Sm

Sm

Share

Sm ni Ukarasa wa story za mapendi ndoa na mahusiano, karibu sana ndani ya Familia ya Sm, hakuna udin

10/06/2024

CHOMBEZO - MAPENZI YAMELAANI AKILI

MTUNZI - MUSTO JR ABABUU

WHATSAPP - 0715815798

SEHEMU YA KWANZA

Utangulizi............

Wakati mwingine haya Mapenzi yetu tuliyonayo dhidi ya watu wengine hugeuka kuwa Sumu na kirusi cha kutuvuruga akili zetu, kwa sababu huwa yanatugeuza kuwa watumwa wa mawazo, sijui nitaeleweka k**a nikisema Mapenzi yanatutupa ndani ya Bahari tamu sana, au ni Bahari gani yenye utamu kiasi kile? lakini tunaogelea huku tukiwa hatuna amani ya moyo, mtu umetumia miaka kibao ukiwa Shuleni, umesoma kwa tabu na Maumivu, lakini ulivumilia kwa sababu uliihitaji elimu, umefanikiwa kumaliza elimu yako unapewa vyeti vyako unarudi nyumbani. mara Mapenzi haya hapa yanakuja kukurudisha tena utotoni, yaani kisa Mapenzi mtu unakuwa na fikra za kitoto mpaka unashangaza, elimu yako ya Chuo kikuu inakosa thamani kabisa kwa sababu kila uliwazalo ni lile lenye kuwaziwa na mtoto wa Chekechea, kuna namna haya Mapenzi yanapotawala moyo wa mtu humuogopesha muhusika kufanya maamuzi magumu, hata k**a kuna ulazima wa kufanya hivyo, kumwambia ukweli umpendae unaona ni k**a unamkatia tiketi ya kumpoteza, badala yake mtu unafanya mambo ya ajabu ili kulinda thamani ya penzi lako dhidi ya mtu ambaye hathaminiki, ni kazi bure mtu kuliweka penzi lako kwa mtu asiyejua thamani na maana halisi ya penzi. na ukilazimisha kufanya hivyo anaweza kukugeuza kuwa punda kwa kukubebesha mizigo ya kila aina, matokeo yake ni kukuzalishia majeraha kibao yasiyoweza kutibika, atakukondesha na kukugeuza kituko ulimwenguni. Asiyejua thamani ya penzi apendwapo hapaoni hata kwa msaada wa Dalubini. kuwekeza penzi lako kwa mtu wa namna hiyo ni sawa na kujigeuza gari la Deiwaka kila mwenye leseni ya udereva ataliendesha, hata wale wasiokuwa na leseni nao wataliendesha kila mmoja kwa spidi aijuayo yeye, matokeo ya hayo ni kukukongoresha mwili wako na kukupa upofu wa macho. na baada ya hapo watakuacha barabarani ukiwa peke yako, utasimama hapo na upofu wako ukiwa hujui ushike mwelekeo gani kushoto au kulia? hujui, utabaki unalia huku ukitoa lawama kibao, sasa sijui unamlilia nani au utakuwa unamlaumu nani. nafsi yako ama Shetani? Penzi lako ni mzizi uliochipua kutoka moyoni mwako. mzizi huo ni dawa na mustakabali wa furaha yako. litoe penzi lako kwa mtu ambaye atalithamini na kulijali, ili kuufanya moyo wako kuwa imara na mwingi wa furaha.
_________________________________

Naam Msomaji kwa mambo hayo machache ya kwenye utangulizi nadhani yamekufungua ubongo na kujua ni kitu gani kinakwenda kuongelewa ndani ya Chombezo hili la Mapenzi Yamelaani Akili! Kwanini nimesema Mapenzi Yamelaani Akili. Hakuna jina lingine zaidi ya hilo? Nimetumia neno Mapenzi Yamelaani Akili kwa sababu kuu mbili, kwanza Story inahusu Mapenzi, Pili ni matendo ambayo wahusika ndani ya Story wanayatenda, kwa mtu wa pembeni vitendo hivyo kwake ni vya kipuuzi sana, na si rahisi kwa mtu mwenye mawazo mapana kuvifanya, hivyo ni sahihi mimi kutumia neno Mapenzi Yamelaani Akili, karibu sana msomaji katika Chombezo hili ambalo litakuburudisha na hata kukushangsza, usiogope lisome popote maana sentesi zake zimekidhi vigezo na maadili ya kitanzania, karibu sana tufurahi na tuelemike pia
_________________________________

Magomeni jijini Dar Es Salaam....

Akiwa juu ya Kitanda Salehe alikuwa akitafakari mambo ambayo alikumbana nayo kwa mchana kutwa wa siku hiyo.

Lakini katika kutafakari huko alionekana kufurahishwa zaidi na tendo tamu tamu ambalo alilitenda na msichana mwenye kuitwa Tunu. aliweka mawazo yake hapo na kuanza kumtafakari mrembo huyo, ambaye alitoka kumburudisha kila kiungo cha kwenye mwili wake masaa kadhaa yaliyopita,

Alikuwa amekutana ndiyo na wanawake wa kila aina lakini kwa jioni ya siku hiyo Salehe alikutana na mwanamke ambaye hakuwahi kukutana naye, kwasababu alikuwa amempatia vitu ambavyo hakuwahi kupewa huko awali,
Ni vitu ambavyo ama kwa uhakika viliweza kuizuzua akili ya Salehe kikwelikweli,
Kiasi kwamba kuna muda kijana huyo alitamani hata kuona masaa yanarudi nyuma, ili zile raha ziweze kujirudia kwa mara nyingine mwilini mwake, lakini baada ya kugundua yupo katikati ya usiku wa saa saba, aliamua kuvuta shuka na kujilalia zake.

Alipopitiwa na usingizi kijana huyo hakujua kilichokuwa kikiendelea mpaka pale masikio yake yaliponasa sauti ya mlango kugongwa, alifumbua macho na kubaini tayari kumeshapambazuka, lakini akawa haelewi sauti ile ya mlango kugongwa ni ya chumba cha nani, ni k**a alikuwa akijiuliza swali akilini mwake, mgongaji amegonga mlango wake ama wa Chumba cha pili?

