Lytas

Lytas

Share

@lytasweb
_Full Stuck Web Developer _
I make websites | systems | mobile apps
www.pigatechsoft.com

31/05/2026

LEXUS NEW MODEL

23/04/2026

BRICK BOUNCE

20/03/2026

PIGA KURA KIDIGITALI | SIMUVOTE

🗳️ JINSI YA KUANZA UCHAGUZI WAKO

KWA SIMUVOTE KWA HATUA 4

HATUA 1️⃣: KUTENGENEZA CHUMBA
✅Nenda www.simuvote.com
✅Bofya "Create Room"
✅Jaza taarifa zako
✅Thibitisha namba kwa SMS

HATUA 2️⃣: WEKA NAFASI
✅Ingia kwenye dashboard yako
✅Bofya "Manage Positions" au "categories"
✅Ongeza nafasi (Mwenyekiti, Katibu, n.k.)

HATUA 3️⃣: ONGEZA WANACHAMA
✅PRIVATE: Ongeza namba za wanachama
✅PUBLIC: Wape msimbo wa kujiandikisha

HATUA 4️⃣: ANZA UCHAGUZI
✅ Weka muda wa kuanza
✅Wajulishe wanachama
✅Angalia matokeo live!


📲 ANZA SASA: www.simuvote.com


🔒 PRIVATE: Kwa vikundi vilivyojulikana
🌍 PUBLIC: Kwa umma na mashindano

BURE KABISA - HAKUNA MALIPO!

17/03/2026

New Updates SimuVote Tanzania

12/03/2026

CENTRAL CAMPUS AWARDS 2026 | NAWANIA KATIKA KIPENGELE CHA BEST STUDENT PROJECT [SIMUVOTE] NOMINEE NO: 124

Tembelea hapa 👉 simuvote.com.

PLEASE VOTE FOR ME 🙏

11/03/2026

SimuVote | Tembeleea 👉 simuvote.com

🥳 Tunakuletea mfumo wa Simu Vote! 🚀

Mfumo mpya wa kidijitali wa kupiga kura umefika — umebuniwa kufanya chaguzi na kura za maoni kuwa rahisi zaidi, za haraka, na salama zaidi.
Faida Kuu:
✅ Piga kura kwa kutumia simu au kompyuta
✅ Matokeo hupatikana kwa wakati halisi (real-time)
✅ Usalama wa hali ya juu na uwazi
✅ Rahisi kuandaa na kusimamia

Inafaa kwa:
👉 Chaguzi za wanafunzi vyuoni
👉 Chaguzi za vilabu/taasisi
👉 Tafiti na kura za maoni za kampuni
👉 Maamuzi ya kijamii katika jamii
Je, ungependa kujaribu Simu Vote kwa uchaguzi wako ujao? Jibu ujumbe huu au tembelea:
🔗 simuvote.com
Simu Vote — Haki. Haraka. Kidijitali.

09/03/2026

SimuVote
Innovative Voting Solution by PigaTech SoftCompany

SimuVote ni mfumo uliotengenezwa na software company inayoitwa PigaTech SoftCompany, kwa lengo la kutatua changamoto mbalimbali katika upigaji kura, ikiwemo:

Changamoto Zinazotatuliwa:
Kupoteza muda wakati wa uchaguzi

1. Matumizi ya karatasi yanayochafua mazingira
2. Wizi wa kura
3. Kutokuwepo kwa uhuru kwa mpiga kura na anayepigiwa kura
4. Kuchelewa kwa matokeo kutangazwa

Jinsi SimuVote Inavyotatua Changamoto Hizi:
1. Rahisi kutumia - kinachohitajika ni jina na namba ya simu ya mpiga kura tu.
2. Upigaji kura wa nafasi nyingi kwa wakati mmoja - unaweza kumpigia kura Mwenyekiti, Katibu na viongozi wengine kwa pamoja.
3. Matokeo ya wakati halisi (Real-time) - kila kura inapoongezeka, inaonekana papo hapo.
4. Usiri wa mpiga kura - hakuna picha wala muonekano wa mtu unaoonyeshwa.
5. Uwazi na uhuru wa kuchagua - kila mtu anachagua bila shinikizo.
6. Matokeo hujitokeza mara baada ya uchaguzi kumalizika.
7. Usalama na faragha - matokeo hujifuta kiotomatiki siku moja baada ya uchaguzi.
8. Bure kabisa kutumia - hakuna gharama yoyote.
9. Msaada kwa wateja (Technical Support) — tunapatikana *24/7* kukusaidia.

Tafuta na Utufuate kwenye Mitandao ya Kijamii:
✅Instagram: SimuVote Tanzania
✅Facebook: SimuVote Tanzania
✅Twitter (X): SimuVote Tanzania

24/01/2026

Border radius | CSS

25/12/2025

We wish you a Mery Christmas 🎄 😀

PigaTech - Coming Soon 01/04/2025

"Looking for top-notch digital solutions? We've got you covered!

Our team specializes in:
✅ Website Design & Development
✅ Mobile App & System Development
✅ E-commerce Solutions
✅ Digital & Content Marketing

Let’s bring your ideas to life! Contact us today and take your business to the next level.

DM us or visit www.pigatechsoft.com or Message PigaTech SoftCompany on WhatsApp. https://wa.me/255678520538 to get started!"

PigaTech - Coming Soon Thank you for joining our waiting list! We'll notify you as soon as we launch with exclusive early access benefits. Stay tuned for updates!

Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company in Temeke?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Temeke