Selous Fm Tz

Selous Fm Tz

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Selous Fm Tz, Radio Station, Selous Tv, Songea.

Kituo Bora Cha Radio Kutoka Mkoani Ruvuma ,Tunawaunganisha wana Ruvuma Na Tanzania kwa Kuwapa Habari Zenye uhakika,Burudani ,Michezo.Tunasikika Moja Kwa Moja Kutoka Kata Ya Bombambili, Manispaa Ya Songea Kupitia Masafa Ya 95.7

08/01/2024
15/04/2023

🔥LEO ndio LEO, huku kwetu kila siku ni SHEREHE🥳

🗣️Nasemajeeeeee! BATA la MOTOKO WA KIBINGWA SEASON 5 ndio kwanza linaanzaaaa🔥

🙌Chekishia MABINGWA kutoka kitaa wakiwa kwenye USAFIRI wa KI-VIP kuelekea KIDIMBWI kula Burudani la kibabe💪

🥳Hizi ni rasharasha tu, kwa matukio zaidi kaa karibu na page zetu tutakudondoshea kila tukio LIveeeee bila chenga🙌

15/04/2023

💰Kula chuma hichooo! Upige PESA NDEFU kwenye game ya SIMBA vs YANGA mapemaaa🥳.

🙌ODDS kubwa KULIKOO na Malipo FASTA k**a upepo🥳

Simba X Yanga
2.35 3.15 2.40

🤑Kubeti zama - https://bit.ly/MIPESAKibwena

12/04/2023

🥳Tunayo furaha kutangaza kwamba Fainali ya S4C imemalizika rasmi.🔥

🏅MABINGWA wamepatikana nakuondoka na Donge nono.💸

Kulaaa chumaaa ikooo, 🗣️ Nasemajee tunakupa nafasi ya kuondoka na kitita kikubwaaa wikeend hiii🥳 huku SIMBA 🆚 YANGA Kule WEST HAM 🆚 ARSENAL unasubiri nini?

Photos from Selous Fm Tz's post 09/04/2023

Leo ilikua ni Patashika JEZI kuchanika ndani ya FUKWE za COCO BEACH🏖️🏝️⛱️!

🗣️Nasemajeeeeee! Fainali za S**o zimetamatika leo na mabingwa kupatikana.

Huku👉 SPORTS JOURNALISTS wakiibuka kidedea dhidi ya DSM RC na kujinyakulia kitita cha shilingi 1,000,000/=

Upande wa wanawake👉KOPA G QUEENS wamechezea kichapo cha goli moja kutoka kwa SPORTS JOURNALISTS ambao pia wamejinyakulia kitita cha shilingi 1,000,000/=

🥳Fainali hizi zikiwa ni amsha amsha za kuelekea MTOKO WA KIBINGWA Msimu wa 5 🔥

07/04/2023

Ni Patashika JEZI kuchanika ndani ya FUKWE za COCO BEACH🏖️🏝️⛱️!

🗣️Nasemajeeeeee! Sehemu pekee ya kuwepo kesho ni kwenye FAINALI za S4C

⏰Mishale ya SAA 10 JIONI ngeee FAINALI za S4C zitapigika LIVEEEEE bila chengaaa huku zikisindikizwa na BURUDANI fulani hivi la kibabe🕺🔥

Huku👉DSM RC 🆚 SPORTS JOURNALISTS

Upande mwingine👉KOPA G QUEENS 🆚 SPORTS JOURNALISTS

Nani kuondoka na Ubingwa🤔?

🥳Usikubali kupitwaa🔥Tutakua LIVE kwenye page zetu zoteee

SABAYA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA NJE 05/04/2023

https://youtu.be/_II2Zu__lFk

SABAYA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA NJE SABAYA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA NJE

NAIBU WAZIRI WA AFYA AMUHAKIKISHIA MB. MARIUM NYOKA GARI WA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA 05/04/2023

https://youtu.be/luqDXDReUyA

NAIBU WAZIRI WA AFYA AMUHAKIKISHIA MB. MARIUM NYOKA GARI WA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA NAIBU WAZIRI WA AFYA AMUHAKIKISHIA MB. MARIUM NYOKA GARI WA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA

04/04/2023

🥳Tunakudondoshea Scratch 🎼🎙️🎧 za DJ D-OMMY 🕺the International DJ ndani ya Mtoko wa Kibingwa🙌

🥳Ni BATA juu ya bata likisindikizwa na BURUDANI la kibabe 💪ndani ya KIDIMBWI🔥

Nasemajeeee🗣️Ni dhambi ya burudani kukosa MTOKO WA KIBINGWA SEASON 5✊

03/04/2023

Ni yeye🥳!

Hii ni KUBWA KULIKO yaani haijawahi KUHAPPEN😉

🎧Huku maunyama ya DJ D-OMMY

🎤🎵Kule maufundi ya mzee wa masauti CHRISTIAN BELLA OBAMAA🔥

🕺💃Bado hatujamalidhaaaaa🗣️Burudani hili la kukata na shoka litaongozwa na SAUTI yenye MAMLAKA kutoka mawinguni ya M***A HUSSEIN🙌💪

Unakosaaaajeeeee!!!???📢🗣🤌🏿

Selousfm on TikTok 27/03/2023

EMMANUEL OKWI APIGA MKWARA MZITO,ATAMBA KUTORUDIA MAKOSA,KOCHA MICHO ATIA NENO

Selousfm on TikTok Sequence 01_2

Want your business to be the top-listed Media Company in Songea?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Selous Tv
Songea