zerynerb
Healthy and beauty skin care
24/07/2019
Hiii kazi yake ni kuzuia yaan ipo k**a dawa ukiitumia ina uwezo wa kuzuia usipate maambukizi yanayoshambulia ukeni
👉Katika maumbile ya wanawake yapo ya aina tofaut tofauti
Kuna ambaye akishare tu choo cha public anapata miwasho ila kuna mwingine wala hawezi pata chochote
So feminelle ni bidhaa ambayo imedhibitishwa na wataalam wa afya kwa ajili ya maeneo husika na haina madhara yoyote kwa mtumiaji,,,
Ila hutakiwi kuingiza ndani unatakiwa unawie kwa nje tu kwa maana nyingine unatawazia tu
Itakusaidia kukukinga na maambukizi k**a UTI, FANGAS, na miwasho isiyo rasmi eneo lako la siri
👉 Onyo; hii sio dawa ya kutibu UTI na magonjwa mengine haijadhibitishwa k**a dawa na ndo maana hautakiwi iingie ndani kabisa,,, ila inaweza kuwa k**a kinga utumiapo
Hata wakaka wanaweza nawia pia endapo anajihisi muwasho au haelewi harufu yake akivaa boxer
Kwa mdada anayejiamini hawezi kukosa feminelle kwenye choo chake kila ajisaidiapo ananawia unakuwa freeeesh kabisa na mwenye smell nzuri😋😋😋😋😋😋😋😋
22/07/2019
Hii ni set ya Aloe vera
*sifa na kazi za Aloe vera na Olive Oil*
1: Aloe vera (Mshubiri)
Huondoa makunyanzi na mikunjo ya ngozi
Ngozi hupenda sana Vitamini C na E ambazo zote zinapatikana katika aloe vera na kusaidia kuboresha unene wa ngozi na kuiacha katika hali ya umajimaji. Ikiwa utachanganya jeli ya aloe-vera na mafuta ya asili ya n**i utapata krimu nzuri ya kuongezea viinilishe, mafuta mhimu na unyevunyevu katika ngozi.
2:Olive Oil (Mafuta ya Mzeituni)
📌Ni tiba nzuri sana ya vidonda, mabaka na makovu ya mwilini
📌Yanaweza kutumika kwa kulainisha ngozi.
📌Yanasaidia kutibu tatizo la mzio wa ngozi.
📌Yana kiasi kikubwa cha Vitamin A,D,E na K ambazo zinasaidia kuondoa sumu ya kwenye ngozi.
📌Matumizi ya mafuta ya mzeituni yataifanya ngozi yako iendelee kuonekana changa na yenye afya wakati wote.
📌Matumizi ya mafuta ya mzeituni yanasaidia kutibu matatizo na magonjwa yote ya ngozi.
Join us now and gain more money
21/10/2018
13/10/2018
Welcome oriflame
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kirumba
Mwanza