaungana na Watanzania wote kuomboleza Vifo vilivyotokana na kuzama kwa kivuko cha . Mungu azilaze roho za Marehemu pema Peponi na Awape Nguvu Ndugu, Jamaa na Marafiki Katika kipindi hiki Kigumu cha Majonzi.

Photos from Hope Riser Organization's post 19/08/2018

KOFFI ANANI
The man behind our focus, The son of Africa, Influential Diplomat,
May his soul Rest in Eternal Peace..

Photos 01/08/2018

Our Vision must always be "Inclusive Education" which left no one behind.

Want your school to be the top-listed School/college in Temeke?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Temeke