Njombe FDC
Njombe FDC is an Folk Development College in the southern highlands of Tanzania
09/08/2025
09/08/2025
Nafasi za kujiunga na Njombe FDC mwaka wa masomo 2026 kozi za muda mfupi na muda mrefu. Fomu zimeanza kutolewa karibuni sana. Mawasiliano zaidi fika chuoni nyuma ya NMB BANK tawi la Njombe au piga simu namba 0710022390 au 0753190562 muda kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 10:00 jioni
12/06/2025
Mafunzo ya uongozi na uchechemuzi kwa watumishi wa FDC, CDO na CBO kupitia mradi wa ESP
07/06/2025
Mashindano yamemalizika hapa viwanja vya Nzovwe FDC yakifungwa na mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi ndugu salukele.
Nzovwe FDC mshindi mpira wa wavulana
Njombe FDC mshindi mpira wa wavulana
Katumba FDC upande wa volleyball
Nzovwe FDC upande wa Netball
03/06/2025
Michuano inaendelea viwanja vya Nzovwe FDC
23/05/2025
Thanks for the Partnership forum 2025
17/04/2025
Welcome Njombe FDC
14/04/2025
Ujumbe kutoka Njombe FDC 💪💪💪
Njombe FDC Daycare karibuni sana
04/04/2025
Karibu Njombe FDC upate mafunzo ya umeme kwa muda mfupi na muda mrefu ngazi ya i, ii na iii
28/03/2025
Karibu Njombe FDC Daycare
26/03/2025
Usikose mada hii
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Website
Address
Njombe
+255