Jackson Armstrong

Jackson Armstrong

Share

Creativity Has No Limit

14/04/2026

💔🥲

14/04/2026

Roho za Waumini Wapate Rehema Kwa Mungu Wapumzike Kwa Amani 🙏

Photos from Jackson Armstrong's post 05/04/2026

HAPPY EASTER DAY 💖🌺

Photos from Jackson Armstrong's post 24/03/2026

24-27/03/2026 Muwaishe mtoto Apate Chanjo ya Matone Ya Polio. Kinga ni Bora Kuliko Tiba

Photos from Jackson Armstrong's post 20/03/2026

RUWASA
Tukishiriki Katika Zoezi La Usafishaji Wa Vyanzo Vya Maji Vinavyoingiza Maji hayo kwenye Tanks

Photos from Jackson Armstrong's post 19/02/2026

Ash Wesday ❤️

14/02/2026

Valentine wangu Wewe pekee❣️ Katika Busta ni Ya Dunia Wewe Ni Ua Langu la Thamani 💓 Harufu Yako Inanivutia Kuwa karibu na Wewe🔥 Ladha yako ni tamu zaidi ya asali🥰 Wewe ni Wimbo Ambao Siwezi Choka Kuimba Kwa sababu Bila Wewe Siwezi Kuwa mimi🎈Kila Nukta Ya Maisha Yangu Inakuhusu Wewe, Nashukuru Kila Sekunde Na Dakika Niliyonayo Juu Ya Maisha Yako ❤️Wewe ni Valentine wangu Wa milele 💕 Wewe ni wangu na Mimi ni wako NAKUPENDA SANA MY LOVELY WIFE💓💓

14/02/2026

Katika Huu Ulimwengu Wa upendo, Wewe ni Kipande Changu Kilichopotea Na Sasa Nimekipata Kikiwa Salama na safi, Ahsante Kwa kuleta Maisha Mapya na Mapenzi ❤️Moyoni Mwangu. Ningeweza Vyote Basi Ningemuomba Mungu Akupe Macho Yangu Uyatumie Kujitazama Ungeona Vingi Dear ❣️Ungeiona Nuru Ya Wema Uliyonayo Maarifa Na Heshima Katika Uso wako. Katika Siku Ya Valentine Wewe ndie Mtu special na Mapenzi yetu yako level za Juu Tena ambayo sijawahi kufikiria kabisa, Ahsante Kwa uaminifu Wa upendo umetimiza Mengi Kwangu.❤️
Siku Ya Valentine Imeniletea Fursa Ya Kukuambia Jinsi Nakuthamini na Kukupenda Toka Uvungu Wa Moyo wangu 💓
Siku Ya Valentine Kwangu Ni Fursa nzuri Kukushukuru Kwa Kuwa mwanga Wa Maisha Yangu Mapya ya Mapenzi ❤️

HAPPY VALENTINE DAY MY WIFE FOREVER

25/05/2025

ALL THE BEST MNYAMA 🦁🦁

25/05/2025

All The Best Mnyama 🦁🦁

25/05/2025 Finally

05/05/2025
03/05/2025

Relationship Attacks 😆

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Mwanza