Hitra mwalongo

Hitra mwalongo

Share

Tanzanian 🇹🇿 politician East Africa. human rights activist Mwana siasa mpenda haki

28/05/2026

: Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeifuta kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali usio sawa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baina ya Bara na Zanzibar.

Kesi hiyo ya madai namba 8323 ya mwaka 2025 ilifunguliwa na Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Said Issa Mohamed na wajumbe wawili wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema kutoka Zanzibar, Ahmed Rashid Khamis na Maulida Anna Komu.

Jaji wa Mahakama Kuu, David Ngunyale ameifuta kesi hiyo baada ya kuridhika kuwa hati ya madai ina kasoro kwani haielezi mgogoro huo wa madai ya ukiukwaji wa sheria katika mgawanyo wa rasilimali uliodaiwa na walalamikaji ulianza lini.

24/05/2026

wana simba sasa mambo ni 🔥🔥
bora

18/05/2026

✈️

18/05/2026

Tunasonga mbele

08/05/2026

ARUSHA CHADEMA

07/05/2026

IRAN: Kamandi kuu ya pamoja ya kijeshi ya Iran inasema kuwa Marekani ilikiuka usitishaji mapigano kwa kulenga meli ya mafuta ya Iran na meli nyingine, na kuongeza kuwa haitasita kujibu kwa nguvu shambulio lolote,

07/05/2026

Shirika la utangazaji la Iran la IRIB, likimnukuu afisa wa kijeshi, linasema jeshi la Iran lilirusha makombora kwa "vitengo vya maadui" kufuatia kile afisa huyo alichoeleza kuwa ni shambulio la Marekani kwenye meli ya mafuta ya Iran katika Mlango wa bahari wa Hormuz.

Afisa huyo alisema "vitengo vya adui" vilipata uharibifu na kuondoka eneo hilo

06/05/2026

Rais Donald Trump amesisitiza kwamba Marekani 🇺🇸 itaichukua uranium ya Iran 🇮🇷 iliyorutubishwa.

Kauli ya Trump imejiri wakati huu nchi hizo zikiendelea kujaribu kuafikia makubaliano ya kukomesha vita Mashariki ya
kati.

Trump amekuwa akirejelea msimamo wake kwamba Tehran haiwezi kuruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia.

06/05/2026

nyuma mwiko uvumilivu zero 🤣

Want your business to be the top-listed Media Company in Njombe?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Njombe