"Ngongongooo!" Mlango wake ukagongwa kwa mara nyingine,

"Wewe nani?" Akauliza, tayari alishajua mlango wenye kugongwa ni wake,

Swali lake halikujibiwa zaidi ya mlango kuendelea kugongwa,

"Si nakuuliza wewe nani?"

"Salehe sitaki maswali yako baba, tafadhali naomba nifungulie mlango!" Sauti ya k**e iliyodhahiri Shari ikasikika kutoka nje ya mlango,

"Mmmmh!" Salehe aliachia mguno baada ya kubaini mwenye kugonga mlango ni Mwanamama Saida, akashuka Kitandani na kwenda kuufungua mlango huo,

"Vipi Saida?" Akauliza Salehe baada ya kuufungua mlango, huku macho yake ya udadisi yakiwa yamegota kwenye uso wa Mwanamama huyo,

"Vipi kuhusu nini, mwanaume una tabia mbaya wewe sijapata kuona! hivi unafikiri hicho unachokifanya ni ujanja?" Maneno ya hasira yakamwagika kwa wingi kutoka kwenye kinywa cha Saida

"Saida!"

"Jina langu!"

"Mbona hivi, sikuelewi ujue!"

"Hunielewi nini?"

"Haijawahi kutokea wewe kuja kwangu asubuhi namna hii, isitoshe kusema hata maneno yako yananishangaza sana!"

"Eti maneno yako yananishangaza sana, Fyuuuu zako! Malaya mkubwa wewe!"

"Whaaaat!"

"Nyoko!"

"Unamuita nani Malaya!"

"Kwani nipo na nani hapa ndani?"

"Saida!"

"Usiniite ite Fyuuuu!" Saida alionekana kukerwa sana na jambo ambalo Salehe hakulijua,

Lakini baadaye aliweza kujua ni kitu gani kipo nyuma ya hasira za Mwanamke huyo, baada ya Saida kuutapika usaliti wa Salehe alioufanya na Tunu jioni ya siku ya jana yake.

Vibao viwili vya nguvu vilitua juu ya mashavu ya Salehe, pale alipotaka kujaribu kukataa kuwa hakusebeneka kitandani na Tunu, alitaka kumdanganya mtu ambaye ushahidi wote wa alichokifanya na Tunu alikuwa nao, alikaa juu ya kitanda huku akisikilizia Maumivu ya vibao vile jinsi yalivyokuwa yakisambaa mwilini mwake,
K**a mwanaume alikuwa na uwezo tena mkubwa sana wa kunyanyua mkono walau kumchapa Saida hata kibao kimoja, lakini hakuwa na ujasiri wa kufanya hivyo hata kwa bahati mbaya, kwanza angeweza vipi kumpiga kibao Mwanamke huyo ambaye amempangia Chumba hicho? na siyo kumpangia Chumba tu, hata vyombo vya ndani yeye ndiye kamnunulia, isitoshe kusema hata kula maradhi na kuvaa, vyote hivyo Salehe anavitegemea kutoka kwa Saida, ambaye ni mke wa Mfanyabiashara wa Madini, anayefahamika kwa jina la Mr Habibu, lakini pia Salehe yupo katika uhusiano wa kimapenzi na Mwanamke mwingine mwenye kuitwa Mwamvita, huyu ni Shoga mkubwa sana wa Saida, ushoga huu umekuja kutokana na waume zao kufanya biashara moja ya Madini, uhusiano huu Saida anaujua vizuri sana, kwakuwa ni makubaliano yake yeye na Mwamvita kumtumia Salehe kuridhisha miili yao kingono.

Ingawa kwa Salehe hajui hilo. Makubaliano ya Wanawake hao kwake ni Usiku wa giza...

Tunu ni mfanyakazi wa Saida kwenye Hoteli ya mama huyo ambayo ipo maeneo ya Masaki,
Salehe huwa anafikaga katika hoteli hiyo mara kwa mara, lakini mara nyingi akifika katika hoteli hiyo hanaga mazoea na Saida, ambaye muda mwingi anakuwa ofisini kwake, ofisi ambayo ipo hapo hapo ndani ya Hoteli yake, ni mara chache sana kumuona Salehe akiingia ndani ya ofisi ya mama huyo aliyemzidi umri, na hata akiingia hamalizi dakika tano anatoka..

Wanaweka siri kubwa sana kwa wafanyakazi wa Hoteli hiyo, wasikigundue kibanda chao cha mapenzi walichokijenga, hata Tunu ambaye amejuana na Salehe k**a mteja ndani ya Hoteli hiyo, ameingia katika uhusiano wa kimapenzi na Salehe, pasi na kujua kuwa Mwanaume huyo ni mpenzi wa boss wake, hapa ndipo Saida alianza kuhisi kuwa Salehe na Tunu ni wapenzi, kutokana na namna Tunu anavyompokea Salehe kwa hisia na mabusu motomoto pindi afikapo Hotelini hapo,.

Matukio hayo Saida alikuwa akiyanasa kupitia Camera za ofisini kwake, ndipo akamtafuta shushushu na kumpa kazi ya kuwafuatilia wawili hao, akanaswa Tunu akiingia chumbani kwa Salehe siku ya Jumapili majira ya saa kumi na moja ya jioni, taarifa hizo alifikishiwa Saida kwa njia ya Meseji, na pia alitumiwa video za Tunu akiingia ndani kwa Salehe, lakini alishindwa kufika eneo la tukio kutokana na kubanwa nyumbani kwake na mume wake Mr Habibu, akashinda jioni hiyo na hasira zake, akalala nazo na kufika nazo nyumbani kwa Salehe asubuhi hiyo, ni safari ya kwenda kazini kwake hiyo ila kabla ya kwenda kazini akaona ni vyema kupitia kwanza hapo nyumbani kwa kijana huyo.

"Salehe!" Akaita Saida,

Safari hii Sauti ilimtoka kipole sana, baada ya kubaini vibao vyake vimekwenda kuumiza mwili wa mpenzi wake huyo,

"Naam?" Akaitika Salehe, pasi na kumwangalia Mwanamke huyo usoni, bado uso wake ulikuwa chini, huku mikono yake ikiwa imekumbatia mashavu yake yote mawili,

"Samahani sana mpenzi wangu k**a nimekuumiza!"

"Kwahiyo umekusudia kuniumiza ili uniombe msamaha si ndivyo?"

"Hapana"

"Bali?"

"Ni hasira tu"

"Hasira ndiyo zimekutuma unichape vibao..... Sasa k**a ungekuwa na kisu mkononi si ungenichoma nacho!"

"Hapana, siwezi kufanya hivyo abadani!"

"Sasa unakuwa vipi na hasira kwa jambo ambalo hauna ushahidi nalo?"

"Ni jambo gani ambalo sina ushahidi nalo?"

"Kusema mimi nimemuingiza Tunu hapa ndani kwangu, na kufanya naye mapenzi huoni k**a unanikosea kwa kunihisi jambo ambalo siliwazii!"

"Salehe mimi siyo mtoto mdogo. Please usijaribu kuniaminisha uongo. Halafu hili la Tunu naomba tuliache nitakwenda kudiri naye kazini"

"Unamaanisha nini?"

"Salehe Bye Bye naondoka zangu mimi. ila nitarudi tena hapa kwako jioni nina hamu na wewe, elewa neno nina hamu na wewe"

Saida haraka sana alinyanyuka na kuusogelea mlango kwa hatua za haraka haraka, alivyoufungua na kutoka nje, alikwenda kujipakia kwenye gari yake, na safari ya kuelekea Masaki ikaanza, muda wote akiwa barabarani alionekana kuwa na hasira nyingi sana...

Hakuacha kutoa misonyo kwa kila mshale wa saa uliposogea mbele, kuna jambo ambalo angeweza kulipotezea licha ya kuwa na hasira nyingi hivyo...

Lakini si jambo hili la Tunu kuuparamia mnazi wake, amemzidi kila kitu msichana huyo, kuanzia umri Pesa uzuri mpaka Shepu, ingekuwa ajabu sana kwake, kumpoteza Salehe kisa Tunu, alitafakari sana akiwa barabarani ni majibu gani ambayo angeweza kumpa Shoga yake mkubwa Mwamvita, endapo na yeye angegundua kuwa Salehe yupo katika uhusiano na Tunu, ambaye anamjua vizuri sana kuwa ni mfanyakazi wa Saida,

Kulikuwa na makubaliano kwa Wamama hao wawili, walikubaliana kumlinda Salehe kwa hali na mali, dhidi ya mashoga zao na watu wa karibu yao waliowazunguka katika shughuli zao, Salehe ni Mwanaume ambaye aliweza kuwapa kile wanachostahili kukipata, kile ambacho wanakikosa kutoka kwa waume zao, na kila mmoja alikuwa na wiki yake moja ya kujivinjali na Mwanaume huyo.

Na katika wiki moja yake hiyo anatakiwa kuhakikisha Salehe anapata mahitaji yote muhimu, na pia kuhakikisha Salehe hatoki katika himaya yao, ni jukumu ambalo kwa upande wa Mwamvita analitekeleza vyema, hakuna shoga au mtu wa karibu yake ambaye amelala na Salehe,

"Nitamjibu nini Mwamvita?" Saida alijiuliza wakati akiwa barabarani,

Swali hilo liligeuka na kuwa kitendawili ambacho majibu yake hakuwahi kuyasikia popote, hakupata jibu la swali hilo mpaka anafika ofisini kwake, kichwa chake kilikuwa ni kizito sana alionekana kuwaza mambo mengi sana. hata wafanyakazi wake aliwasalimu kwa sababu ilikuwa ni lazima kuwasalimu,

"Shani nakuomba ukaniitie Tunu!" Alisema Saida,

Aliomba kwenda kuitiwa Tunu akiwa tayari ameshaingia ofisini kwake, Msichana ambaye alimpa maagizo hayo alikuwa ni msaidizi wake,

"Sawa bosi!" Shani alisema na kutoka ndani ya ofisi ya bosi wake huyo.

Baadaye kidogo Tunu aliingia ndani ya ofisi ya bosi wake huyo kusikiliza wito, huku akiwa hana hofu wala wasiwasi, aliiikia huku akiwa kasimama mbele ya macho ya Saida,

"Usinisimamie kaa hapo!" Akapewa amri kwa sauti ya Shari,

Tunu akatii amri hiyo haraka sana, lakini sasa moyo wake ulianza kwenda mbio, kutokana na wasiwasi ambao ulianza kudondoka taratibu taratibu katika moyo wake kwa mfano wa matone ya Mvua za Katelina, hakuwa na kumbukumbu k**a alishawahi kutenda kosa, lakini hiyo haikumfanya kuamini yeye hana makosa, aliamini huenda alitenda kweli kosa, lakini huenda kosa hilo yeye alilitenda pasi na kujua k**a ametenda, alijiandaa kwa ajili ya kuomba msamaha, punde tu Boss wake huyo atakapomaliza kumsomea Mashtaka yake yanayomkabili.

Inaweza kutokea Simulizi hii kukosa mapokeo mazuri kwa baadhi ya wasomaji, na k**a ikitokea hivyo ni Simulizi kukosa like na coment za kutosha, hali ambayo itapelekea kustopishwa huku Facebook, lakini WhatsApp itakuwa inaendelea k**a kawaida, unaweza kujiunga na group la WhatsApp kupitia Link ya hapo chini, πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/LElikGaaD1X7N5P9hcx1nx

Usikose sehemu ijayo hapahapa

Itaendelea

10/06/2024

NAKUTUNUKU UPENDO

MTUNZI MUSTO JR ABABUU

WHATSAPP_0715815798

SEHEMU YA KWAMZA

Utangulizi...

Simulizi ya mahusiano yao, ni Simulizi ambayo ingeweza kumfurahisha na hata kumvutia kila mtu ambaye alipata wasaa wa kusimuliwa, namna vijana wawili Stefano na Merry walivyopendana, na wanavyopenda, na wanavyozidi kupendana, ni somo tosha kwa wale ambao wapo katika mahusiano, na hata wale ambao bado hawajaingia katika mahusiano. Waswahili Wanasema Utamu wa mapenzi umpate yule mwenye kukupenda kukujali Kukuthamini na hata kukuheshimu, Heshima ni nguzo ya Upendo katika mahusiano yoyote yale, maana hutengeneza neno lenye kuitwa kipaumbele, Kujali na kuthamini ni point ya kulipa penzi hadhi ya nyota tano, Nakupenda ni neno fupi sana lisilo na gharama, lakini ukilitumia vibaya unapoteza thamani ya neno, Nakupenda ni mfano wa Msingi unaweza usiwe na gharama kubwa sana kwenye matengenezo, lakini msingi ndiyo uliyobeba uimara wa Nyumba, Nakupenda ni k**a uchawi safi ni siri ya maisha matamu, Nakupenda ni k**a chakula safi chenye virutubisho vyote muhimu ndani yake, ambavyo hujenga afya ya Mahusiano...
________________________________

Mazinde Mkoani Tanga...........

Penzi hujengwa na vingi sana ingawa vina ugumu kwa mtu kuweza kuviona, ingawaje tabasamu pekee pia hutosha kuonesha kwa uchache sana pendo lililo moyoni mwa mtu,

Hisia zao za ndani kwa ndani ziliishia kifuani, mioyo yao ilikuwa ni michanga kujiingiza katika ulimwengu wa mapenzi, lakini hisia zao zilizoingiliana na kushikana k**a jua na mwezi, ziliwasukuma kupendana, wakaweka vigezo vya umri pembeni na kila mmoja wao kuzionesha hisia zake katika macho mawili ya mwenzake.

Msomaji katika maelezo yangu ya hapo juu, nawazungumzia vijana wawili Stefano na Merry ambao kiumri bado ni wadogo, na wote wawili ni wanafunzi wa darasa la nne,

Shule yao ipo Mazinde mkoani Tanga, Mazinde ni Kata flani hivi ambayo imechangamka sana,

Ukifika Mazinde na kushuka stendi, mshike mkono mtu yoyote ambaye macho yako yamemuona, mwambie kuna hela ya Soda hapa nipeleke ilipo Shule ya msingi Mshangai, atakupeleka mpaka zilipo ofisi za walimu, Shule ya msingi Mshangai ni miongoni mwa Shule za mwanzoni kabisa kujengwa ndani ya kata hiyo ya Mazinde, ila kwa sasa k**a mtu ukifika pale huwezi ukawakuta Stefano na Merry, ambao ndiyo mastaa wa Story hii ambayo mwanzo wake ndiyo huu ambao sasa hivi umeshikilia Simu unausoma,

Huwezi ukawakuta wawili hao kwa sababhu wao tayari wameshahitimisha safari yao ya elimu, kuanzia msingi mpaka Sekondari, ili nieleweke vizuri ngoja niseme. Hapo mbeleni katika hatua za mwisho wa Story hii, tutajua wawili hao wapo wapi na wanashughulika na nini, lakini kabla ya kufika huko walipo sasa kuna mengi walipitia nyuma na yote hayo kupitia kalamu yangu nitayaandika hapa, labda nianze na utambulisho wao walau kwa ufupi sana, nadhani majina yao tayari nimeshakutajia, k**a kuna cha kuongeza, yaani cha ziada katika utambulisho huo, basi nitasema wote wawili ni wazaliwa wa Mazinde, na baada ya hapo narudi katika neno fupi lenye kuitwa hisia, maana hisia za kimapenzi ndiyo mazalisho ya Story hii ambayo ndani yake imejaa visa vya kila aina, ugomvi chuki kejeli umbea na takataka zote za visa uzijuazo msomaji..

Baada ya hisia zao kushikana na kusimama pamoja, walibaki kutamaniana pasi na kuongeleshana, siyo Stefano wala Merry wote hawakuwa na ujasiri wa kuambiana ukweli ulio ndani ya mioyo yao,

Nadhani utoto nao ulichangia katika hilo la kutokuwa na ujasiri, lakini maji ya mapenzi yaliyokuwa yakimwagika katika mioyo yao, yalionekana kupitia macho yao, pale walipokutana kila mmoja alionesha dhahiri kuhitaji kitu kutoka kwa mwenzake, lakini ni k**a vile wote walishindwa kusomana alama za huba katika macho yao, wakabaki kuumizana katika fikra moja, katika darasa lao la nne madawati yao yalikuwa yamejigawa kwa umbali sana, hivyo wote wawili walifikiria kupata nafasi ya kukaa dawati moja, walitamani hili kwa sababu walikuwa na hamu ya miili yao kugusana ili wazidi kuukoleza utamu wa hisia zao,

Waungwana wanasema Subira yavuta kheri. Wakajikuta wakizila Ndizi mbivu za uvumilivu baada ya kufika darasa la tano, hapa walipata nafasi ya kukaa dawati moja,

Urafiki wa ishara ya jambo la ndoto za mioyo yao ukaanzia hapo, taratibu wakaanza kuzoeana kimazungumzo, lakini hayakuwa mazungumzo yale ya kuwasilisha hisia zao, utoto uliwafanya waendelee kuogopana, mazungumzo yao yalikuwa ni ya kawaida tu, lakini yaliwafanya wacheke na hata kuvutana vutana miili yao, ili mradi tu kuimwagilia mioyo yao maji safi ya furaha,

"Merry samahani, naomba nikwambie kitu!" Siku moja Stefano alimwambia Merry,

"Bila samahani Stefano!" Merry alitoa ruksa kinywa cha Stefano kinyanyuke kuongea kile alichotaka kumwambia.

Stefano alionekana dhahiri kutaka kulipachika tofali la mapenzi katika msingi wa huba ulio moyoni mwa Merry,

Lakini mdomo wa kijana huyo ukatetemeshwa na aibu, na kugoma kutoa ushirikiano kwa madakika kibao, ni ghafla tu Stefano akawa mnyonge mbele ya macho ya Mwanamke ampendae, uso wake uliuanguka chini kwa aibu na macho yake kuanza kutalii ardhini, huku moja wa mkono wake akiutumia kujikuna kichwani taratibu taratibu mfano wa mtu mwenye ugonjwa wa mba...

"Stefano?" Merry akamuita.

"Naam?" Akaitika Stefano na kunyanyua uso wake juu,

Merry aliupeleka mkono wake mmoja na kwenda kulishika bega la Stefano, kisha binti huyo akajisogeza karibu zaidi na ulipo uso wa kijana huyo, macho kwa macho wakawa wanaangaliana.

"Umepatwa na nini Stefano, mbona umekuwa mnyonge hivyo ghafla?"

"Merry uzuri wako unaniogopesha!"

"Unamaanisha nini Stefano?"

"Naamanisha wewe ni mrembo sana, natamani nikwambie nakupenda ila naogopa!"

