Team Invention

Team Invention

Share

Graphics Designs

26/07/2024

Happy birthday Beautiful

29/03/2024

Good Friday.

"Siju ya kutafakari juu ya IMANI, MSAMAHA na UPENDO*


ozil15

29/03/2024

Good Friday.

05/01/2024

Thank you GOD, for blessing me with another new Year!! Happy Birthday to me!

02/05/2023

Kaa tayari kupata tena kile unachokitaka!!💥💥Ni Mnada wa Wafanyabiashara na Wajasiliamali jijini Mwanza.
Utafanyika June 2023

Imeandaliwa na .o.l.l_outfit
Jipange kutokukosa.!!

19/03/2023

Jumapili ikawe njema sana kwetu, kwa familia zetu, ndugu zetu, marafiki zetu, majirani zetu na wote kwa ujumla.
Mungu wetu atumiminie kila lililo jema kwa kila mmoja wetu kadiri ya mapenzi na huruma yake.

19/09/2022

Mwezi wa kumi Ni mwezi wa Mama Bikira Maria, tunaarikwa sote kujiandaa vyema ju ya mafungo na matembezi ya Hija sambamba na kusali Rozari.

20.09.2022, saa 5.00 Asubhui, *96.1* Radio Sauti Mwanza kutakuwa na kipindi maalumu cha kuelezea namna Hija hiyo itakavyofanyika, kikiongozwa na Kwaya ya MT. BENEDICTO kupitia Katibuwa Kwaya hiyo Benedicto Mayalla .mc .

💥💥💥Usikose kusikiliza.

27/03/2021

Maneno yako yatabaki kuwa kumbukumbu, funzo na mwongozo kwetu.
Moyo wako wa uthubutu wa kuamua namna ngumu ya utekelezaji ili Taifa lipige hatua hakika sifa yako itabaki katika nchi yetu.
Taifa litakukumbuka daima.

Pumzika kwa Amani.
Mh. Dk. John Pombe Magufuli

Team Invention inatoa pole kwa watanzania wote.

Photos 02/03/2020

there is light..

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Sahara
Mwanza