HM HOTEL

HM HOTEL

Share

HM hotel is among the few finest hotels in sourthern highlands zone located in njombe town Center

09/11/2025

Customer's feedback ladies and gentlemen karibu na wewe kwenye comment section tupe uzoefu wako ulivokuja Hm Hote......l 🏨

05/01/2023

Heri ya mwaka mpya 2023

Je Ni kipi ungependa kuona tukikiboresha ili kukupa huduma Bora zaidi katika mwaka huu mpya 2023

03/12/2022

Kuelekea Msimu huu wa Christmas 🎄 Hm hotel tumekuandalia Jambo hapaaa, endeleeaa kutembea page zetu kwa taarifa zaidii

09/08/2022

Ofa ganiii tutoee kwa Wana Simba 🔥🔥🔥

Photos from HM HOTEL's post 09/08/2022

Ukifika Restaurant pale unaelewa unaenda kula nini

Hakuna kukuoshesha vyombo mteja 😂😂😂Bei zetu ni nafuuu Mno

Photos from HM HOTEL's post 01/06/2022

Chef o'clock hapaaa hapaa Hm hotel .....

27/04/2022

Uongozi wa Hm hotel pamoja na wafanyakazi wote tunapenda kuwapa pole ndugu zetu wote waliopata msiba Mungu.awalaze ndugu zetu mahali pema peponi ....

Photos from HM HOTEL's post 11/04/2022

Jumatatu njema kabisa ya week ya pasaka kwako na familia yako Hm hotel tunakukaribisha ufarahi pamoja na uwapendao kwa huduma Bora za vyakula ,vinywaji na malazi karibu Sana hm hotel

Tupigie Sasa kuweka nafasi yako mapema (booking)
♥️♥️🛌🛀🧑‍🍳🌲🌲🌲🌄

14/03/2022

Hongera kwa Simba kushinda wadau na mashabiki karibuni Hm hotel muendeleze shangwe hapaaa ......

27/01/2022

Hm hotel inawakaribsha nyote hm Hotel restaurant kwa Ajili ya kupata chakula Cha mchana kilichoandaliwa kwa ustadi mkubwa na machef wetu waliobobea

31/12/2021
Want your hotel to be the top-listed Hotel in Njombe?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Kwivaha Street
Njombe
51101