Regency Resort Singida
Stylish and serene, the Regency resort is a 4-star hotel in a class of its own. As Singida’ s latest up market hotel.
18/12/2016
Habari njema kwa wateja wetu.. Katika sikukuu hizi za Christmas tunawaletea Buffet la nguvu.. Misosi zaidi ya 20 kwa Wakubwa 30,000 Tshs na Watoto 15,000 Tshs tu... Kwa booking Tupigie kwa +255 769 979 191 au Mob: +255 672 305 551. Karibu sana..
13/12/2016
Baada ya weekend ndefu.. Unaonaje ukaja hapa Regency Resort Singida kupunguza uchovu huku ukibadilishana mawazo na marafiki zako? Kwa maelekezo tupigie kwa 0672 305 551
11/12/2016
Tukiwa kwenye mapumziko marefu tunapenda kukukaribisha Regency Resort Singida uburudike pamoja nasi. Kwa maelekezo tupigie kwa 0672 305 551
10/12/2016
Weekend tulivu.. Regency Resort Singida inapatikana pembezoni kabisa mwa ziwa Singidani. Mbele ya KBH.. Kwa maelekezo tupigie kwa 0672 305 551
09/12/2016
Karibu Regency Resort Singida usheherekee sikukuu hii ya Uhuru wa Tanzania Pamoja nasi. Happy Independence day Tanzania
07/12/2016
Vitu vyote hivi unavyikuta chumbani.. Huna haja ya kuja navyo.. Regency Hotel Sigida tunakupa huduma ya kimataifa.. Kwa maelezo zaidi wasiliana na sisi hapa 0672 305 551
03/12/2016
K**a upo mjini Singida weekend hii.. Tunapenda ukaribie Regency Resort Singida ufurahi pamoja na sisi. Kwa mziki mzuri wa LIVE Band. Karibu
01/12/2016
Nyumbani mbali na nyumbani... Ni kitu gani kimekosekana hapo?
30/11/2016
Wahudumu wetu wote ni wachangamfu na utapata huduma ya kimataifa. Wewe ukitoka hua unapendelea kinywaji gani?
29/11/2016
Tunapenda kukukaribisha Regency Resort Singida.. Tuna kila aina ya vyumba kwa mahitaji yako.. Wasiliana nasi kwa 0672 305 551
28/11/2016
Weekend yako ilikwendaje? Kwa sherehe mbali mbali k**a Harusi, Birthdays au Honeymoon karibu sana Regency Resort Singida..
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the hotel
Telephone
Address
P O Box 79375
Singida