PER CTV
PER CTV ni ukurasa unaotoa habari mbali mbali hapa nchini hadi nje ya nchi, habari za michezo,biashara, na nyingine nyingi
25/12/2025
Merry Christmas ππ
PER CTV Per C Technomaster Perctechnomaster.tz
26/11/2025
π Je, unaendesha biashara bila uhakika wa faida yako?
Wafanyabiashara wengi hupoteza pesa bila kujua β sio kwa sababu biashara haitengenezi, bali kwa sababu hakuna mfumo sahihi wa kusimamia mauzo na hesabu.
π΅ PassPOS ndio suluhisho rahisi na la kisasa kwa biashara zote Tanzania!
Mfumo huu hukusaidia:
βοΈ Kujua faida na hasara papo hapo
βοΈ Kusimamia stock/hisa kwa usahihi
βοΈ Kutengeneza strika/risiti za kisasa
βοΈ Kutunza madeni ya wateja kwa usalama
βοΈ Kutumia bila intaneti (Offline Mode)
βοΈ Kuangalia taarifa zote kwa simu ukiwa popote
Na zaidi ya yote⦠mfumo ni rahisi kutumia hata k**a hujawahi kutumia kompyuta!
---
π― **Hakuna tena guesswork kwenye biashara yako.
Ilinde biashara yako leo na PassPOS!**
π Jiunge sasa:
π www.passpos.co.tz
π WhatsApp: 0624 507 136
03/08/2025
Unapenda kuwa sehemu ya mapinduzi ya kidigitali?
Kuwa *wakala rasmi wa PassPos App* leo!
β
Pata kipato kwa kusajili wafanyabiashara
β
Toa msaada wa kiteknolojia kwa wateja
β
Fursa ya ukuaji na ushirikiano rasmi
π² Jaza fomu hapa:
π https://forms.gle/XgttvYyMUW7kPonr6
27/07/2025
*π TANGAZO LA KAZI β TUNATAFUTA MAWAKALA WA APP YA PASSPOS!*
Je, unatafuta fursa ya kuingiza kipato kupitia teknolojia? PASSPOS inakuletea nafasi ya kipekee ya kuwa *wakala rasmi* wa mfumo bora wa biashara!
*Tunachotafuta:*
β
Watu wenye uaminifu
β
Wanaojua kutumia simu au kompyuta
β
Wenye bidii na mawasiliano mazuri
*Majukumu ya wakala:*
π± Kuuza/kuhamasisha app ya PassPos kwa wafanyabiashara
π Kusaidia wateja kujiunga na kutumia mfumo
πΌ Kutoa msaada wa awali kwa watumiaji
*Faida:*
π° Kamisheni nzuri kwa kila mteja
π Mafunzo ya bure
π― Nafasi ya kukuza kipato chako binafsi
*Mahali:* Tanzania nzima β kipaumbele kwa maeneo ya miji na biashara.
*Jinsi ya Kujiunga:*
Tuma jina lako kamili, eneo, na namba ya simu kupitia WhatsApp: *+255 765 435 543*
Jiunge na mapinduzi ya kidigitali leo!
*PASSPOS β Biashara Bila Karatasi.*
07/06/2024
tunakuletea huduma ya security systems k**a CCTV camera, electric fence, intercom system, Alarm systems n.k pamoja na mifumo ya biashara k**a- POS system, Pharmacy systems, Microfinance systems management, Ticket systems, Events systems n.k
Wasiliana nasi:
+255624507136
+255624507136
06/06/2021
Wakati ndio huu chukua hatua timiza malengo yako
01/05/2021
07/04/2021
UKIZUIA BANGO LA
MWANANCHI HUNA KAZI-SAMIA:
Mhe.Rais Ma Samia Suluhu:
"Kuna baadhi ya kero za wananchi sio lazima
zitatuliwe huku juu zinaweza kutatuliwa
hukohuko chini,kumekuwa na tabia tukiwa
ziarani wananchi wanakuja na mabango
yao kuonyesha kero zao. Tunataka kero
kubwa kitaifa hizo kero ndogondogo wakuu
wa wilaya na wakurugenzi mnaweza
kuzitatua. Sasa tukija alafu tukaona bang0
lenye kero ambayo mkuu wa wilaya ama
mkurugenzi angeweza kutatua maana
yake dc na ded mnaondoka. Simaanishi
muwazuie wananchi wasionyeshe mabango
yao tukigundua mmewazuia kuonyesha
mabango yao pia mnaondoka" Samia.
17/12/2020
Makamu Mwenyekiti
BAWACHA Hamuonya Halima
na Wenzake Kuhusu
Kongamano Hewa
Wakati Balaza kuu la Chama likisubiri
kupokea rufaa kutoka kwa Wabunge 19
waliofukuzwa kwa kosa la kwenda
kuapishwa bungeni bila ya Baraka za
Chama, inadaiwa Wabunge hao
wamejiandaa kufanya kongamano ndani
ya chama hicho.
Wabunge hao wakiongozwa na Halima
mdee aliyekuwa Mbunge wa Kawe na
Mwenyekiti Baraza la Wanawake
(BAWACHA) walifukuzwa uanachama
Novemba 27, baada ya Baraza kuu la
chama kufika maamuzi baada ya kuitwa
kujieleza na kukaidi maamuzi hayo.
Wabunge hao wanaoongozwa na Halima
Mdee aliyekuwa mwenyekiti wa Baraza
la Wanawake (Bawacha) walifukuzwa
uanachama Novemba 27, baada ya
kwenda bungeni jini Dodoma
kuapishwa bila kufuata utaratibu wa
chama hicho.
"Tumepata taarifa wanatumia nembo na
jina la Chadema kuwahadaa baadhi ya
viongozi na kina mama wa Bawacha kwa
fedha na ahadi za mitaji ya biashara na
mafunzo ili wafike Dar es Salaam
kwenye kongamano.
"Mwanachama yeyote atakayeshirikiana
na watu hawa 19 atambue atakuwa
anakiuka taratibu na maamuzi ya chama
na atachukuliwa hatua stahiki kwa
mujibu wa katiba ya chama cha
mwongozo wa Bawacha, alisema
Sharifa.
"Mwanachama yeyote atakayeshirikiana
na watu hawa 19 atambue atakuwa
anakiuka taratibu na maamuzi ya chama
na atachukuliwa hatua stahiki kwa
mujibu wa katiba ya chama cha
mwongozo wa Bawacha,' alisema
Sharifa.
Makamu mwenyekiti huyo aliongeza
kuwa mbali na kuendelea kufuatilia
nyendo za Mdee na wenzake, baraza hilo
limewataka wajumbe wake kuwa imara
wakati wanaendelea kujipanga
kutekeleza maagizo ya k**ati kuu ya
kuziba pengo la hao 19 waliovuliwa
Uanachama
Updated byPER PER CTV PER CTV
17/12/2020
Mtayarishaji movie aliyoigiza
Wema, Van Vicker atwaa tuzo
Marekani.
Cop's Enemy moja kati ya filamu
zilizofanya vyema zaidi kwa mwaka
2020 imeweka rekodi baada ya kufikisha
watazamaji zaidi ya Million 1 kwa kipindi
cha miezi minne tu.
Licha ya mafanikio hayo John K-ay
ambaye ndio mtayarishaji wa filamu hiyo
pia amefanikiwa kuchukua tuzo nchini
Marekani "The African Film Festival in
Dallas" kupitia filamu ya Cop's Enemy na
kufanikiwa kushinda katika kipengele
cha Mtayarishaji filamu anayechipukia.
Katika tuzo hizo alikua akishindanishwa
na wakali wa filamu kutoka nchi
mbalimbali Africa.
Ikumbukwe Cop's Enemy
imewashirikisha wasanii wakubwa
kutoka Africa na nje ya Africa k**a John
k-ay, Van Vicker pamoja na Wema
Sepetu na imeongozwa na Neema
Ndepanya kutoka Tanzania pamoja na
Prema Smith toka Australia.
Updated by PER PER CTV PER CTV
17/12/2020
Uongozi KMC Watoa Tamko
Penati ya Simba
UONGOZI wa KMC umesema kuwa
maamuzi ya penalti iliyotolewa kwenye
mchezo wa Ligi Kuu Bara jana, Desemba
16 hayapo mikononi mwao kwa kuwa
hiyo sio kazi yao
Wakati ikiyeyusha pointi tatu kwa
kufungwa bao 1-0 dhidi ya Simba, bao
hilo lilipatikana kwa mkwaju wa penalti
dakika ya 73 baada ya mwamuzi wa kati
Elly Sassi kutafsiri kwamba mchezaji wa
KMC aliunawa mpira huo.
Bao la ushindi lilifungwa na Meddie
Kagere dakika ya 77 na na kuifanya timu
hiyo kufikisha jumla ya poiinti 35 ikiwa
nafasi ya pili.
Akizungumza na Saleh Jembe, Habib
Kondo, Kocha Msaidizi wa KMC
amesema:" Kuhusu maamuzi ndani ya
uwanja hilo benchi la ufundi hatujui, sisi
kazi yetuni kufundisha timu ili ipate
matokeo na ndicho ambacho
tunakifanya wakati wote.
"Ninachokijua mimi ni kwamba
wachezaji wetu walipambana katika
kusaka matokeo na tumepoteza hakuna
cha kubadilisha zaidi ya mipango
kwenye mechi zetu zijazo."
Tukio hilo lilichukua dakika nne kwa
wachezaji wa KMC kuwa kwenye
ubishani na mwamuzi kwa kuwa
hawakukubaliana na kitendo hicho.
Updated byPER PER CTVPER CTV
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Songea