Trevo Experience
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Trevo Experience, Box . . . . . Njombe, Njombe.
19/01/2018
Jinsi unavyo furahia maisha siyo muhimu k**a jinsi unavyo wafanya wengine wafurahie maisha.
Lakini unaweza kuamua kufanya yote mawili, yaani ukawajaza wengine furaha huku na wewe ukiwa na furaha.
Msaidie hata mtu mmoja kurejea kwenye afya njema na TREVO.
08/01/2018
Kila siku mpya ni 'Blank Cheque ' toka kwa Mungu.
Unapo amka mzima ukiwa na akili timamu maana yake umeisaini hiyo cheki.
Sasa ni juu yako kuandika unataka cheki hiyo ikupe kiasi gani. Umeruhusiwa kuandika. Na usipo andika wakati umesha saini ujue watakuandikia wengine.
09/12/2017
Miili yetu inakabiliwa na changamoto nyingi sana za kiafya. Kuna wakati unaweza kufikiri kila mtu ni mgonjwa.
tunavyo kula
tunavyokunywa
tunayotumia
tunayovuta
nk ni baadhi ya mambo yanayo ipa miili yetu changamoto.
NDIYO MAANA TUNAHITAJI KUIPA MIILI YETU KINGA NA UWEZO WA KUJITIBU
05/12/2017
Unajua kwanini tunasema kuwa trevo haifanani na product nyingine yoyote kwa ajili ya afya?
Angalia muunganiko wa viungo hivyo. Utaungana nami kusema is
10/11/2017
This product is too good to be believed by everyone.
Yo need to taste it
01/11/2017
Tunapo ileta kwako hii product, tunalengo moja kubwa, nalo ni UZIMA WA MWILI WAKO.
Bila kujali kinacho kusumbua, sisi tunalo jawabu.
#0763449749
14/09/2017
Bidhaa moja
Nguvu tatu.
Kwa changamoto karibu zote za kiafya na kiuchumi, jaribu kukutana na Trevo.
Hutabaki k**a ulivyo.
#0763449749
07/09/2017
KIAFYA, trevo ndiyo plan A,
Na KIUCHUMI, trevo ndiyo Plan B.
That is to say trevo gives plan A&B.
Plz be wise, don't waste your life.
Lolote ufanyalo, FANYA KWA BIDII.
08/07/2017
Kupunguza ama Kuepuka matumizi ya madawa kwa muda mrefu, tumia njia ya asili kuimarisha mwili wako uweze kujitibu na kujikinga. Hapo ndo mahalu pa TREVO. TUKUFUKISHIA POPOTE TANZANIA.
0763449749
04/06/2017
JE UNA MGONJWA WA SICKLE CELL?
Hivi karibuni, tumeshuhudia maajabu kwa wagonjwa wa sicke cell, hasa watoto wadogo.
Nataka nikushirikishe kidogo.
Moja ya matatizo yanayoathiri sana jamii kubwa ya watanzania hususani watoto ni ugonjwa wa sickle cell. Ugonjwa huu wa kinasaba huathiri hemoglobin, sehemu iliyo muhimu sana katika muundo na ufanisi wa chembe nyekundu za damu.
Dalili za ugonjwa wa sickle cell hutegemea sana na kiwango cha uathirikaji wa chembe nyekundu za damu.
Kiujumla dalili zinaweza kuwa ni zile zinazohusiana na upungufu wa chembe nyekundu za damu mwilini yaani anemia, unaotokana na kuharibika kwa chembe hizo. Hizi ni pamoja na
🎈Kushindwa kupumua vizuri
🎈Kizunguzungu
🎈Maumivu ya kichwa
🎈 Ubaridi katika viganja na miguuni
🎈Unjano katika macho na ngozi au jaundice
🎈Weupe katika viganja, na eneo la macho liitwalo conjuctiva, ulimi na midomo
🎈Maumivu ya tumbo
Homa
🎈Maumivu ya viungo (joint pains)
🎈Maumivu ya kifua
🎈Damu katika mkojo (hematuria)
Wakati fulani, wagonjwa wa sickle cell hupatwa na hali ya maumivu makali katika sehemu kadhaa za mwili. Hali hii huendana pia na upungufu mkubwa wa damu.
Sickle cell crisis hutokea katika mishipa midogo ya damu, wengu, viungo vya mwili na hata kwenye mapafu.
Tunacho kirutubisho ambacho ni msaada wa pekee kwa mgojwa wa sicle cell, na tumeshuhudia maajabu yake.
Ongea nasi kwa 0763449749
UNAWEZA KUJISKIA KIJANA TENA HATA K**A UMRI UNASEMA UMEZEEKA.
#0763449749
Hii siyo hadithi. Nguvu ya KUREJESHA (RESTORATION ) na ANTI AGING inaweza kuufanya mwili kurejea kwenye hali ya ujana na kuondokana na changamoto za uzee.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Website
Address
Box . . . . . Njombe
Njombe
0000