Kitambo Inspiration

Kitambo Inspiration

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kitambo Inspiration, Writer, Isamilo, Mwanza.

Ukrasa huu ni mahususi kwa :
⛪Uchambuzi wa Neno la Mungu(Biblia)
🏧Masomo ya kuhamasishana kiuchumi na kiroho
💽Video au short clips za mahubiri ama maigizo kuhusu injili na uchumi.
#Karibuni sana wana wa Mungu@Follow page hii na kushare posts

07/08/2026

inawezekanaje ufe bila kila kitu wakati unayemwabudu anakila kitu..

06/08/2026

Usilalamike juu ya wingi wa watu wanaokuja kuishi kwako , bali watumie kukutengenezea hela

06/08/2026

kinachompa mtu utajiri si kipato chake bali kile kinachobaki baada ya matumizi. 🛻🛻

05/08/2026

Maneno haiwezekani Neno haiwezekani ni neno linapatikana kwenye kamusi ya mjinga “napoleon benaporte

04/08/2026

Mithali 10:15
Mali ya mtu tajiri ni mji wake wa nguvu; Uangamivu wa maskini ni umaskini wao.

04/08/2026

Mithali 19:4
Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake.

02/08/2026

Usiogope kuendea ndoto yako, Mungu hutoa watu kwa ajili yako.. Isaya 43:4

29/07/2026

Imani yako juu ya mafanikio ndo kani inayokusukuma kuyaendea, amini kuwa ndoto zako zitatimia

28/07/2026

Huwezi kuondoa umasikini kwenye maisha yako kwa kujifanya tajiri.

27/07/2026

Katikati ya vita usimwamini yeyote maana hata rafiki anaweza kutumika na adui

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Isamilo
Mwanza