"Naomba nikuulize Stefano?"

"Usijali Merry niulize?"

"NI kweli unatamani kuniambia unanipenda?"

"HakyaMungu Merry, Kweli vile, natamani kusema hivyo!"

"Basi k**a ni hivyo tayari umeshaniambia, hata mimi nakupenda Stefano!"

"Merry unanipenda!?"

"Ndiyo Stefano nakupenda!"

"Asante sana Merry kwa kunipenda!"

"Asante na wewe Stefano kwa kunipenda!"

Baada ya mazungumzo hayo, msingi wa penzi la Stefano na Merry ukajengwa na zege la upendo, wote wawili walikuwa na akili za kitoto, hata mapenzi yao waliyaendesha kitoto, pale walipokutana katika usiku wa giza, walikubaliana kutafuta jumba bovu au nyumba ambayo haikumalizika matengenezo, hapo waliweza kuburudisha na kuipa raha miili yao kwa tendo la muda mfupi sana.....

BAADA YA MIAKA MIWILI...

Mapenzi yao yalikuwa tayari yamezoeana sana, hata maumivu ambayo Merry aliyapata wakati wa kutoka kwa Bikira yake, yalibaki historia ambayo Merry hakuwa na muda wa kuikumbuka, mapenzi yaliwafanya kupevuka akili kwa haraka sana, huku kila mmoja akionesha kujali na kuthamini uwepo wa mwenzake, alipo Stefano na Merry naye yupo hapohapo. pendo waliliunganisha katika kila kiungo cha kwenye miili yao, hawakuchokana kuongeleshana wala kuangaliana, walifanya mitihani ya mwisho ya darasa la saba na kumalizana na elimu ya shule ya msingi. na baada ya hapo ikafata likizo ambayo iliwagawa wawili hao.

Wa kwanza kabisa kuondoka Mazinde ni Stefano, kijana huyo alikwenda Jijini Arusha,

Na baada ya wiki moja Merry naye akaondoka Mazinde, binti huyo alikwenda Jijini Dar es Salaam, na kwasababu wote wawili walikuwa hawana Simu hawakuwa na mawasiliano tena, lakini wakati akiwa jijini Arusha Stefano alikuwa akimuwaza sana Merry, mawazo yake yote yalikuwa kwa Msichana huyo, katikati ya mawazo hayo alikuwa akiomba dua majibu ya mitihani ya darasa la saba yatoke vyema, alitaka yeye na Merry wote kwa pamoja waweze kufaulu. hata hivyo ilifikia hatua Stefano alishindwa kustahimili upweke wa kutokumuona Merry, macbo yake yalipoteza Shobo ya kuangalia magorofa ya Jijini Arusha, alitaka kumuona Merry mbele yake akitabasamu, akili yake ilikuwa ikijua kuwa Msichana huyo yupo Kijijini kwao, hivyo hakuona umuhimu wa yeye kuendelea kukaa hapo jijini Arusha, alimwambia mwenyeji wake anataka kurudi nyumbani,

"Eti nini Stefano!?" Mwenyeji wake ambaye ni kaka yake alishangaa na kuuliza pia, ilikuwa ni lazima ashangae kwa sababu toka Stefano amefika Arusha alikuwa na wiki moja na siku k**a tatu,

"Nataka kurudi nyumbani!" Stefano aliweka msisitizo,

"Kwani kuna nini Stefano? maana k**a ni likizo bado kabisa ni changa, isitoshe hata matokeo bado hayajatoka!"

"Ni kweli kaka, lakini kuna sababu ya mimi kutaka kurudi nyumbani!"

"Kuna sababu zipi?"

"Kifua changu ni kibovu hakiwezi kuvumilia baridi ya huku ndiyo maana nataka kurudi nyumbani!"

"Una matatizo ya kifua?"

"Ndiyo"

"Yamekuanza lini?"

"Kitambo sana"

"Wazazi nyumbani wanalijua hilo?"

"Hapana, hawajui"

"Kwanini hawajui?"

"Sikuwahi kumwambia mtu yoyote tatizo hili, wewe ndiyo wa kwanza nakwambia"

"Una siri za hatari sana dogo! Kwahiyo unataka kurudi lini Nyumbani?"

"Hata kesho k**a nauli itakuwepo siyo mbaya"

"Ondoka keshokutwa basi"

"Hata hivyo siyo mbaya"

Stefano hakuwa na ugonjwa wa kifua k**a ambavyo alimueleza kaka yake, bali alijivisha ugonjwa huo ambao uliweza kumsaidia kupatiwa nauli ya kurudi zake Mazinde,

"Stefano vipi!?" Watu walishangaa katika hali ya kuuliza, baada ya kumuona kijana huyo anashuka kwenye bus akitoka jijini Arusha.

Kila mtu alishangaa kumuona Stefano Mazinde kwa wakati ambao hawakutarajia kumuona, matarajio ya wengi ni kumuona kijana huyo hapo Mazinde baada ya matokeo ya mitihani ya darasa la saba kutoka. maswali yalikuwa mengi sana kwa kila aliyemfahamu Stefano, alitaka kujua sababu ya kijana huyo kurudi nyumbani mapema namna hiyo ni nini. hakuna aliyepewa jibu la swali hilo, Stefano hakuwa tayari kabisa kuongea sababu iliyomrudisha Nyumbani, walau wazazi wake walikuwa wakijua sababu ya kurudi nyumbani kwa mtoto wao ni ubovu wa kifua, ameshindwa kuhimili baridi ya Arusha, wazazi hao walijua hilo kupitia Simu ambayo ilipigwa na kaka wa Stefano kabla ya Stefano kufika Mazinde, hamu yake kubwa ilikuwa ni kumuona Merry, furaha yake ilikuwa ni kusikia sauti ya Msichana huyo, macho yake yalikuwa katika haraka ya kuliona tabasamu la Merry, Stefano hata nyumbani kwao hakukaa sana, baada ya kuweka mizigo yake sawa na kusalimiana na wazazi wake, alitoka mbio mbio mpaka nyumbani pakina Merry, alikuwa na Uhuru wa kuingia mpaka ndani kabisa ya Nyumba yakina Merry, wazazi wa msichana huyo walimtambua Stefano k**a Mwanafunzi mwenzake na Merry, walikuwa wakiamini makutano ya wanafunzi hao, ni kuongelea mambo ya Shule,

"Mama Shikamoo?" Akaipachika salamu kwa Mama wa Merry, huyu ndiyo mtu pekee aliyemkuta nyumbani hapo,

"Marahaba.... Hee Stefano umekuja lini!?" Mama Merry aliitikia salamu na kisha kushangaa kumuona kijana huyo,

"Nimekuja leo mama"

"Mbona mapema sana mwanangu, kwema huko Arusha?'

