Nijolab Computer Shop
Tunauza Computer aina zote | Huduma za Ufundi Kompyuta | Website Design | ICT services | Digital Marketing
MAHALI OFISI: Buzuruga Shule, Mwanza
09/05/2026
🔥KIJANA MPAMBANAJI JITAHIDI UCHUKUE HII🔥
Mashine ya kazi kwa Tsh. 350,000 tu📌
library✅, stationery✅, supermarket na shughuli za kiofisi✅.
Location ni buzuruga shule Mwanza.
Piga simu: 0620748068
Njoo whatsapp: wa.me/255620748068
15/02/2026
Complete kwa Tsh. 380,000 tu
Processor ni core i5✅
RAM ni 4GB✅
Harddisk ni 500GB✅
Kioo ni nchi 22✅
0620748068, Buzuruga Shule
11/01/2026
0620748068
🔥KOMPYUTA ZA KAZI, NI IMARA NA ZINADUMU MUDA MREFU 🔥
✅ Kazi za library kurusha muvi na mziki
✅ Stationery
✅ Office
✅ Chuo/Shule kwenye darasa la kompyuta
🖥️ Kwa Tsh.350,000 tu
🔥 unapata kioo nchi 20
🔥 Keyboard na Mouse
🔥 Cable zote
🔥 Windows installation
🔥 Software zote za muhimu
Karibu Dukani Buzuruga Shule, Mwanza
📌 COMPUTER NI ZA BEI YA OFA, KUTOKA 350,000 mpaka 320,000 msimu huu wa sikuku.
0620748068
Karibu sana Buzuruga Shule Mwanza.
21/11/2025
KWANINI WALIITA OPTIPLEX?
Neno Opti = Optimal (iliyoboreshwa)
Neno Plex = Complex (mchanganyiko wa teknolojia kwa matumizi ya kazi)
Kwa ujumla:
👉 OptiPlex = Kompyuta imeboreshwa maalum kwa matumizi ya biashara na ofisi.
🎄OFA YA CHRISMAS TUNAANZA MAPEMA KABISA🎄
Dell Optiplex Core i3 Complete kwa Tsh. 300,000/= tu
Kioo nchi 20 ✅
Mouse ✅
Keyboard ✅
Windows 10/11 ✅
Program zote muhimu ✅
Delivery Mwanza na Mikoani ✅
📌Ofisi zetu zipo Mwanza Buzuruga Shule, Oda muda wowote kupitia namba zetu Whatsapp/SMS/Call 0620748068
13/11/2025
Habari Mpya kwa Afrika – Vodacom + Starlink!
Kampuni ya simu ya Vodacom imefunga makubaliano na Starlink (eneo la huduma ya mtandao wa satelaiti ya SpaceX ya Elon Musk) ili kupeleka mtandao wa kasi ya juu, wa satelaiti kwa maeneo ya mbali na magumu kufikiwa barani Afrika.
Kwa muhtasari:
Vodacom itatumia teknolojia ya Starlink ya satelaiti ya matetewa chini juu (low-earth orbit) kuitanua uwezo wa mtandao wake na kujenga upendeleo kwa maeneo ya vijijini na visivyo na miundo ya kawaida ya kabeli.
Vodacom pia itakuwa na haki ya kuuza vifaa na huduma za Starlink kwa wateja wa biashara ndogo na za kati (SME – small & medium enterprises) katika masoko yake Afrika.
Lengo kuu ni kupunguza pengo la kidijitali, kuhakikisha shule, vituo vya afya na jamii za vijijini zina mtandao wa uhakika na kasi.
---
🇹🇿 Kwa Watu wa Tanzania na Afrika Mashariki
Hata k**a makubaliano haya hayajatangaza tarehe rasmi ya kuanza nchini Tanzania, ni ishara nzuri kwamba teknolojia ya satelaiti inaingia k**a sehemu ya suluhisho la kuunganisha maeneo ya mbali. K**a wewe unafanya kazi ya maeneo ya vijijini (mfano: mashamba, shule za mbali, ofisi za mikoa) — hii inaweza kuwa fursa ya kupata internet ya kasi zaidi na ya uhakika.
---
🔍 Faida kwa watumiaji wengi
Mtandao wa kasi ulioboreshwa hata kwenye maeneo yasiyo na miundo mingi ya fibre/kabeli.
Biashara ndogo zinaweza kupata huduma ya mtandao wa satelaiti bila kusubiri kusambazwa kwa miundo mingi.
Kuwa na chaguo zaidi — siyo kuegemea tu kwenye mtandao wa medani/kabeli, bali pia satelaiti k**a sehemu ya suluhisho.
---
📌 Jumla ya Umuhimu
Makubaliano haya yanaonyesha nguvu ya ushirikiano kati ya mtoa huduma wa simu ya Marekani na Afrika: Vodacom ina miundo na wateja, Starlink ina teknolojia ya satelaiti ya kiwango cha juu. Kwa pamoja wanaweza kung’oa adha ya “haitawezekana kuunganisha eneo hili” kwa maeneo ya mbali.
12/11/2025
🎧💻 OFA! OFA! MPYA YA DELL OPTIPLEX – KOMPYUTA IMARA KWA BIASHARA YAKO! 💼🔥
Unahitaji kompyuta yenye kasi, imara, na isiyochoka kufanya kazi zako za kila siku?
Dell Optiplex ndiyo suluhisho bora kwa biashara yako ya 🎶 kurusha miziki & muvi, 🖨️ stationery, au 🏢 ofisi.
Kwa Tsh 350,000/= tu unapata:
✅ Dell Optiplex (complete set)
✅ Kioo cha nchi 20 (HD Display)
✅ Keyboard + Mouse
✅ Windows na Software muhimu zote zimekwisha install – BURE!
➡️ Microsoft Office
➡️ Media Players
➡️ Browsers
➡️ Antivirus
➡️ Drivers zote ziko tayari
💪 Faida kubwa:
Ina nguvu ya kufanya kazi muda mrefu bila joto
Inatumia umeme mdogo
Bora kwa kurusha nyimbo, muvi, na matumizi ya ofisi
Imejaribiwa na iko tayari kwa matumizi mara moja
📍 Bei: Tsh 350,000/= tu (Full Set)
📞 Wasiliana nasi sasa: 0620748068
📦 Tunafanya delivery ndani ya mji
⚡ Dell Optiplex – Kompyuta ya Biashara na Uhakika!
18/09/2025
🔥🔥Harddisk 12TB Tsh. 460,000 tu 🔥🔥🔥
18/09/2025
Website ya kuuza furniture inauzwa Tsh. 350,000 pekee
Mawasiliano:
0620748068
18/09/2025
Website ya kuuza furniture inauzwa. Tsh. 350,000 pekee
Mawasiliano:
0620748068
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mwanza
33213
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 18:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 18:00 |
| Friday | 09:00 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |