Beka Flavour
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Beka Flavour, Musician/Band, Tarime.
08/06/2026
K**a bado hujasikiliza bado album ya ’afu basi utakua unakosa vingi fanya ukaguse link pale juu kwa bio yake uenjoy mziki mzuri 🔥🔥🫡🫡
07/06/2026
Mtu na nusu ❤️🥰 🔥🔥
haishi mpaka iishe chaka to chaka chocho kwa chocho kisiwa kwa kisiwa wapi hatujafika bado cm ziite mabos show inapigwa popote kikubwa team ikipitisha tu bajeti booking no, 0655979027 au 0772531546 next stop na kuendelea …. Iringa, Njombe ,Makambako, Songea, Mbinga, Mbambabei, Perameo, Mtwara, Lindi k**a kuna sehemu nimesahau niandikie apo chini ……. N.B vibegi vya wana viheshimwe hivyo 💵💵
bado inaendelea next stop hii ni kila bar kila nyumba kila chocho booking no 0772531546 or 0655979027
04/06/2026
Nyie mnaesambaza hiyo clip ikinionyesha nafanya show kwenye liukumbi likubwa alafu hamna watu ni kweli watu walikua wachache na mimi sipost show yenye watu wachache, Ila sasa postini na show hizi ambazo nimefanya kwenye hii hii tour yangu ya mtakua watu wa maana sana, bado nipo chaka to chaka naendelea kuzikusanya next stop mkoa unaofuata na media kubwa za bongo acheni kupromoti vitu vya kijinga vitu vya maana ham post Ila vya kijinga mnapiga misimu kibao waachieni vi blog mchwara ndo wapost vitu vya kijinga hovyoo 🤪🤪 nichukue nafasi hii kuwapongeza pekee ndo walinipigia cm kupongeza show zangu nilizojaza waandishi jiangalieni mnapoteza umahili wenu kila siku zinavyozidi kwenda shaulienu wanaume tunaitafuta hela huku tukirud mjini mtuombe hela, cha mwisho mwenye hiyo clip inayoonekana vizuri anitumie dm niipost na mimi mwenye hapa.
31/05/2026
Mke ❤️🥰
29/05/2026
Tayari nipo hapa baadae badae tukutane pale soma bango alafu mwambie mwenzio BekaFlavour leo tarehe 29 yupo hapa Sengerema kuja tuenjoy mziki mzuri ❤️🥰
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Tarime