"Kwema Mama. Rafiki yangu Merry yuko wapi?"

"Rafiki yako yupo Dar es Salaam"

"Merry yupo Dar es Salaam!?"

"Ndiyo yupo Dar es Salaam"

"Amekwenda lini huko?"

"Ana siku ya tano sasa"

"Aisee!" Stefano alipagawa,

Alionekana kutokutarajia hili la kuambiwa Merry yupo Dar es Salaam, macho yake yalibaki kuganda katika kuta mfano wa mtu mwenye kuangalia Sinema ya huzuni,

Kuna muda alihisi huenda ni maneno ya uwongo tu, ambayo Mama wa Merry amemtamkia, Lakini hakukumbuka ni lini au ni siku gani Mama huyo alishawahi kumdanganya kwa jambo lolote lile, hakutaka kuamini kuwa Mama Merry kwa mara ya kwanza ndiyo anamdanganya, hapa ndipo akajikuta anayakubali yale aliyoambiwa, ghafla nyumba hiyo ikawa siyo rafiki tena kwake, hamu ya kuendelea kuwepo ndani hapo ikatoweka yote, alichokifanya ni kuaga na kuondoka zake. Lakini ikiwa ni kinyonge sana kiasi cha kupelekea hata Mama Merry kuacha kufanya alichokuwa anakifanya, na kumuangalia kwa nyuma kijana huyo namna alivyokuwa akizipiga hatua za kinyonge nyonge sana
wakati wa kuusogelea mlango.

Inaweza kutokea Simulizi hii kukosa mapokeo mazuri kwa baadhi ya wasomaji, na k**a ikitokea hivyo ni Simulizi kukosa like na coment za kutosha, hali ambayo itapelekea kustopishwa huku Facebook, lakini WhatsApp itakuwa inaendelea k**a kawaida, unaweza kujiunga na group la WhatsApp kupitia Link ya hapo chini, πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://chat.whatsapp.com/LElikGaaD1X7N5P9hcx1nx

Usikose sehemu ijayo hapahapa

Itaendelea

Photos from Sm's post 12/08/2023

Habari zenu Wapendwa!!!

Nilitaka kuendelea na Simulizi hizi mpaka sehemu ya Ishirini,
Lakini mambo ni mengi sana na nikisema niyafanye yote kwa wakati mmoja,
Basi sitoweza kukamilisha hata jambo moja,
Hivyo naomba wasomaji ambao walikuwa wakifuatilia Simulizi hizi,
Waje WhatsApp kwa muendelezo,
Malipo ni rahisi sana kwa kila Simulizi moja,
Na k**a utazitaka zote nne full utapewa punguzo la bei,
Namba za WhatsApp ni hizi hapa,
0715815798
0715815798
0715815798
Simulizi zenyewe ni hizi hapa,

πŸ‘‰ KITANDA CHA BABA MKWE
πŸ‘‰TULIPOPATAKA SIPO TULIPOPAFIKA
πŸ‘‰ NAFSI YENYE HATIA
πŸ‘‰ AMELOWA

Simulizi ni hizo nne njoo WhatsApp kwangu,
Au nitumie meseji ya kawaida K**a sitokuwepo Online,
Hata k**a umgeni na hukusoma hizo Simulizi siyo mbaya njoo WhatsApp kwangu,
Utapata nafasi ya kuzisoma Simulizi zote,

Nb, k**a kuna mtu mwenye kuvutiwa na Love Story,
Basi aje WhatsApp kwangu, aniambie nimuunge kwenye group ni bure hakuna malipo,

Mwisho niwape Asante sana kwa wote wenye kunisapoti katika kazi yangu,
Inshallah Mwenyezi Mungu atawaongezeeni kikubwa zaidi ya hichi ambacho mnanipatia mimi,

By Musto Jr Ababuu Admin

18/07/2023

SIMULIZI_TULIPOPATAKA SIPO TULIPOPAFIKA

MTUNZI_MUSTO JR ABABUU

WHATSAPP_0715815798

SEHEMU YA_6

Ilipoishia....

"Marry hebu kuwa Serious na Mimi hivi hujui kuwa Mimi ni Shemeji yako!" Daudi alisema,
"Hilo najua na hilo haliwezi kuwa sababu hata kidogo, halafu Daudi Mimi mbona nipo Serious nakupenda Sana!" Alisema Marry,
"Marry usinipende Mimi! Kwa sababu Mimi tayari nimeshapendwa na dada yako"
"Hata K**a Daudi na Mimi nataka kuwa na wewe hata kwa Siri Siri tu nakupenda!"
"Marry kwani sisi Wanaume tumeisha? Si utafute Mwanaume wako na wewe kuliko kutaka kuingia vitani na dada yako kwa ajili yangu!"
"Daudi usiulazimishe Moyo wangu kutua kwa Mwanaume mwingine zaidi ya wewe, naomba uelewe nini maana ya msemo huu Nakupenda Sana!"
"Marry unanichanganya wallah vile unaivuruga akili yangu hapa!" Daudi Alisema, huku akiwa anaangalia Computer, Wakati wakiyaendesha Mazungumzo hayo walikuwa ofisini kwa Mwanaume huyo, Marry baada ya kutoka Shule moja kwa moja aliongoza Mpaka ofisini kwa Mwanaume huyo!

Songa Nayo Mbele Msomaji...

"Daudi Subiri!" Alisema Marry, "Ngoja sasa nikuoneshe kwa vitendo kabisa ili ujue kuwa Mimi Marry nakupenda Sana!" Marry Aliongeza tena kusema,
Daudi ni K**a alipigwa Shoti ya umeme, hata ile Computer aliona inamchanganya kuangalia, nini binti huyo anataka kufanya! Mawazo yake yakasimama katika sentesi hii, huku Macho yake yakiganda katika uso wa Marry, Macho yake yalivyogota kwenye Mikono ya Msichana huyo, alishuhudia vidole vya Marry vikifungua vifungo vya Shati lake la Shule alilolivaa!
"Jesus Christ!" Daud alishtuka, "Unataka kufanya nini Marry?" Akauliza Swali ambalo majibu yake yalionekana kwa Macho,
"Nakupenda Daud!" Sentesi hii ilionekana kuganda kwenye Mdomo wa Marry, aliitamka huku akimtizama Daud kwa macho yaliobeba hisia nzito za kimapenzi! Alionekana kuwa Serious na kile akifanyacho!
Alivua nguo zote na kwenda Kusimama karibu zaidi na Daud, Marry alikuwa ni kinda la miaka kumi na Saba, ngozi safi ya mwili wake ilikuwa imebeba rangi ya Chungwa, Alimshika Kichwa Daud kimahaba na kisha kumpiga busu nzito la Mdomoni! Huku tabasamu la huba likiwa limeupamba uso wake, kijana akajikuta akitetemeka mwili mzima! Hata Mdomo wake Daud ulikuwa K**a una gundi maana ulikuwa mzito Sana kunyanyuka! Kichwa chake kilipoteza data na mtandao
pia ulisomekaa no Service!

"U, u...sifa nye...hivyo!" Sauti ya kigugumizi ikamtoka, huku nguvu za mwili zikimuishia,
"I love you so much!" Marry Alisema kizungu, "Daud nakupenda Sana!" Aliongeza kusema, mikono yake ilikuwa tayari imeshafungua zipu ya Suruali aliyoivaa Mwanaume huyo, alishamtoa Waziri wa Utalii wa ndani, na kupitia mikono yake milaini alikuwa akimchezea K**a Mwanae!
Kulihitajika ule ujasiri na hata uvumilivu wa hali ya juu, kwa Mwanaume rijali kuishinda mtihani huo! Ilikuwa ni mzito Sana na Daud alishindwa kufaulu kabisa! Na mwishowe alijikuta akiivunja amri ya sita na mdogo wa mpenzi wake, Mapenzi yakamnogea Marry na kutamani kuyapata zaidi na zaidi, lakini ni kwa namna gani atayafurahia Mapenzi hayo! Swali hili likawa ni agenda ndani ya ubongo wake!
Agenda hiyo ilitamatika baada ya yeye mwenyewe Marry, kufika muafaka wa kuizuia Safari ya Daud kwenda kijijini,
Ilikuwa ni lazima afanye hivyo ili kumfaidi Daud, kwa kipindi chote ambacho dada yake atakuwa South Africa, lakini je Mwanaume huyo atakubali kughailisha safari yake! Hili likabaki kuwa swali akilini mwake akilifikiria kila siku,
"Nitumie mbinu gani? Alitafakari usiku mmoja akiwa juu ya kitanda chake, aliamua kuuvunja usingizi ili apate majibu ni kwa namna gani amzuie Daud asiondoke,
"Ngoja kesho nikitoka Shule moja kwa moja nitaenda ofisini kwake kuongea naye! Akagonga tiki katika mawazo haya, hatimae alivuta Shuka kwa ajili ya zoezi la kulala Sasa! Tayari alishapata majibu ni wapi aanzie kuizuia Safari ya Daud kwenda kijijini kwao,

Dhamira ni Matamanio furaha yake ni ukamilishaji! Kweli siku ya pili yake baada ya kutoka Shuleni, Marry aliiacha barabara yenye kumfikisha Nyumbani kwao, akaishika barabara ya kwenda dukani kwao, hakufata kitu kingine huko zaidi ya kuonana na Daud tu! Moja kwa moja aliingia mpaka ofisini kwa Daud, alimkuta Mwanaume huyo akiwa kakaa juu ya kiti Cha kuzunguka, ukuta ambao ulikuwa umewaziba kuweza kuonekana na macho ya watu wa nje, ulimfanya Marry kutokuwa na aibu Wala Soni!
Alimsogelea karibu zaidi Daud
"Mwaaaaaaaa!" Akampiga busu zito la Mdomoni, akaugandisha mdomo wake juu ya ya mdomo wa kijana huyo K**a Dakika tano hivi,
Walikuwa wakizitafuna Tende za Kizanzibari, hatimae waliachiana na Marry kuketi kitini, wakakumbuka kusalimiana maana walikuwa hawakupeana Salamu baada ya macho yao kugongana,
"Umepitia Nyumbani?" Daud alisikika akimuuliza Marry,
"Hapana Mimi nimetoka Shule na moja kwa moja nimekuja huku kukuona mpenzi wangu!" Marry aliongea huku vidole vyake vikifungua vifungo vya Shati lake la Shule,
Alilivua mwilini Shati lile na kisha kuliweka pembeni, akabaki na Sketi pamoja na Sidiiria ambayo ilikuwa imebana vizuri chuchu zake!

