Kitulo drinking water
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kitulo drinking water, Business service, nundu, Njombe.
OLESCO FOOD PRODUCTS LTD
Website: www.olesco.co.tz
Address: P.O.BOX 620 Njombe
Email: [email protected]
Phone +255659800872
instagram: www.instagram.com/kitulodrinkingwater/
25/12/2019
Big wish to you..
25/12/2019
we wish you Merry Christmas
05/11/2019
Asanteni sana wana songwe mkoa mpya .
Asante
Kunywa maji ishi vizuri .
Kitulo drinking water fahari ya nyanda za juu kusiniπ§
ππ€π
04/11/2019
Kunywa maji Ishi vizuri
Pata maji safi na salama ya kunywa
Kwa ujazo tofauti tofauti.
π§
01/11/2019
Wakazi wa Tunduma na jiji la Mbeya kuujumla kampuni ya OLESCOFOODPRODUCTS ina kuletea maji safi na salama ya kunywa kutoka nyanda za juu kusini ni juma mosi ya tar 2-11-2019 tupo ndani ya mji wa TUNDUMA.
28/10/2019
Ulipo tupo burudika, imarika, relax pia
utabasamu na maji safi na salama ya kunywa.
28/10/2019
Asante sana wana mbeya kwa mapokezi mazuri
Furahia maji yenye ubaridi asili
28/10/2019
Team ya ikiwa moja wapo ya makampuni na taasisi zilizo shiriki kwenye maonesho ya kilimo na mifugo katika viwanja vya sabasaba mkoani njombe.
Yaliyo fanyika toka tar 25 hadi 27 oktoba 2019
28/10/2019
Team ya ikiwa sawa kwaajili promotion ya maji safi na salama ya kunywa
Jijini mbeya πͺ
28/10/2019
Timu ya nguvu Ikiwa tayari kukuletea kilicho bora kabisa kutoka nyanda za juu kusini yaani Njombe
faharia ya njombe
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Nundu
Njombe