Nuru

Nuru

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nuru, Media/News Company, StoneTown, Stone Town.

12/05/2020

Rais wa , Andry Rajoelina amesema dawa ya kutibu corona iliyogunduliwa nchini humo inakosolewa kwa sababu inatokea Afrika, ila ingetoka Ulaya hakuna ambaye angekuwa na mashaka na uwezo wake. Amesema watu 105 waliopona nchini mwake walitumia dawa hiyo pekee.

02/05/2020

Rais Dkt. Magufuli amemteua Mbunge wa Iramba, Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Uteuzi wa Dkt. Nchemba unaanza leo tarehe Mei 2, 2020.

Dkt. Nchemba anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Augustine Mahiga ambaye amefariki dunia.

Photos 02/05/2020

Total confirmed cases in East Africa
02 may 2020

🇧🇮 - 11 cases
🇰🇪 - 411 cases
🇷🇼 - 249 cases
🇸🇸 - 45 cases
🇹🇿 - 480 cases
🇺🇬 - 85 cases

02/05/2020

Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA) limechapisha picha zinazomuonesha kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un akizindua kiwanda cha mbolea eneo la Sunchon katika Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi). Kwa siku za hivi karibuni kumekuwapo taarifa kuwa kongozi huyo alikuwa mahututi.

08/04/2020

Welcome | Karibu

Want your business to be the top-listed Media Company in Stone Town?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Culinary Team

Attire

Address


StoneTown
Stone Town
255