Genius Pro Max
Professional Blogger |Artist | Entrepreneur |Artists Manager |First Born |All we are equal but not the same
Hapa kweli Mhe. Tulichapwa na kitu kizito Mzee wangu.
Endelea kupumzika kwa Amani. Tutakukumbuka Daima. One day Tutakutana huko huko ๐๐๐น๐ฟ๐น๐ฟ
โFitina nazijua na nitawamuduโ - Waziri Makonda
โUkisikia Mgeni njoo mwenyeji apone ndio hii sasaโ ๐
Huko Nchini Brazi ๐ง๐ท jana kwenye soka kiliumana jiwe moja ndege 23 chali. ๐๐
Sema Asante Mungu kwa kila jambo ๐๐
Simba wa kuvundikwa akifukuza Simba wa Ukweli..... Alooooo ๐
- (Audio cover)
Link on bio ๐๐
12/02/2026
https://audiomack.com/Geniuspro/song/malaika
Malaika by Genius Pro Max: Listen on Audiomack Malaika song from Genius Pro Max. Release Date: February 12, 2026.
14/12/2025
Mtu pori nikitimba Pori kwa Pori ๐
06/11/2025
โ๏ธKutoka kwa Msanii Hussein Machozi.
โ1 nimelia nikanyamaza.
2 alafu nikalia nikanyamaza.
3 nikatamani kujilipua
4 nimehisi njaa mara nikahisi kushiba
5 nikauchukia umaarufu kunuka
6 na sasa natamani kubadili dini
7 ila sijui niende dini gani kwa nilicho kishuhudia
ROHO YANGU INANIUMA VIBAYA KULIKO NENO LENYEWE ( vibaya)
Nashindwa kuwapigia kaka zangu mapolisi kwakua nahisi ni masnichi
Nashindwa kuongea na wadogo zangu wanajeshi kwakua nahisi wamenisaluti
NIMEUMIA KUONA POST ZA WASANII ZA KINAFIKI MPAKA NATAMANI KUPASUA HILI LISIMU...
MIMI MWANENU' MSHKAJI WENU MCHIZI WENU NAWAOMBA MPOKEE POLE ZANGU ZA KIPEKEE NA KAMWE NITAKUA NA NINYI USIKU MCHANA NA SIO KINAFIKIโ... ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐น๐ฟ
๐
Huyu ni familia kabisa tumsamehe tu Hakua na Uchawa.
Afande
Uaminifu ni mtaji
Luka 16:12 Na k**a hamkuwa waaminifu katika mali ya mtu mwingine, ni nani atakayewapa iliyo yenu wenyewe? Unataka upate mali yako mwenyewe jitahidi sana kwanza kuwa mwaminifu kwenye mali ya mtu Mwingine Uaminifu unalipa, Uaminifu ni mtaji, Uaminifu sio ujinga,
leo ninakuombea katika jina la Yesu Kwakuwa umekuwa mwaminifu katika mali za wengine Bwana akupe mali yako. Sema Amen ๐
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mwanza