Matekele DigTech

Matekele DigTech

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Matekele DigTech, Graphic designer, Mwanza.

Photos from Matekele DigTech 's post 07/06/2026

Familia πŸ₯°πŸ₯°

19/05/2026
19/05/2026

20/03/2026

Sabato Njema
Fursa ya Sala

β€œNi kosa baya sana kupuuza ibada ya Mungu ya pamoja. Fadhila za huduma ya kiungu hazipaswi kupewa uzito mdogo. Wale wanaohudumia wagonjwa mara nyingi huwa hawawezi kuhudhurisha ili kupata fursa hizi, lakini wanapaswa kuwa makini wasikose bila sababu kwenye nyumba ya ibada.”

β€” Huduma Ya Uponyaji Sura 43, UK 356–364, Uzoefu wa juu zaidi

Kwa huduma za kibingwa wasiliana nasi kupitia:
πŸ“ž +255747178905 / 0765367644
🌐 sdapasiansihospital.org

Photos from Matekele DigTech 's post 20/03/2026

πŸ”₯ JUMA LA MAOMBI YA VIJANA ULIMWENGUNI 2026πŸ”₯

Karibu vijana wote katika wiki maalum ya kuungana pamoja katika maombi, kujifunza Neno la Mungu, na kujengwa kirohoπŸ™βœ¨

πŸ“– Kaulimbiu:bCommunion in Action
πŸ“ Mahali: Pasiansi SDA Church
πŸ“… Tarehe: 21 – 28 Machi 2026

Ni wakati wa kuimarisha imani, kuungana k**a familia ya vijana, na kuruhusu Mungu atutendee mambo makuu katika maisha yetu πŸ’™

Usikose! Mlete na rafiki yako – baraka ni kwa wote πŸ™Œ

Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mwanza