AFYA BORA

AFYA BORA

Share

deal with health issues

19/01/2022

Habarini wandugu.

Anatafutwa nurse aliyesoma Ado kwa Ajili ya kuuza duka la Dawa.
Location;Njombe

mawasiliano, 0656994799.

18/04/2021

*DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI*

✅kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati
✅kwenda haja ndogo Mara kwa Mara
✅watoto kukojoa kitandani
✅kusikia njaa kila wakati kula sana
✅wanawake kuwashwa uken
✅kutoona vizuri
✅kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiana kwa wanawake
✅kupungua uzito na kukonda licha ya kula vizuri
✅kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati
✅vidonda au majeraha sehemu ya mwili kutopona haraka
✅miguu kuwaka moto au kupata ganzi...

TUCHUKUE HATUA MAPEMA..

Tuma ujumbe Afya Jamii kwenda 0656994799

18/04/2021

*MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA*

Maumivu ya kiuno na nyonga (Lumbago) ni hali inayotokea mara nyingi na inayohusu misuli na mifupa ya upande wa chini wa mgongo. Hali hii huathiri takriban 40% ya watu kwa wakati fulani maishani mwao.

*SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA* (mifupa kwa ujumla)

👉🏻kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo.
👉🏻Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
👉🏻Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo,
👉🏻mawazo (stress) nyingi
👉🏻kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya MTO
👉🏻kuteguka au mkazo wa misuli.
👉🏻Unene wa kupindukia
👉🏻 kuvuta sigara
👉🏻kunenepa wakati wa ujauzito
👉🏻mfadhaiko
👉🏻matatizo ya mwili
👉🏻mkao mbaya na kulala vibaya pia huchangia maumivu ya mgongo.

✍🏻Wanawake wanaweza kuwa na maumivu ya kiuno kutokana na hali zinazoathiri mfumo wa uzazi k**a;
👉🏻Matatizo ya hedhi
👉🏻uvimbe kwenye mayai
👉🏻saratani ya ovari au fibroidi ya uterasi.
👉🏻Matatizo ya kimwili yanaweza kuwa osteoathritisi,
👉🏻 Ugongonjwa wa baridi yabisi (arthritis rheumatoid)
👉🏻kuharibika kwa diski zilizo katikati mwa pingili za uti wa mgongo
👉🏻kuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo (k**a vile kufuatia osteoporosisi)
👉🏻maambukizi au tyuma ya uti wa mgongo.

*MADHARA YA MAUMIVU YA NYONGA NA KIUNO*
👉🏻Hupelekea kushindwa kufanya tendo la ndoa
👉🏻Hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili
👉🏻Hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia
👉🏻Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.

*ANGALIZO :*

👉🏻Kuna sababu nyingi zinazopelekea maumivu ya nyonga na baadhi ya sababu hizi huashiria magonjwa hatari ni Vyema Ukafahamu Kwanza Chanzo Cha tatizo Kabla ya Matibabu.

✍🏻TATIZO HILI LINATIBIKA KUTOKANA NA CHANZO CHA TATIZO

✍🏻Kupata tiba tuwasiliane

Tuma ujumbe Afya Jamii kwenda 0656994799

Karibu.

18/04/2021

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
(0656994799)
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0656994799 au piga simu usaidiwe haraka

BUNGENI NAKO GUMZO...

Tupigie au tuma ujumbe tusaidiane

11/04/2021

HIZI NDIO FAIDA ZA KUJICHUA
MADHARA 👇👇👇👇👇👇👇👇

🍇Kushindwa kumuandaa mwanamke kuhofia atafika kileleni kabla ya tendo lenyewe

🍇Ukiwa na mpenzi wako uume hausimami lakini akiondoka tu utaona unasimama na kupata hamu k**a kawaida

🍇Hata akirishiriki tendo hawezi kufurahia ataona k**a haridhishwi

🍇Akimaliza kushiriki bado utaenda bafuni/chooni kujichua tena

🍇Rahaa ya kujichua hupitiliza kuliko ile ya kushiriki tendo kwa njia halali yani

🍇Akishiriki na mwanamke humaliza ndani ya sekunde au muda mfupi sana pia huaptwa na usingizi saiyoiyo na kuchoka zaidi