"Nina Mazungumzo na wewe Daud" Aliongea huku macho yake yakulegea yakimuangalia Mwanaume huyo usoni,
"Okay" Daud aliongea kibosi kumpa Uhuru Marry wa kuzungumza Jambo lake,
"Unaondoka lini kwenda huko kijijini kwenu?"
"Panapo uzima wa afya Safari ni kesho"
"Daud nina ombi langu please naomba ulikubali"
"Ombi gani hilo Marry hebu liongee nilisikie"
"Naomba usiondoke Daudi, ni nini unataka niambie Daud nitakupatia ili usiondoke sawa?"
"Haiwezekani!" Daud Alisema kuashilia kuwa Safari itakuwa palepale K**a alivyoipanga,
Ile Dhamira yake iliyo moyoni mwake ilikuwa ni lazima aikamilishe, hakutaka kuona anashindwa hata kidogo, Marry alianza kumshawishi Daud kwa maneno matamu ili ayakubali matamanio yake, hii mbinu ya maneno ikafeli vibaya Sana kwa Marry! Daud hakushawishika na utamu wa Sauti ya Msichana huyo mdogo, ubongoni mwake kulikuwa na taswira ya Mke wake, ni muda mrefu Sana umepita bila kumuona Jenny,
Kufeli ni Matokeo ambayo ni mabaya Sana kwa Marry, hivyo hakutaka kukubali kufeli kirahisi rahisi Sana, furaha yake ingeletwa na Daud kukubali kughaili safari ya huko kijijini kwao, akili yake ikajiongeza kwa haraka Sana!
"Ngoja nimshawishi na hela huyu lazima akubali tu! Akili yake iliwazia hivyo,
"Naomba nikwambie kitu Daud K**a utakubaliana na Mimi" Marry Alisema huku akimuangalia Daud usoni,
"Kitu gani?" Daud alionesha Shauku ya kutaka kujua,
"Katika Milioni tano ambazo dada Elizabeth amekupa, Mimi nitakuongezea nyingine tano ili usiondoke" Marry alimuweka Shetani hatari Sana ndani ya akili ya Kijana huyo,
"Mmmmmh!" Daud aliachia Mguno bila kusema chochote, Sitaki nataka! Hizi zikawa ni sentesi zinazovutana ndani ya ubongo wake, alimpenda Sana mke wake na alitamani kwenda kumuona, lakini pia upande wa pili alizipenda pesa hizo na alitamani kuzipata!
"Usigune nijibu Daud ujue Mimi nakupenda Sana!"
"Naomba unipe muda Marry wa kulifikiria hili"
"Sasa huo muda unaotaka niukupe ni muda gani Jamani na wakati kesho unaondoka!"
"Mimi ndiyo nimekwambia nipe muda sasa wewe wasiwasi wako nini Marry?"
"Sipendi nikuuzi Daud hata kidogo nimekubaliana na wewe" Marry Alisema, tabasamu lilikuwa limemtoka baada ya kubaini tayari ameshauchanganya ubongo wa Daud na pesa alizomtajia, hata alipoaga na kuondoka zake Marry alijua tayari ameshamaliza kazi yake ya ushawishi! Pesa ni kitu kingine alijua ni lazima tu zitamshawishi Daud kukubaliana na kile atakacho!
"Oooooopseeeeee!" Pumzi za Daud zilipishana kwa kasi Sana, wakati wa kutafakari Jambo moja la kuchagua Kati ya Milioni tano au Safari,
"Kwanini nisicbukue hela halafu nikapanga siku nyingine tena ya kwenda Kijijini? Maswali yalianza kumjia akilini mwake,
"Pesa kwanza mke wangu yupo tutaonana tu, ngoja nichukue hela hizi nisiwe mzembe! Hatimae pesa ikaibuka na ushindi ndani ya akili yake, Safari aliiweka pembeni kwanza mbele ya Pesa! Kazi ikawa ni moja tu kubuni uongo kwa Mke wake, maana tayari alishampigia Simu na kumwambia kuhusu Safari yake ya kesho, na kila kitu kinachohusu Maandalizi alimuhakikishia mke wake ameshakikamilisha vizuri Sana ni swala la muda tu yeye kupanda bus la kijijini kwao!
***
Jenny Mke wa Daud aliamka asubuhi Sana, huku tumaini lake ni kumpokea Mume wake!
Aliizunguka nyumba yake kwa ajili ya kuangalia Mazingira ya Nyumba, macho yake yakagota juu ya vinyasi vidogi vidogo wenyewe wanaita ukoka, nyasi hizo Zilikuwa zimekalibiana karibu na ukuta wa nyumba! Hizi zikawa ni takataka na hazikustahili kuendelea kuwepo pale, akili yake ilimwambia ni aibu endapo Mume wake atazikuta hapo, alirudi ndani na kuchukua Jembe, taratibu taratibu Sana akaanza kuzikwangua zile nyasi, mdomo wake ulikuwa ukitoa Sauti, ambapo alikuwa akiimba Wimbo mtamu Sana wa Mdumange, wakati wote wa kufanya zoezi lile la usafi,
"Jamani naomba mniache Mimi leo siendi kwenye kuni!" Jenny Alisema kwa sauti ya juu, baada ya wanawake wenzake kumfata waende kwenye kuni,
"Kwanini?" Wakauliza huku wakionekana kushangazwa na kitendo Cha Jenny kukataa kwenda kwenye kuni
"Msiniulize ulize Maswali yenu, nimesema leo siendi kwenye kuni hilo tu basi"
"Mmmmh! huyu mwenzetu leo! Jenny una nini wewe leo?"
"Mume wangu anakuja leo nimemmiss Sana, hivyo mwili wangu leo sitaki niuchoshe na mambo ya hovyo hovyo hayo!"
"Mwenzetu kwenda kwenye kuni Sasa hivi imeshakuwa ni mambo ya hovyo hovyo Jamani!"
"Ndiyo" Jenny aliongea, lakini kauli zake zilionekana ni za utani utani tu, maana wakati akiongea hivyo alikuwa anatabasamu, na hata wale wenzake nao walikuwa hivyo hivyo K**a alivyo yeye Jenny,
"Sawa sisi ngoja twende zetu kwenye mambo ya hovyo hovyo, na huyo Mume wako leo haji K**a huamini utaona"
"Eeh Shida hebu nitolee kauli zako za Kichawi hapa" Jenny Alisema huku akicheka, Kuna dada mmoja miongoni mwa wale wadada waliofika hapo nyumbani kwa Jenny, aliongea kauli hiyo ya kumwambia Jenny kuwa, huyo Mume wako leo haji K**a huamini utaona!

Wakati yule dada aitwae Shida anaongea ile kauli yake, imani yake ni kuwa Jenny ataipokea kiutani, kwa sababu hata yeye alitamka tu kiutani utani, na kweli kwa muda ule Jenny kauli ile aliipokea K**a vile Shida alivyofikiria, lakini baada ya kupigiwa Simu na Mume wake, na kuambiwa siku hiyo Safari haikuwepo na kwamba itapagwa tena tarehe nyingine ya Safari, Jenny aliikumbuka ile kauli ambayo alitamkiwa na Shida, hii kauli baada ya kuikumbuka aliiweka ubongoni mwake na kuanza kuitafakari kwa mapana, na Mwisho wa kutafakari alimuona Shida Nuksi na hatimaye kumshika Uchawi, hasira zikamjaa huku akimsubiria Shida kwa hamu arudi kutoka kwenye kuni!

Kwa Simulizi zaidi na zaidi jiunge WhatsApp kwa link hiyo, πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://chat.whatsapp.com/LElikGaaD1X7N5P9hcx1nx

Usikose sehemu ijayo hapahapa

Itaendelea

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Tabata?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Sinza
Tabata