LUNGU TZ

LUNGU TZ

Share

UKURASA WA KUHABARISHANA HABARI ZINAZOTOKEA KOTE DUNIANI,DEALS ZA BIASHARA NA MIJADALA YA MAISHA

14/07/2024

Happy birthday to me!

20/10/2023

Vijana tuachane na pisi kali, wanataka zitumike na wazee "madingi"

26/05/2023

Nice

26/05/2023

Peace๐Ÿ™

24/05/2023

Mzee wa kufirimba ulembe namuona akipata goodtime na mzungu๐Ÿ‘

25/03/2023

Results

05/03/2023

R.I.P Iddy Mobby Mfaume
Beki wa mpira...๐Ÿ™

05/03/2023

Liverpool 7 vs 0 Manchester United
๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

24/01/2023

Lile vibe๐Ÿ™…

Lungu Joseph

11/01/2023

We mama wewe๐Ÿ˜ƒ

10/01/2023

TCRA CCC- MARUFUKU KUPANDISHA BEI ZA VOCHA ZA SIMU: Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC), limepiga marufuku upandaji bei ya vocha za simu kiholela na kudai ni batili na kinyume cha sheria.

Katibu Mtendaji wa TCRA CCC, Mary Shayo Msuya akizungumza jijini Dar es Salaam amesema katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa huduma za mawasiliano kuhusu kupanda kwa bei za vocha za simu za mkononi maeneo mbalimbali.

Bei hizo zimekuwa zikitofautiana baina ya wauzaji na hivyo kusababisha malalamiko kutoka kwa watumiaji.

Baraza limeshauri watoa huduma kujadiliana na mawakala wao namna bora ya kutoza kamisheni bila kumuongezea mtumiaji mzigo wa gharama zitokanazo na mabadiliko ya kamisheni, pale yanapokuwepo.

Kauli ya Mary imekuja baada ya hivi karibuni vocha za simu za mkononi kupanda bei kutoka Shilingi 500 hadi Shilingi 550 au Shilingi 600 wakati vocha za Shilingi 1,000 zinauzwa kwa Shilingi 1,100 hadi Shilingi 1,200.

10/01/2023

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Songea?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Songea

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LUNGU TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Songea.