Reflex Studioz For Best Audio and Video

Reflex Studioz For Best Audio and Video

Share

Reflex Productions For Best Audio ad Video

24/05/2024

Self Improvement and Personal Real life Achievement

Tunaishi kwa kile tunachopata lakini tunatengeneza maisha kwa kile tunachotoa, kwa maana hiyo basi tunainuka kwa kuwainua wengine.

Nakutakia Tafakari Njema.

Photos from Reflex Studioz For Best Audio and Video's post 31/12/2022

Self Improvement and Personal Real life Archievements

Kukaye Moto Awards Nominee's 2022

29/12/2022

Self Improvement and Personal Real life Archievements

Wimbo Nyota uko tayari unapatikana Mjini YouTube Ingia moja kwa moja huko kisha subscribe k**a bado ili uwe wa kwanza kupata ngoma mpya usisahau ku share na comment pia pata burudani ya wimbo nyota kupitia ukurasa huu

28/09/2022

Self Improvement and Personal Real life Archievements

Usikose Kuangalia Exclusive Interview Kwenye luninga yako kupitia Star TV siku ya Jumamosi tarehe 01/10/2022 kuanzia saa 11:30Jioni mpaka saa 12:30Jioni

Photos from Reflex Studioz For Best Audio and Video's post 25/09/2022

Self Improvement and Personal Real life Archievements

Naomba support ya kunipigia Kura Katika Tuzo za Music za Bongo Music awards Katika vipengele (Categories) mbili

1. Best male artists of the year(Mwanamuziki Bora wa Kiume) wa Reggae/Dancehall

2. Best song of the year (Wimbo Bora wa Mwaka) Asili yetu
https://youtu.be/GQFVcLR3RYM

Ushindi huu uko mikononi Mwako kwenye simu au computer yako

Cha kufanya unatakiwa kubofya hii link ya Bongo Music awards

https://www.bongomusicaward.co.tz/index

Na u creat account yako K**a voter baada ya hapo ndio unanitafuta Katika vipengele hivyo then unanipigia kura na kuniwezesha kuwa mshindi.

Asanteni Sana

Paul Mihambo -Usalama Barabarani (Official Video 4k) 25/05/2022

Self Improvement and Personal Real life Archievements

Sikiliza na Angalia wimbo huu wa Usalama barabarani kwa kubofya hii link https://youtu.be/anu7xHL2tXE una ujumbe Mzuri unaoweza saidia na kupunguza ajali na kuokoa Maisha ya wengi.

Paul Mihambo -Usalama Barabarani (Official Video 4k) Best Male Reggae Musician of the year (Nominee) Karibu kutazama wimbo wa Paul Mihambo Unaitwa USALAMA BARABARANI, Ni wimbo unao ...

23/03/2022

Tanzania Music Awards
Please vote PAUL RAPHAEL MIHAMBO in https://tanzaniamusicawards.info/ #/Category?category=Best%20MALE%20%20Reggae%20Artist Category
OR Send T0525 to 0677209090

Paul Mihambo_Rafiki Mnafiki(Official video 4K) 27/02/2022

Self Improvement and Personal Real life Archievements

Ili kusupport na kuhakikisha Muziki wa Reggae unafika Mbali zaidi Bofya hii link https://youtu.be/xOIjP03tBCQ Kisha like, comment share na wenzako wapate burudani zaidi na K**a huja subscribe channel yangu subscribe chap uwe wa kwanza kupata ngoma Mpya

Paul Mihambo_Rafiki Mnafiki(Official video 4K) Karibu kutazama wimbo wa Paul Mihambo Unaitwa Rafiki Mnafiki, usiache kushare, comment,like na kusubscribe. B...

Paul Mihambo - Jah of Mercy (Official Video) 4k 27/02/2022

Self Improvement and Personal Real life Archievements

Bofya hii link https://youtu.be/rvucS-nXYL0 isikilize ngoma Mpya kabisa inakwenda kwa jina la Jah of Mercy kutoka kwa Paul Mihambo K**a usisahau ku subscribe K**a bado pia like, share na comment ili tuweze kuufikisha mbali zaidi Muziki wa Reggae Tanzania

Paul Mihambo - Jah of Mercy (Official Video) 4k Karibu kutazama wimbo wa Paul Mihambo, unaitwa Jah of Mercy, usiache kushare, comment, like na ku subscribe. #...

Paul Mihambo-Darling (Official Video) 02/12/2021

Bofya hii link https://youtu.be/mWU3XgXPIWE kuangalia wimbo unaitwa Darling Kutoka kwa Paul Mihambo usisahau ku subscribe channel yake YouTube ili tuweze kuufukisha mbali zaidi Muziki wa Reggae nchini

Paul Mihambo-Darling (Official Video) kutazama wimbo wa Paul Mihambo unaitwa Darling, usiache kushare, comment,like na kusubscribe.

Paul Mihambo Ft Inspector Haroun - Fitina Makazini (Official Video) 02/12/2021

Bofya hii link https://youtu.be/erJoyZdG6nc kuangalia wimbo unaitwa Fitina Makazini kutoka kwa Paul Mihambo uki elimisha kuhusu Majungu sehemu za kazi usisahau ku subscribe channel yake YouTube ili tuweze kuufukisha mbali zaidi Muziki wa Reggae nchini

Paul Mihambo Ft Inspector Haroun - Fitina Makazini (Official Video) Paul Mihambo Ft Inspector Haroun - Fitina Makazini (Official Video)Karibu kutazama wimbo wa Paul Mihambo Ft Inspector Haroun ...

Paul Mihambo - Amani (Official Video) 02/12/2021

Bofya hii link https://youtu.be/e0crJN-_SWc kuangalia wimbo unaitwa Amani kutoka kwa Paul Mihambo ukisisitiza watawala kuitunza Amani ya nchi yetu Tanzania usisahau ku subscribe channel yake YouTube ili tuweze kuufukisha mbali zaidi Muziki wa Reggae nchini.

Paul Mihambo - Amani (Official Video) The song its about love & peace and happiness and its about political instability around East and central africa and other East southern countries.Karibu ku...

Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


P. O. Box 1946-Mwanza
Mwanza