DANY MBISE
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DANY MBISE, Motivational Speaker, singida, Singida.
Nnitoo akuuya konrera kiroo urukeyi lo wandu kwufooo?
06/12/2025
Thanks God for your blessings on me
17/09/2025
Mungu ameniona
17/10/2024
We are living for the purpose of 🦅 #
Appreciation is result of outcomes just keep on doing
17/09/2024
ILINDE THAMANI/HESHIMA YAKO.
Yapo mambo AMBAYO kwa kawaida tunaweza kuyaona madogo lakini impact/madhara yake katika maisha yetu ni kubwa mno na wakati mwingine inaweza ikaenda mbali zaidi kizazi hadi kizazi!
Esau na yakobo walikuwa ni watoto wa isaka, Esau alikuwa mzaliwa wa kwanza. Siku moja Esau alitoka mawindoni akiwa na njaa sana, alimkuta mdogo wake yakobo amepika chakula Cha dengu. Kutokana na njaa aliyokuwa nayo, alimuomba mdogo wake chakula ale. Kabla yakobo hajampatia chakula alifanya nae makubaliano AMBAYO, alimtaka Esau akubali kumpatia haki ya mzaliwa wa kwanza. Esau pasipo kupinga alikubali na kwa kejeli alisema haki ya mzaliwa wa kwanza haina umuhimu wowote kwake maana hata umri wake umeshamtupa mkono. Baadae waliapishana na mwisho alipatiwa chakula Akala.
Esau hakujua thamani ya HAKI YA MZALIWA WA KWANZA., Hivyo ilikuwa rahisi Sana kwa yeye kukubali na mwisho madhara yalianza kuonekana taratibu. Isaka alipokaribia kufa alimtaka kumbariki Esau kabla ya kufa, ukisoma kitabu Cha MWANZO utaona, Esau hakufanikiwa kupata baraka alizoahidiwa na isaka badala yake Yakobo ndie alizochukua kwa hila. Licha ya kwamba yakobo alitumia hila kupata baraka kutoka kwa baba yake isaka ambazo kisahihi alipaswa apate Esau, Esau alikuwa tayari ameshampatia yakobo Haki ya uzaliwa wa kwanza na kisahihi baraka zile zilikuwa mahususi kwa mzaliwa wa kwanza hivyo zilienda Moja kwa Moja kwa yakobo Ambaye alikuwa na haki ya uzaliwa wa kwanza aliopewa na Esau baada ya kumpa chakula Cha dengu.
Ni VYEMA kuwa makini na mitego mbalimbali hasa inayokushawishi kutoa thamani,utu au heshima yako. Pengine unaweza ukafanya Siri au ukaona ni jambo dogo sana lakini kumbuka Esau alipoteza heshima yake na baraka zake zote kwa AJILI ya chakula Chakula Cha dengu ambacho alishiba kwa masaa machache tu ila madhara yake yalichukua muda mrefu zaidi.
Je chakula chako Cha dengu ni Nini!? FEDHA,CHEO,MTU............
STAY STRONG FOREVER.
mwlm Daniel mbise
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Singida
9519
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when DANY MBISE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.