🍇Hukosa KUJIAMINI akiwa na mpenzi/mke wake

🍇Anapojichua hukandamiza mishipa ya uume wake ndio maana mishipa inakuwa legevu sana

🍇Kutoa mbegu dhaifu hadi husababisha kushindwa kumpa mwanamke mimba

🍇Aliye jichua hupata maumivu ya kiuno na nyonga

🍇Aliye jichua uume wake hurudi tumboni au ndani yaani unakuwa mdogo sana k**a wa mtoto mdogo

🍇Kupata maumivu unaporudia tendo round ya pili

🍇Kukosa hisia baada ya kufika kileleni round ya 1

🍇Hupoteza stamina wakati wa tendo na akiwa anabadilisha staili uume hulala

Tuma NENO AFYA Jamii kwenda whatsApp number .+255656994799. au piga simu usaidiwe mapema
+255656994799

Photos from AFYA BORA's post 06/04/2021

*MAMBO 10 YANAYOSABABISHA KITAMBI,UZITO ULIOPITILIZA ,MANYAMA UZEMBE ,UNENE WA OVYO OVYO (SHAPELESS) UBONGE NYANYA,KUSHINDWA KUVAA NGUO ZIKAKAA VIZUR SABABU YA MANYAMA TUMBONI NK*

*JE WAJUA !!!WATU MILION 4 (NNE)WALIFARIKI MWAKA (2015)KWA AJILI YA UNENE ,UZITO ULIOPITILIZA HII NI KWA JAMII YOTE BABA,MAMA,KAKA,DADA ,BABU,BIBI ,SHANGAZIMJOMBA,JIRAN,MTOTO*

*HIZI NI SABABU ZINAZOSABABISHA UNENE*
1 Wanga kwa wingi hasa iliyokoborewa
2 Sukari nyingi hasa ya viwandani
3 Mafuta mengi hasa katika vyakula k**a chips, mandaz, nyama
4 Kutokunywa maji ya kutosha
5 Kutokufanya mazoezi
6 Utumiaji wa Dawa za kuzuia mimba kwa muda mrefu
7 Kukaa kwa muda mrefu
8 Mfadhaiko au stress
9 Free radicals au ongezeko la sumu mwilini
10 Kutokula mbogamboga na matunda kwa wingi.

Njia kuu za kupunguza uzito ni pamoja na
-Lishe bora
-Kufanya mazoezi
-Kunywa maji ya kutosha
-Kuongeza aman na furaha katika maisha (kupunguza mfadhaiko)
Hii ni njia asilia kabisa toka kuumbwa kwa ulimwengu.

Njia mbadala k**a tayari uzito wako sio rafiki na umehangaika kwa muda mrefu aidha

*Miguu inauma
*mapigo ya moyo yanaenda mbio
*Huwezi kufanya mazoezi sababu mwili hauna balance
*Upo busy na majukumu ya kimaisha
*Umekata tamaa kwamba Huwezi kupunguza.
*Vichomi katika mwili

Tumekuandalia Program hizi mbili zitakazo kusaidia katika mambo haya
1.Kusafisha mwili au Cleansing
2.Kuratibu hamu ya kula ili kuruhusu mafuta yaliyohifadhiwa kutumika k**a nishati
3.Kupunguza mafuta yaliyozidi
4.Kuondosha takamwili na uchafu katika utumbo mpana pamoja na kusaidia ngozi kutoa sumu
5. Kukupa utaratibu mzuri wa kula, kunywa maji na kufanya mazoezi angalau dakika 30 kwa siku.

Wasiliana nasi kupitia wasap namba hii 0656994799 tuma ujumbe Neno Afya bora au piga simu kwa maelezo zaidi

05/04/2021

*Ujumbe wa leo*:
Tujali afya zetu wakati wote tusisubiri tupate ugonjwa ndipo tuhangaike huku na kule kwani kinga ni bora kuliko tiba.

Kula vizuri jenga mifumo ya mwili kwa virutubisho Lishe asilia (supplements), Kunywa maji walau Lita tatu kwa siku, fanya mazoezi ya kukimbia walau mara nne kwa week, punguza matumizi ya sukari, punguza matumizi ya chumvi, punguza matumizi ya vyakula vyenye mafuta mengi, Lala walau kwa masaa nane kwa siku. Hepuka kuwakwaza Wengine na usihifadhi chuki moyoni ili kuhepuka matatzo yatokanayo na stress. Usisahau Ibada kwa imani yako kwani M/Mungu ndiye anayetujalia hii afya tuliyonayo. Afya ni zaidi ya pesa, tusijisahau. Unapojiimarisha kwa virutubisho asilia vya Arg plus na Multimaca nk unaujengea mwili uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi.

Kwa changamoto Yoyote wasiliana nasi kwa 0656994799 tu ujumbe Afya jamii

04/04/2021

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
(0656994799)
1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege.

2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kimwaga mbegu za Kiume.

3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito.

4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa.

5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima.

Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume k**a umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na K**a unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho?

Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa.

Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0656994799 au piga simu usaidiwe haraka

03/04/2021

BORESHA AFYA YA UZAZI NA 👇👇

FOREVER MULTI - MACA

Ni Kirutubisho kilichoandaliwa kwa kusaga mizizi ya mmea wa MACA unaopatikana Nchini PERU.

Nchini Peru wanatumia hiyo mizizi kuchanganya kwenye Chakula, Mboga au Maji ili kuboresha na kuimalisha afya ya Uzazi kwa Wanaume na Wanawake.

FAIDA YA MULTI MACA

1. Hurekebisha homorne kwa watu wenye Homorne Imbalance.

2. Huzibua Uchafu kwenye mirija ya uzazi na kuimalisha afya ya mfumo wa uzazi na Kibofu.

3. Husaidia uzalishaji, kuboresha na kuongeza idadi ya Mbegu kwa wanaume wenye tatizo hilo S***m Count.

4. Husaidia Kupevusha Mayai, Kupunguza maumivu wakati wa hedhi na madhara ya kukoma kwa hedhi kwa wanawake.

5. Huimalisha afya ya Tezi na kuzuia kutanuka kwa Tezi au Saratani ya Tezi Dume.

6. Huzuia Ukuaji wa Vimbe kwenye Kizazi au Fangasi sehemu za siri.

7. Huondoa na kuzuia mtu kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa.

8. Huimalisha afya ya mzunguko wa damu, huupa mwili nguvu na stamina kwa muda mrefu.

9. Husaidia mwili kuweka mahusiano mazuri kati ya Ubongo na Sense ya mwili kuchochea hisia za kijinsia.

Kwa mawasiliano na ushauri nitumie ujumbe wa Afya Jamii kwenda watsp namba 0656994799 au poga simu

03/04/2021

*Jinsi ya kuacha punyeto na athari zake*

-Fanya maamuzi Sirias ya kuacha kujichua.

-Futa picha na video za utupu kwenye simu yako.

-Jiweke bize pale unapohisi upo mpweke, unaweza kufanya mazoezi, nk

-Jiweke mbali na kundi la marafiki wanaokushawishi stori za wanawake nk

-Tumia virutubisho Lishe asilia ili kurejesha madini uliyopoteza, kuimarisha misuli iliyojeruiwa, mzunguko wa damu kwenye uume na hormones zako kwa ajili ya hisia

Zielewe hizi athari za kujichua
👇👇👇

FAHAMU VIZURI NAMNA KUJICHUA KUNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME.

Katika uume kuna sehemu inaitwa Corpus cavernosum ni msuli muhimu sana unaojenga uume ,ni msuli mkubwa unaojaa damu kwa asilimia 90 uume ukiwa umesisima .Msuli huu ukiwa na afya njema ,uume utasimama vizuri na muda mrefu bila kusinyaa haraka.Pia Ndio husababisha uume uwe na nguvu hatimaye kumuwezesha mwanaume kushiriki tendo la ndoa kwa ufanisi wa hali ya juu.

