KP FARM

KP FARM

Share

TUNAUZA VIFARANGA WA WIKI HADI MWEZI ,TUNATOA HUDUMA YA MAFUNZO YA UFUGAJI KIBIASHARA KUPITIA VIKUNDI ,TAASISI , KAMPUNI NA WATU BINAFSI
0694103055 MWANZA

21/05/2026

Je unapenda kufunga kuku ila unaogopa changamoto zinazotokana uleaji wa vifalanga sasa husijari kp farm tunakuuzia vifaranga waliofikia wiki tatu mpaka mwezi waliopitia pulukushani pamoja na chanjo zote karibuni tunapatikana mwanza butimba 0694103055 tutakusafilishia mahali ulipo

21/04/2026
21/04/2026

Tupe oda ya vifaranga boss
0694103055 Whatsapp/ normal call/text
KP FARM

21/04/2026

Uleaji wa vifalanga wa vifalanga ni sanaa na sayansi pia ndani yake kitendo cha hatua ya kulea vifalanga maana yake unakuwa umechukuwa jukumu la tetea maana yake wewe ndio unasimama kuwapatia mahitaji yote ya msingi yanayohitajika mfano Joto, chakula ulinzi n.k

Unaposhiindwa kutimiza majukumu ya msingi yakuwa tetea maana yautapoteza idadi kubwa ya vifalanga.
Ukishindwa jukumu hili itakubidi uwende ukauziwe vifalanga waliovuka kipindi cha utoto yaan old chick Chick

Unapotaka kufanikiwa katika uleaji na utunzaji wa vifalanga ni lazima usahau kabisa swala la kulala au kupenda usingizi yaani ujitoe usiku na mchana ili kuhakikisha vifaranga Wana maji ya kutosha, chakula ,Mwanga ,hewa ,pamoja na Joto lipo la kutosha hapo ndipo utafaulu.

Lazima huwe muangalifu sana hata k**a umemuweka mtu badala yako lazima huakikishe hiyo kazi hawe anafahamu anachokifanya na kuipenda kazi .
Husiwe mtu ambaye unaweka chakula na kuondoka hapana lazima huwe ufatiliaji wa maendeleo yao k**a Kuna changamoto. ili uweze kuitambua na kuikabili mfano k**a Sio mtu ambaye ni mfuatiji wa VIFARANGA wako hautaweza kugundua hatari ya maambukizi ya mafua bubu, wadoludu hatari nnge ,nyoka kwahiyo lazima huwe mfatiliaji wa mladi wako

pia hata ikiwemo kuwahesabu na kurekodi matukio mbalimbali katika shamba.
Japo ninajuwa uleaji wa vifalanga ni kitu kigumu kwa wafugaji wengi .
Jambo ambalo utakiwa kujuwa ni kwamba jitahidi Wiki mbili za mwanzo kuwa muangalifu na kuwa macho maana hizi ndizo wiki za kupambana sana maana vifalanga wengi wanadondoka katika wiki hizi mbili za mwanzo

Jambo jingine la kuzingatia ni kwamba kifalanga anapokosa Joto la kutosha huweza kusababisha tatizo la almonia ambapo hakuna Tiba hamna yake na mwisho vifalanga kuweza kufa kwa muda mchache
Vile vifalanga wakikosa Joto vifo vingi hutokea kutokana kulaliana kwasababu ya kutafuta Joto

Jambo la mwisho la kuzingatia ni kwamba
k**a umeamua kuingia kwenye sekta hii ya ufugaji ni lazima uakikishe unaweka muda wako wa kutosha pamoja na pesa na umaanishe ili uweze kuona matunda ya uwekezaji wako bila hivyo utawachukia kuku hata ukiwaona njiani .
Follow page kp farm
0694103055 mwanza

18/04/2026

ULEAJI WA VIFALANGA
Ni kitendo cha huduma zote za msingi kwa kuku wenye umli mdogo
Yafuatayo ni mahitaji ya msingi kwa kuku kifaranga
1️⃣Maji safi na Salama yenye mchanganyiko wa vitamin na antibiotics pamoja na madini muhimu (neoxchick)
2️⃣Chanjo
Chakula chenye virutubisho ( chick starter)
3️⃣Mwanga na hewa ya kutosha
4️⃣Joto la kutosha kulingana umli wao
5️⃣Landa au magazeti
6️⃣Banda Bora

UFUATAO NI MTILILIKO WA CHANJO KWA KIFARANGA
siku 1-7 kideli (Newcastle disease vaccine)
Siku 14 gumbolo (burzal disease vaccine)
siku 21 kideli (Newcastle disease vaccine repeat)
siku 28 gumbolo (burzal disease vaccine repeat)
Siku 35 ndui ( fowl pox disease vaccine)

Chanjo ya kideli inapaswa kuludiwa bahada ya Kila miez 3

UFUATAO NI MTILILIKO WA KIASI CHA JOTO KWA VIFALANGA
wiki ya 1 = 35°c
wiki ya 2 =32°c
Wiki ya 3= 29°c
wiki ya 4 =27°c
preapared by founder
Simu 0694103055
Karibu kwa oda na mafunzo

Want your business to be the top-listed Food & Beverage Service in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Nyamagana
Mwanza