Vivile msuli corpus cavernosum ukiwa salama uume unatuna na ukisimama unakuwa mrefu na mnene .Ikiwa kuna hitilafu ndani yake uume utasinyaa sana na kuwa k**a wa mtoto mdogo!

Mwanaume aliyefanya punyeto huwa msuli huo unajeruhiwa sana ,hupelekea kukak**aa na kujenga usugu vile vile hata kupungua kipenyo chake na mishipa ya damu iliyopo kwa ndani hufa inabaki michache sana .Matokeo yake Damu Huingia kidogo uume ukiwa umesimama .

Dalili ambazo huonyesha kwamba uume wako umejeruhiwa na kupiga punyeto ni maumivu baada ya kumaliza kujichua,ukimaliza kujichua uume unanyea haraka sana na kurudi ndani,korodani kuuma,uume unasimama lakini haujikazi unakuwa lege lege,Unatoa mbegu kidogo ,kuna baadhi ya siku nyingine wakati shahawa zinatoka (ej*******on) unahisi maumivu badala ya raha,siku nyingine unahisi hamu za kufanya punyeto lakini uume hausimami mpaka ulazimishe,punyeto ndio hukupa raha zaidi kuliko uke,Kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo unavyozidi kubana uume kwa mkono au sehemu yoyote ile ili kuendelea kupata raha ile ile k**a ya mwanzoni.Hii ni kutokana na kufa kwa neva hivyo usipobana vizuri uume kwa nguvu hupati raha au msisimko!
O
Wengi wamejichua au kufanya punyeto pasipo kujua madhara yake ,leo nimekuonyesha madhara yake kwa kina. K**a ulishajichua kipindi cha nyuma anza kujikinga na athari sasa kabla changamoto haijaathiri zaidi.Asilimia kubwa ya waathirika wa punyeto ni vijana waliosoma shule za boarding.

Tuma ujumbe wa afya Jamii kwenda watsap namba 0656994799

03/04/2021

✴✴MADHARA YA MATUMIZI YA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA ( Family planning)🔵🔵

A)MADHARA YA NJIA YA SINDANO

(1) Usumbufu wa hedhi
(2) Kuumwa kichwa mara kwa mara
(3) Kizunguzungu
(4) Kichefuchefu
(5) Kuongezeka uzito usiokuwa na faida
(6) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa
(7) Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi

B)MADHARA YA KUTUMIA VIDONGE

(1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha ma uvimbe
(2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
(3) Kuumwa kichwa mara kwa mara
(4) Kupata kichefuchefu
(5) Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake
(6) Kubadilisha mwenendo wa damu
(7) Kuliathiri ini kidogo kidogo
(8) Kupata kisukari
(9) Kupata ugonjwa wa moyo
(10) Kupooza upande mmoja wa mwili.
(11) Kupunguza hamu ya tendo la ndoa

C)MADHARA YA KITANZI

(1) Utokaji ovyo wa damu
(2)Kutoboka fuko la uzazi
(3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.
(4) Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji
(5) Kuondoa hamu tendo la ndoa

D)MADHARA YA KIJITI

(1) Husababisha kansa
(2) Huchanganyikiwa (Akili huvurugika)
(3) Shinikizo la damu
(4) Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
(5) Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda
(6) Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya

Yawezekana nzunguko wako umebadilika

Unapata maumivu chini ya kitofu

Unapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

Unapata hedhi ndefu

Haupati kabisa hamu ya tendo la ndoa

Je haushiki ujauzito??

Wasiliana nasi kwa kutumia ujumbe wa AFYA Jamii kwenda watsap namba 0656994799 au pigs simu usaidiwe mapema.

The earlier the better

03/04/2021

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAkE.

👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.

👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.

👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.

👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza

👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.

👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.

👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.

👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.

👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

K**A UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO K**A HIZO USISITE,

Tuma ujumbe neno AFYA JAMII kwenda whatsapp namba 0656994799 kwenye wasap au piga simu usaidiwe mapema

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Njombe?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Njombe